Search results

  1. R

    Gazeti la HABARI LEO kwa upotofu huu mtaendelea kudharauliwa daima! Kwamba DPP alimuokoa Tundu Lisu?

    Mmeandika katika gazeti lenu la leo kwamba "Lissu amepata dhamana, DPP amuokoa". Kwanini msingesema na ugonjwa uliompata(automatistic) DPP mpaka akajikuta akimuokoa Tundu Lissu?! Ni DPP wa nchi hii au wa kuazima kutoka nje?! Hata angekuwa wa kuazima asingethubutu kwa namna yoyote kuonesha nia...
  2. R

    Shule moja tumerudishiwa, tunaendelea kudai shule zilizobaki, viwanja vya michezo, na majumba yetu

    Sifa na utukufu vidumu daima kwa rais wetu mwema. Najua kila mtu anajua kwamba tangu vyama vingi vianze, CCM imeendelea kujimilikisha shule za umma maarufu kama shule za wazazi.! CCM pia ikajimilikisha viwanja vya michezo kama kirumba, al hassan mwinyi, amri abeid, majimaji, nk. Si hivyo tu...
  3. R

    Mpaka kufikia tarehe 22 january 2017 kwenye uchaguzi wa madiwani wengi watakuwa wamefukuzwa kazi.

    Niwatakie nyote kheri ya mwaka mpya.Kumekuwa na mtindo wa kutengeza ajenda feki ili kubadili upepo wa mijadala kwenye taifa.Mfano ni ile ya machinga, ambayo wakuu wa wilaya wa Nyamagana na Ilemela waliwaamuru machinga waondoke tena kwa matangazo mbali mbali na taarifa za habari. Rais,waziri...
  4. R

    Jaji Fancis Mutungi sheria ya vyama vya siasa siyo kanuni ya adhabu! Umekosea kuvifuta hivyo vyama

    Jana nimesoma humu habari kuwa umefuta vyama miongoni mwavyo ni PPT Maendeleo na JAHAZI ASILIA kwa hoja mfu tu kwamba; 1. Havina ofisi Zanzibar. 2. Havina idadi ya wanachama wanaohitajika. 3. Havijawasilisha hesabu ya mapato na matumizi. Hoja zote hazina maana kwa mantiki ya usimamizi wa...
  5. R

    Ni wakati sasa DPP aachiye ngazi kwa kushindwa kuwashitaki Edward Ngoyayi Lowassa na Juma Duni Haji

    Leo umetimia mwaka mmoja tangu Edward Lowassa na Juma Duni Haji watangaze kushinda urais kwa zaidi ya asilimia sitini. Walisema idadi ya kura hizo wameipata kutokana kujumlisha fomu za matokeo walizokuwa nazo. Na hivyo waliilalamikia tume kwa kupunguza ama kuwaibia kura zao na kumpa mgombea wa...
  6. R

    Hili la harimashauri ya wilaya ya Misungwi halina maana! Mipaka ya jiji la Mwanza irekebishwe sasa.

    Kuna gari moja, tena lina namba zenye STK, linazunguka katika viunga vya jiji la Mwanza likitangaza matangazo ya uuzaji wa viwanja eneo la usagala. Limetangaza zaidi kuwa anayetaka habari zaidi afike Misungwi kwenye ofisi za harimashauri. Ukitazama umbali kutoka Misungwi na hapo Usagala ambapo...
  7. R

    Mkurugenzi wa mashitaka,DPP, onekana kuwa upo.!

    Imekuwa kana kwamba haupo kabisa! Au kana kwamba uliteuliwa ukiwa huna sifa! Mambo yafuatayo yanadhihirisha ninachokisema.: 1. Polisi baada ya kuwakamata watu kijinga kijinga, na kwa hoja za kijinga kijinga, cha ajabu imekuwa kana kwamba polisi ndiyo wanaamua kama mashitaka yafunguliwe ama la...
  8. R

    Polisi isigeuke kuwa kundi la kutesa Raia

    Mtu anapokamatwa, anapaswa afikishwe mahakamani mara moja! Na siyo kumuweka kituoni na kuacha kumpeleka mahakamani! Na pengine,(na hii ni hatari) kuanza kumtesa kwa vipigo na mateso ya kila aina. Jana tumeambiwa mmemkamata kiongozi mmoja wa CHADEMA huko mkoani Mbeya,mkampiga sana na kumvunja...
  9. R

    Kwenu AIRTEL, wizi huu mliouanza hauvumiliki!

    Juzi tarehe 3 bando yangu ya wiki (mitandao yote) iliexpire kabla ya muda. Nikachukulia poa. Nikaamua kujiunga tena kupitia AIRTEL MONEY, na bando nyingine ya wiki, hiyo ikiwa ni tarehe 3 yaani juzi Jumatano. Leo saa nane hii napiga mtu anapokea tu na simu inakata. Napokea ujumbe ukisema salio...
  10. R

    Operation UKUTA imedhoofisha zoezi la ukaguzi wa vyeti

    Zoezi hilo lilivuma kwa kasi ya ajabu. Wengi tulisubiri tuambiwe ni watanzania wangapi wamo serikalini wakiwa na vyeti feki. Kwa hali inavyoenda (UKUTA) sidhani kama idara nyingine kama polisi, jwtz, magereza na majeshi mengine zitaguswa. Nashauri ukaguzi wa vyeti katika majeshi uanze ndipo...
  11. R

    POLISI hiyo intelijensia yenu iko wapi kuelekea July 23? Zuieni mkutano wa CCM.!

    Polisi waliwafanyia vurugu wana UKAWA/CHADEMA kule Kahama kwa hoja ya kuwepo habari kuwa kuna vyama vilipanga kuwajibu wenzao. Hoja mfu kabisa hiyo! Hali hiyo hata hivyo ndiyo inayoendelea kuelekea mkutano wa CCM July 23. Haishangazi kuona jeshi la polisi wakishindwa kupiga marufuku huo...
  12. R

    Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba ashindwa kujibu swali jepesi

    Alikuwa akihojiwa na DW RADIO jioni hii. Swali lenyewe ni hili: Kwa ninihatua zisichukuliwe kwa ambao mna taarifa kwamba wanapanga kufanya hili (uharifu) badala ya kuzuia mikutano? Kakwepa na kusema wao kama polisi, hiyo ndiyo hatua (kupiga marufuku mikutano) waliyochukua.! Alichokikwepa...
  13. R

    Ni wazi kuwa CCM wamejipanga kubadili ajenda zilizopo

    Kila inapotokea ajenda yoyote, CCM wanafanya jambo linalolenga kufunika ajenda na kuwatoa wananchi kwenye mstari. Mfano, LUGUMI, Kitwanga akajifanya amelewa na kufukuzwa ili taifa lihame kutoka kujadili ufisadi wa serikali hii na kuanza kumjadili KITWANGA juu ya ulevi huku kimtindo (wale wenye...
  14. R

    RFA, TAARIFA YENU HII JUU YA JIMBO LA SERENGETI HUENDA SIYO SAHIHI!

    Kwenye taarifa yenu ya mchana huu saa sita na nusu, mnasema kuwa jimbo la mbunge Marwa Ryoba (serengeti) lina shule za msingi "elfu sabini na tisa na mia nne" (79,400)! Ni kweli au msomaji kalewa pombe?! Hivi lina vijiji vingapi?
  15. R

    Naishangaa ICC kushindwa kuyaona mauaji na mateso waliyoyapata Wazanzibar!

    Mtakumbuka mauaji ya halaiki (massacre) yaliyotokea mwaka 2001 huko Zanzibar.Wahanga wa mauaji hayo ya kinyama walikuwa ni wafuasi wa CUF. Harakati hizo za mauaji ziliambatana na msako mkali majumbani mwa watu ambapo waliwatoa wafuasi wa CUF na kuwatesa kwa vipigo na kuwafunga magerezani...
  16. R

    Kuwepo kwa BASATA na MWENGE WA UHURU ni ishara ya matumizi mabaya ya pesa za umma

    Wakati viongozi wanajinadi kubana matumi yasiyo ya lazima, inashangaza kuona taifa lina mambo na vyomba vya hasara vingi vikiendelea kulitia taifa hasara zisizoeleka! Baadhi yake ni baraza la sanaa la taifa, BASATA, NA MWENGE WA UHURU ambao mpaka dakika hii unaendelea kulitia hasara taifa LIVE...
  17. R

    Wilson Kabwe amewahiwa asife "nyamafu"

    Baada ya CCM kushindwa kupora Umeya wa jiji la Dar es Salaam, wakaona UKAWA wataanza kufumua uozo wa CCM tangu uhuru miaka zaidi ya hamsini iliyopita. Kwahiyo wameanza kutulaghai kwa kujifanya eti wamegundua ufisadi wa Wilson Kabwe! Kilichotokea leo juu ya Kabwe ni mwendelezo wa ulaghai ule...
  18. R

    Kama hili la Spika wa Bunge ni kweli, huu ni ulevi wa madaraka

    NA AMA NI KUCHANGANYIKIWA! NAANGALIA ITV WANARIPOTI KUWA ESTHER BULAYA KAKAMATWA KWA AMRI YA SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI "ETI" ILI APELEKWE MBELE YA KAMATI YA MAADILI! POLISI NI CHOMBO CHA JINAI, NILITEGEMEA ESTHER BULAYA ANAANDALIWA MASHITAKA YA JINAI ILI AFIKISHWE MAHAKAMANI, KUMBE NI KWENYE...
  19. R

    John Pombe Magufuli, porojo zimetuchosha, anza kazi tafadhali!

    Kila siku au baada ya siku chache utaskia "Magufuli kamfukuza fulani, habari ya kufukuza watu ndiyo imegeuka kazi pekee ya Rais. Tumechoka, sasa nakwambia hivi, unawajua wote unaotaka kuwafukuza, hebu tafadhali wafukuze wote mara moja ili hili nalo lipite, imekuwa ni mtindo wa kutafuta kubaki...
  20. R

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei...
Back
Top Bottom