Search results

  1. SPECIAL TMN

    Je, umri ulionao una tafsiri gani na maisha uliyonayo?

    Wakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? Au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?. Nawasilisha.
  2. SPECIAL TMN

    Msaada chuo cha NIT

    Wakuu Natumai hamjambo, kuna mdogo wangu kasahau email aliyoingia Kwenye chuo cha NIT msaada kwa anayejua zaidi maana najaribu hata kuwapigia namba hazipatikani kabisa anahitaji kuangalia kachaguliwa faculty gani, Natanguliza shukrani. Msaada
  3. SPECIAL TMN

    Nauza iPad Air 2 32GB

    Wakuu habari za jioni Nauza iPad Air 2 with 32GB. Ina nyimbo kibao za zamani na za sasa hivi pia imekwaruzika kidogo pale juu lakini inafanya kazi vizuri aliyetayari kwa 7K ila bei tutaongea inaweza kupungua Kama uko serious namba zangu ni 0759328157 au 0685416198.
  4. SPECIAL TMN

    Namna ya kujiunga WORLD VISION

    Wakuu habari, Naomba kujua unapotaka kuajiriwa WORLD VISION unalipia fomu ya kujiunga?. Au kuna utaratibu gani hapo kwa form four? Wakiwa wanafungua tawi mfano Mwanza kuna taratibu zipi hasa kwa wanaoajiriwa kwa form four lakini. Nawasilisha.
  5. SPECIAL TMN

    Msaada jinsi ya kucreate apple id

    Nimenunua iPad Mpya nahitaji niweze create ila inazingua email mwenye kujua jinsi ya kuweka email msaada tafadhali.
  6. SPECIAL TMN

    Wasichana jifunzeni, unapiga simu mara nyingi alafu unadai umekosea namba

    Habari za mihangaiko wanaJF. Kuna kitu wasichana itabidi mjifunze binafsi kimenikera sana mtu unamtafuta au unambip zaidi ya mara4 anakupigia anakuuliza in a good way majina yako na sehemu unayokaa unadai umekosea namba kweli safari nne we unakosea tu? Mtu anaweka vocha yake kukupigia...
  7. SPECIAL TMN

    Msaada jinsi ya kupata imei.

    Kuna mdogo wangu nilimpa simu yangu atumie kwa muda simu aina ya TECNO M3 kutumia lakini nikaihitaj tena baada ya pale simu haisomi mtandao zile bars hazionekani inaandika invalid Imei hata ukijaribu kupigia mtu simu haziendi. Ndani ya hii simu kuna APP ya MOBILE UNCLE sijaelewa dogo ndo...
  8. SPECIAL TMN

    Wachezaji wa Kitanzania wanatakiwa kuwa na viongozi wao?

    Hii desturi ya wachezaji kuwa na wasimamizi tangu wakiwa wadogo ianze maana wanakuwa wanazinguliwa sana kwenye suala la mikataba, mchezaji anaachwa tu mwishoni mwa msimu hana hata timu ya kwenda kucheza.
  9. SPECIAL TMN

    Maana ya neno YAKUZA

    Wakuu habari, Hili neno YAKUZA lina maana gani? Wataalamu karibu.
  10. SPECIAL TMN

    Kwanini mchina anatangaza bidhaa zake kuliko mjapani?

    Habari wanaJF, Je ni kwanini MCHINA anatangaza bidhaa zake sana tena kwa kila nchi kuliko MJAPANI? Na kama ni quality ya bidhaa je, MJAPANI hana Quality? Kwa mfano Simu za mkononi mjapani hatengenezi simu? Na kama anatengeneza ni zipi na ni aina gani? Nawasilisha.
  11. SPECIAL TMN

    Kauli gani ilikuwa ina kukera i mean kauli za walimu.

    Habari wanaJF, Hebu tujaribu kukumbushana kauli ya mwalimu wako wakati uko skuli.
  12. SPECIAL TMN

    Msaada wa jinsi ya kuedit ID

    Habari wana JF, Jinsi ya kuedit ID yangu i mean kubadili jina au kama kuna Expert wa uzi huu anipe maujuzi au kunibadilishia kabisa ID yangu. Nawasilisha. Invisible msaada tafadhali
  13. SPECIAL TMN

    Kama umeambiwa kufunga ndoa sehemu ya kwanza mlokutana.

    Habari wakuu, Kama umeambiwa ufunge ndoa sehemu ya kwanza uliokukutana na mpenzi wako yakwako utafungia wapi? Natanguliza shukrani.
  14. SPECIAL TMN

    Tecno h5

    Nina TECNO H5 ukidownload APPS kutoka google playstore inakuwa inaonyesha kwamba app has been stoped na huwez kufungua hyo app tena. Nimejarib hata AMAZON APPSTORE inakataa kufungua. Msaada tafadhali!
Back
Top Bottom