Search results

  1. gasper kolila

    Vibaka kichochoroni

    Kuna jamaa wawili walichelewa kurudi makwao, sasa ilipofika usiku mkubwa, ikabidi wakubaliane kuondoka usiku huohuo kwa kupitia njia ya mkato ya maeneo ya makaburini, Walipofika maeneo ya makaburi wakamkuta mtu anakimbizwa na vibaka, ikabidi watumie mbinu ili wale vibaka wasiwadhuru, JAMAA 1...
  2. gasper kolila

    Ama kweli huwezi kumlipa mzazi...

    siyo kosa lake hilo toto, inwezekana ni jinsi lilivyo lelewa na baba yake .
  3. gasper kolila

    Sex Therapist

    vizee vingine matatizo sana
  4. gasper kolila

    Msishangae,nimeishiwa maswali!

    [utaweka soksi tatu tu kaka.
  5. gasper kolila

    Janga la kitaifa

    Kuhusu swala la umeme kuwa janga la kitaifa, ni kitu kilichosababishwa na serikali yenyewe kwani watendaji wake wameshindwa kufikiri mapema na kutafuta suluhisho la kero hii. Tumepata tabu kiasi cha kutosha kwa sababu ya watu wachache wenye madaraka wanayoyatumia vibaya. Kama ni kukosa mafuta...
  6. gasper kolila

    Falsafa ya CHADEMA nguvu ya "umma" na wabunge wao 23

    we ritz hujui uliko, na ninafikiri elimu yako ni ndogo sana ndo maan huwezi kupambanua mambo,jitahidi upate uelewa wa mambo ya siasa ndio uandike mambo ya maana humu. pia nashindwa kuamini kuwa hujui hali ya taifa letu hivi sasa,kwani inawezekana wewe ni kama siyo fisadi,basi utakuwa una...
  7. gasper kolila

    Kashilila hukumtendea haki Lema

    wabunge wengi wa ccm ndio wanaotoa kauli za kejeli bungeni, na ndio wanaodai wanazijua kanuni za bunge,katibu wa bunge alizungumza as if hana habari hiyo. wanashindwa kufanya kazi za bunge,wanafanya kazi za chama wakiwa bungeni.
  8. gasper kolila

    MH.JK usipoteze muda kumshangaa Dr.Slaa huyo ofisi yake ni Majukwaa na wewe ofisi yako ikulu

    mara nyingi dr. slaa ana uchungu na watanzania wanaoteseka walio wengi,kwa hiyo anachokifanya ni sahihi na anatimiza wajibu wake kama katibu wa chama.ccm inajenga historia ya kushindwa katika kila jambo lenye maslahi ya wananchi,ila kinafanikiwa katika maslahi ya waliowachache ambao ni mafisadi...
  9. gasper kolila

    Elections 2010 Beware, slow poison of religious bigotry is entering into Tanzania’s body politic!

    yes.kusema kweli ni democrasia ya kweli.mtu kama anafaa lazima tukubali,na pia tuwaambie watu wengine pia kwamba jamani fulani anafaa,siyo kutoa matokeo ya kura za maoni ambazo hazina mbele wala nyuma,tena nahisi kuna rushwa katika hilo la kura za maoni.
  10. gasper kolila

    Magwanda: Ishara ya Udikteta wa wanasiasa!

    we acha tu bwana kwani nadhani dr slaa ataleta mabadiliko zaidi ya mavazi kwani ni mtu makini,hatadanganywa,ataheshimika na watendaji wake wa chini na wananchi watavunza matunda ya nchi yao.
  11. gasper kolila

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    kweli bwana,yaani nimeshangaa sana kuwa bado tanzania tuna watu wa ajabu kiasi hicho?ila mimi naamini ni wakati wa kubadilika na watu wanatakiwa wajue hivyo. kura za slaa ziko palepale kwani ni haki yake.
  12. gasper kolila

    Kinachoviponza vyama vya upinzani katika chaguzi

    uchu wa madaraka kwa viongozi wa vyama vya upinzani,wanakuwa wagombea wa kudumu kiasi kwamba wanatia wasiwasi.
  13. gasper kolila

    Faida za sex kwa mwanamke....

    hizo faida za sex kwa mwanamke,nadhani ni za kweli hasa hiyo ya kuonegeza comfidence.
Back
Top Bottom