Search results

  1. abudist

    Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

    Wapopo huwa hawatupani mkuu. Sisi ndiyo wajinga tunalostishana sasa sijui ni roho mbaya au ni vipi? Ni bora mtu umwambie mtu hali halisi kuliko kumdanganya wakati uwezo wa kumsadia huna.
  2. abudist

    Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

    Pole sana mkuu. Huyo Mudy White fala sana... Mimi niko Europe na nimeshasadia watu waliotoswa kama wewe. Jamaa walikuwa wanawa-promise mambo kibao wakishaingia wanawakimbia.
  3. abudist

    Naweza kununua Gari kwa mkopo wapi?

    Mkuu unajua jina la hii company na namba yao?
  4. abudist

    TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Yaani Enterprise Resources Planning (ERP) ni 30M usd tena ya kukodi? Wakati wangeweza kutengeneza watu wa IT nchini. Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza hizo na CRM ni ufisadi
  5. abudist

    Robert Amsterdam awalalamikia Jumuia ya Madola kuhusu Rais Magufuli kukataa Corona ipo

    ''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare. ''
  6. abudist

    Kokoto zinazonyonya maji kupeleka ardhini zipoje na zinapatikana wapi?

    Salaam mkuu, hizo ndizo kokoto zenyewe? Kama ndizo zinapatikana wapi?
  7. abudist

    Kokoto zinazonyonya maji kupeleka ardhini zipoje na zinapatikana wapi?

    Wadau, nimeambiwa eti kuna aina ya kokoto maalum zinazonyonya maji kupeleka ardhini. Je, nani anazijua na zinapatikana wapi? Maana kuna maji ya pavement tumeyatengenezea mfereji lakini mvua ikiwa imepiga kubwa yanachelewa kukauka mferejini. Na hamna sehemu ya kuyatoa zaidi ya hapo maana mbele...
  8. abudist

    Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

    Anaogopa kuhudhuria uchaguzi wa vibaka.
  9. abudist

    Nauza Hisa za Vodacom, Kila moja nauza 500/=

    Salaam mkuu, umeshaziuza?
  10. abudist

    Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

    Wewe ni TISS ulienda Zanzibar kwa ajili ya kuiba uchaguzi.
  11. abudist

    Uchaguzi 2020 Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

    Siyo atakayepatikana atakuwa best of the best CCM huwa haifanyi kazi namna huyo mkuu Paschal. Anaweza akawepo mtu bora kuliko wote na akashinda kura lakini akakatwa akawekwa boya wanaomtaka wao. CCM haina demokrasia kwa swala la kukata watu. Ndiyo maana Iringa mtu ambaye ambaye angeshinda...
  12. abudist

    Jinsi gani ya kuzuia fungus na weusi kwenye pavement?

    Wadau naomba kujua tatizo linalofanya weusi kama fungus kwenye patio na jinsi ya kutatua tatizo hilo kwenye hizo pavement. Tafadhalini naomba ushauri kama kuna fundi pia wa kazi hiyo.
  13. abudist

    TBC yapotosha umma makusudi msemaji wa W.H.O hakusema kabisa eti ''lockdown haijasaidia kupunguza virus vya Covid-19''

    TBC yapotosha umma makusudi msemaji wa W.H.O hakusema kabisa eti lockdown haijasaidia kupunguza virus vya Covid-19. Swali na jibu haliusiani kabisa na Lockdown kama waliyoelezea TBC kwenye video hii: Na wala msemaji haongelei kabisa eti kwamba ''lockdown haijazaa matunda ya kupunguza Covid...
  14. abudist

    Tanzania inapewa misaada zaidi na Uingereza (DfID) sawa na nchi 6 za Ulaya mashariki pamoja!

    Waziri Mkuu wa Uingereza ameazimia kuivunja idara ya kimataifa ya misaada na maendeleo Department for International Development (DfID). Kwa kuona inatumia pesa bila ufanisi na Uingereza haifaidiki. Na moja ya nchi iliyotajwa kufaidika zaidi ni Tanzania kuliko hata nchi za ulaya mashariki...
  15. abudist

    RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

    Video zinaonyesha watu wanalia na majeneza wewe unasema zimetengenezwa? Usiwafanye watu mazuzu.
Back
Top Bottom