Search results

  1. Fredwash

    Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

    [emoji2955][emoji2955][emoji2955] so yale ya gaza uliyaona kutokea mahali yanayorushwa mpaka yalikofika.. Yaan una question integrity ya vituo vyote vya dunia nzima na technolgy zao kaka hebu kuwa serious .. kwa hiyo Unataka Kusema Hakuna Kombora Zilizorushwa so Iran na Israel na washirika...
  2. Fredwash

    Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

    Dah kuna baadhi ya taratibu na shwria zao mtu anaetumia common sense anaweza ku question.. sema ndo hivyo ni dhamb kuhoji
  3. Fredwash

    Kupigana kwa Israel na Iran ni mipango ya Mungu kuipa ushindi Hamas

    Kaka hv unachuki na wapalestina ama.. yaan unaimba humu Hamas wameshinda hv unajua madhila wanayopata wapalestina.. wamelundikana kwenye tents vyakula vya mgao.. we unaimba eti wameshinda vita.. we unakuwa kama hao viongoz wa hamas.. wajo Qatar wanaimba ngonjera Wameleta vita za kizaman .. vita...
  4. Fredwash

    Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

    Mh unarusha kombora 300 from all angle halafu unasema hutak yalete madhara basi si yangerushwa baharin maana wote tunajua kuwa mazoez ya makombora yanarushwaga baharini kuepuka athari.. So hayo makombora yasingekuwa inteecepted yasingeleta madhara sio?...
  5. Fredwash

    Urusi imeshawahi kuiwekea vikwazo Marekani?

    Ndo nimeshangaaa eti urusi mtetwz Wa nchi maskin.. point yake eti african tulipigana vita kwa kutumia AK47 za mrusi.. Hv ukipewa msaada wa silaha bure ndo umetetewa? Hajui kuwa ulaya yote ni wanyonyaji wanaiona Africa kama Shamba la Urith same as Asia Utofauti uko kwenye nguvu ya kuchuma...
  6. Fredwash

    Wajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue

    Mzee wangu Mohamed Said naomba unifafanulie Je unamaanisha katika jamii zote za tanganyika ni jamii ya wachaga tu ambayo historia yake iliandikwa kwa ukweli bila kufichwa kuwa walishastaarabika kabla ya wakolon kufika? Ila mkoloni huyo huyo alipofika pwan akakuta kumestaarabika na watu...
  7. Fredwash

    Trump atoa biblia yake.Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae

    Mkuu hujanielewa.. Amri Kumi aliziandika Mungu kwenye Tablets.. hizo Amri kumi unaziona kwente biblia ni copy ya kutoka kilichoandikwa kwenye tablet.. ingekuwa tablet bado zipo ndio ungesema ni tablet takatifu... ila Amri za Mungu zilowekwa kwenye tablet na zikafundishwa kwa israel kupitia...
  8. Fredwash

    Trump atoa biblia yake.Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae

    Tatizo wanadam mna mihemuko hivi unadhan Mungu anahitaj kupiganiwa.. yaan Mungu alieumba kila kiumbe kinachopumua eti atetewe na wanadam.. jua kuwa Mumgu wa kweli haitaji kutetewa. Na mtu.. yeye alitoa mwongozo kuwa tenda mema utapata thawabu zake.. kengeuka basi utahamia upande wa pili.. kama...
  9. Fredwash

    Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    oh ok sawa maana yake kwa gawio kwa mwaka ni around + or - 10% kwa mwaka..hiyo 1 m ni almost 0.9% ya mtaji wako
  10. Fredwash

    Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Kaka hilo gawio la 2m kwa dec ni la mwaka au la mwez... something does not add up.. maana kwa 129m kwa mwez utapata a maximum of 125k kwa mwez...maana yake ni kati y 9% had 12% kwa mwaka Sasa nataka kujua hiyo 2m kwa uwekezaji wa 129m inawezekana vip...
  11. Fredwash

    Jiko linalookoa mkaa kwa 80%

    Same here nichek inbox na kama Una product za majiko ya kuchoma Nyama pia nichek
  12. Fredwash

    Laana ya Umri inavyoitafuna China

    Labda wote ni athlets .. wasakata kabumbu au wafukuza upepo maana bi kwenyw michezo tu ndo umri unaonekana changamoto... Nafikiri mtoa mada akafanye tena utafuti habar yake inajikanganya yenyewe
  13. Fredwash

    Top Ten: Makabila ambayo watu wake upstairs pamechangamka

    Unajuaje usikute ndo king makers hao.. kama ushawah kusoma au kuangalia The GodFather.. au ungekuwa unajua michezo ya siasa na utawala ungejua kuwa namba moja haimaaniishi ur most powerfull person.. labda kwenye enzi za tawala za kifalme ila sio kwa hiki mnachokiita demokrasia Unaweza ukawa...
  14. Fredwash

    Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

    Sasa tushike lipi mwana ccm Mwenzie kindaki ndaki Pasco Mayalla anasema chadema wamepanga kote mikochen na ufipa na anajuwa wamiliki wa sehem zote had bei ya kodi Mwenezi anasema jengo ni la chadema sema Pesa katoa mama.. mna tumix mjue
  15. Fredwash

    Kesho ni mkutano mkuu wa Simba ajenda kuu ni Katiba

    Kuna sehem moja inaonyesha pia bado wewe unaweza kuwa sehem tatizo.. unaposema kuwa unaona vingoz watataka watu wajadili katiba huku ukisema kuna jambo la kujadili ikiwemo goli 5 walizofungwa.. Yaan unataka mkutano mkuu wa club ujadili ilikuwaje kufungwa goli tano? Kufunhwa lilikuwa swala...
  16. Fredwash

    Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

    Mtoa mada binafsi sidhan kama Kuna mkristo yoyote ambaye anajua ukristo akakubishia .. nahis labda umeleta hili aidha kutaka Kuhalalisha au unataka kubalance mizani sababu Mtume Muhammad (SAW) nae alioa binti wa miaka tisa.. Labda nimwambie kuwa Kiutaratibu wakristo wametenganisha tamaduni na...
  17. Fredwash

    Kuna kitu cha kujifunza kwa Zelensky

    Kaka unaweza kutuambia Makubaliano yalikuwa ni nini.. maana urusi alitaka ku annex Ukraine so ina maana Zele Alikuwa amekubali ku step down na Urusi aweke pro russia presidaa pale au? na in return yeye zele na hao kina france turkey na germany wangepata nn..? Na kama boris na wenzie (...
  18. Fredwash

    USA, UK wanataka vita itapakae kwa makusudi kabisa

    Leo umeongea kama msomi mwenye uelewa wa mambo ya dunia kwa mapana.. Nilishasemaga huku tunachukulia haya machafuko kimihemuko ya kidini, kisiasa na kirangi ya ngozi.. yaan tumejiweka pale ambapo hasa hawa wakubwa wanataka tuwepo.. Ukiona UK nawashirika wake wanaruhusu vita na wanailea ujue...
  19. Fredwash

    Uraia pacha kwa taifa changa ni kifo kuliko faida

    Hivi hii kauli ya Taifa changa ina maana gani.. huo uchanga uko wapi.. maana kwa Africa ukiniambia taifa Changa walau tuwape sudani ya Kusini waliopata uhuru 2011 maana hata hao Eritrea waliopata uhuru 93 sio wachanga washavuka huko.. Yaan taifa lina miaka 60 unaita taifa changa.. 50 yrs ago...
Back
Top Bottom