Safari za mabasi za usiku zilikuwepo kitambo,Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani akazifutilia mbali.
Alijua akili zetu watanzania,madereva wetu hawana uwezo wa kuendesha usiku,kichwa kimejaa bange,pombe,madeni,michepuko huku unabeba roho za watu.
Watatumaliza
Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana.
Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake.
Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini,
Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya kusema atawataja wauza udaga, Langa, Mangwea walijiwahisha mbele za haki sababu ya udaga, huenda...
Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri.
Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni.
Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
Kama hujasafiri utasema Tanzajia ina maisha mazuri.ndio.ina maisha bora kwa kulinganisha na nchi zilizotuzunguka ila ukienda duniani huko sisi hatuishi bali tunadumu.
Ili kuboresha uchumi wa familia nivema serikali ikalegeza masharri ya passport vijana wakatafute maisha huko ughaibuni.
Kila...
Mimi na wenzangu tumrshanunua jezi za Mamellod na tutazitinga, natamani mtu abiguse ilu saa mbili nionekane kwenye taharifa ya habari na front page za magazeti ya kesho yake.
Baba na mwana katika hizi familia mbili za wapakwa mafuta zinatafakarisha.
UKimchukua January Makamba na mzee wake Yusuf ukaweweka kwenye mzani,Yusuf atamzidi January kwa umri tu,ni dhairi January alijifunza siasa kwa mzeewake na akampiku kila kitu,elimu,aiba nk.
Njoo kwa Rizwan ambaye...
Nimeishi Pemba na nimeishi Simiyu hiki ndio nilikigundua,hawa watu kuna vitu vingi wanashare,hataukienda Zanzibar kuna wasukuma na wanyamwezi wengi japo usukumani wapemba ni wachache,Zamani pale mwanza kulikuwa na mgahawa maarufu kama Chakechake,wananzengo mnaukumbuka?
Twende sasa
1. Kuoa na...
Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.
Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.
Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.
Waandishi wote either...
Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985.
Ilikuwa hivi:
Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar, Thabit Kombo, Salim A. Salim na Aboud Jumbe ambaye alikuja kulikoroga wakawa maadui kisa kutaka...
Mwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kuchukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta.
Lowassa aliamua kukodi ndege binafsi chini ya captain Minje baba yake Lilian, walizunguka Tanzania nzima...
Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu.
Tuliokuwepo...
Goal keeper wa Man United na Ghana ni kipa wa kawaida sana,nimeangalia mechi zake akiwa Manchester na Cameroon Niseme tu yuko level ya Aishi Manula anazidiwa hata na kipa wa Yanga Diara
Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake.
Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period?
Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay,
Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
Kanda ya ziwa kila nyumba ina msimbe mmoja au wawili maana yake sio wavumilivu kwenye ndoa au ni wakorofi kwenye ndoa zao.
Ukija kanda ya kaskazini, Arusha na Moshi kuna wajane wengi hii maana yake wanaume wanakufa kwa stress za mapenzi au wanauliwa na wake zao
Huyu mchezaji alikuwa classmate wa mzee fulani mtaani,huyo mzee sasa ni mzee kweli hakosi miaka 70 shule ya msingi, Jamaa alikuwa na matege fulani hivi yanastaajabisha.
Kama ungeambiwa ni namba sita bora kuwahi kutokea hapa nchini huwezi kuamini.
Alimudu hiyo namba kwa kiwango cha juu sana...
Mimi sio mzee wala sio kijana,
Mimi ni mkunga kwenye kituo cha afya,sasa huku wanaume wote tunaofanya kazi idara ya afya tunaitwa madoctor,bila kujali area ya specialization yako,
Sasa sijui wananisalimia mimi kama mimi au kwa sababu ni dokita
Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku
Wamama watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.