Search results

  1. Sir R

    Askofu f. Shoo kiboko cha wanasiasa

    Kuna viongozi wa dini wenye ujasiri mkubwa dhidi ya wanasiasa. Askofu mpya wa dayosisi ya Kaskazini Lutheran ameonyesha ujasiri huo alipokuwa anatoa hotuba yake ya kwanza. Kwanza hotuba yake imekuwa makini, aliwakemea wanasiasa kutumia nyumba za ibada kutangazia nia. Pamoja na kuwa kulikuwa na...
  2. Sir R

    Jamboleo, uhuru,hoja mtaripoti vipi hili la polisi

    Leo polisi walifanya kweli kwa waandishi wa habari pale mahakamani. Hawakuchagua wa kumpiga. Niliwashangaa hata waandishi wa magezeti ya serikali walikuwa wanalia. Kuwajua ni namna watakavyoripoti kesho tukio hilo. Kesho ni kesho.
  3. Sir R

    Hawa wabunge wa CHADEMA watajiunga na ACT

    Dalili zote zinaonesha kuwa hawa wabunge watajiunga na ACT pindi tu muda wa bunge hili utakapoisha. Watarajiwa hao ni Zitto Kabwe Arfi Shibuda Leticia .......................................... Kama kuna wengine mnaweza kuwaongeza. Hawa wote wana sifa moja kuu ambayo ni kupenda PESA NA...
  4. Sir R

    Itakuwa Vipi CCM ikishindwa uchaguzi 2015 au 2020 ?

    Kuna mazingira yanayoonesha CCM kupigwa chini ndani chaguzi mbili zijazo. Mchakato wa katiba mpya umedhihirisha kuwa CCM haina watu makini. Matusi na propaganda ni msuli wake katika kila jambo. Chuki inazidi dhidi ya CCM. Miaka hamsini tangu uhuru hakuna matumaini Zaidi ya yote, itakuwaje CCM...
  5. Sir R

    Swali: CCM ilipindua nini?

    CCM kirefu chake ni Chama cha Mapinduzi. kwa kuzingatia neno mapinduzi ikiwa na maana ya kuondoa utawala kwa nguvu. tik Swali langu: Jina hili lilitokana na nini ? Nina mashaka sana dhana ya jina hili. Katika chaguzi mbalimbali CCM hulaumiwa sana kuwa inaibaa kura, inahonga watu na kutumia...
  6. Sir R

    CCM ina wakati mgumu

    Kuhusu muundo wa serikali, CCM ina wakati mgumu kuliko vyama vingine. Sababu ni hizi hapa Waliwaachia sana wazanzibar kujifanyia mambo yanayokiuka katiba ya Muungano. Wanapaswa kumsimamisha mgombea urais toka zanzibar mwakani, kitu ambacho ni hatari ya kupoteza nafasi ya uraisi wakifanya hivyo...
  7. Sir R

    CCM inahitaji miaka mingapi kuleta maendeleo?

    Tanzania ina zaidi ya miaka 50 tangu uhuru lakini hakuna matumaini ya maendeleo. Zaidi ni matatizo mfano Tembo kuuawa Wanafunzi kufeli Hakuna huduma za afya. Ufisadi umeongezeka. Watoto wa viongozi kushika hatamu Nchi soko la madawa ya kulevya; Wana CCM na washabiki wote wa CCM karibuni kwa...
  8. Sir R

    Shindano la Hoja kati ya Pro CDM na Pro CCM

    Naomba tuchambue michango ya mawazo ya washabiki na wanachama wa vyama hivi viwili hapa JF. Tuone ni upande gani una hoja za msingi. Vigezo vya uchambuzi viwe: Usahihi wa hoja Lugha inayotumika katika kutoa hoja. Mtiririko wa kuwasilisha hoja Maslahi ya taifa. Kuzingatia demokrasia na haki za...
  9. Sir R

    Sijawahi kuipenda CCM

    Naichukia CCM kuliko chama chochote cha siasa Tz. Ninaamini kuwa matatizo yote ya Tz chimbuko lake CCM. Huwa nawashangaa sana washabiki wa chama hiki. Sijui kama kuna mwingine mwenye chuki kama mimi dhidi ya CCM
  10. Sir R

    Sitta atakuwa tayari kumkapenia Lowassa?

    Kuna kila dalili kuwa Lowassa atakuwa mgombea wa urais kupitia CCM 2015. Ikitokea hivyo, je Sitta atakuwa tayari kushiriki kampeni ya Lowassa ? Maana naona anachuki isiyo ya kawaida kwa Lowassa. Ningetamani walio karibu na sitta watupe machache kuhusu mtazamo wa Sitta juu Urais wa Lowassa...
  11. Sir R

    CCM, Ugomvi wa CDM ndio sera yenu ?

    Ninachokiona sasa ni CDM tu hapa JF. Hakuna wanaozungumzia sera ya CCM ambayo ni chama tawala. Matatizo ya nchi hii kwa sasa ni kuhusu sera au utekelezwaji wake. Ingekuwa ni vema wana CCM hapa JF kutufafanulia sera na programs zao ili kuiwezesha katika kushughulikia maswala yanayohusu...
  12. Sir R

    Kiteto mabomu yatumika

    Ni kuhusu migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji. Mkutano uliitishwa na chama cha wakulima. source : ITV
  13. Sir R

    Tumshauri Zitto...

    Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo: Awaheshimu viongozi wake. Akemee wana CCM wanaotamani CDM kusambaratika. Aheshimu chama chake kama ambavyo kina Mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa CCM yao. Awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya CCM...
  14. Sir R

    Hofu Kuu ya Wana CCM

    Katika michango mingi ya wana CCM, asilimia kubwa ni kumshambulia Dr Slaa kuliko hata Mbowe. Nimetafakari sana ni kwanini Dr Slaa anashambuliwa sana. Haiwezekani mtu mmoja ashambuliwe kiasi hiki bila sababu. Naamini CCM wamegundua Dr Slaa ana nguvu ya kuiangusha CCM kama atagombea katika...
  15. Sir R

    Hatuna serikali, tuna mizigo Tanzania

    Katika ziara zao Kinana na Nape waliibuka na hoja ya mawaziri mizigo. Katika hoja hii hawakuwa wa kweli kwani hawakuzungumzia mambo yanayowadhuru wa wananchi. Mfano mzuri mateso waliyofanyiwa watu katika operesheni tokemeza, hawakuzungumzia kabisa. Waliibuka na hoja nyepesi nyepesi...
  16. Sir R

    Hatuna serikali, tuna mizigo tanzania

    Katika ziara zao Kinana na Nape waliibuka na hoja ya mawaziri mizigo. Katika hoja hii hawakuwa wa kweli kwani hawakuzungumzia mambo yanayowadhuru wa wananchi. Mfano mzuri mateso waliyofanyiwa watu katika operesheni tokemeza, hawakuzungumzia kabisa. Waliibuka na hoja nyepesi nyepesi...
  17. Sir R

    'Mizigo' hii ilikuwa haikutajwa na Kinana na Nape

    CCM ina mizigo mingi sana. David Mathayo ndio pekee yake aliyekuwepo kwenye mizigo ya kwanza ya CCM. Kina Kinana na Nape hakuwahi kuwataja kina Nchimbi, Nahodha na Kagasheki kuwa ni mizigo. Sasa nina amini kuna mawaziri wengi mizigo katika serikali hii ya CCM. Nasubiri JK siku ya...
  18. Sir R

    Tume ya kimahakama inatofauti gani na tume zingine.

    Jamani tusaidiane, ni mara nyingi sana CDM wakitaka kuundwa kwa tume ya Kimahakama inapotokea mauaji ya raia. Binafsi sielewi tume hii tofauti yake na tume zingine, Je rais hawezi kuingilia? Naomba wenye kuielewa wasaidie kuelezea kwa undani. Nawasilisha.
  19. Sir R

    JK akiwa U.S.A mambo ni kama Obama akiwa Tanzania ?

    Naona wamerekani wanahaha na Obama wao hapa Tz. Ulinzi mkali mpaka wanapanda na viatu juu ya Ikulu yetu. Wanasafirisha mpaka helcopter, magari, wapishi wao. Watz wameacha kazi kisa kumshangaa Obama, Je JK akiwa kule kuna wanaomshangaa hivi? Magazeti karibu yote ni OBAMA tu. Watanzania...
  20. Sir R

    Wanasiasa tishio kwa uchaguzi 2015 Tanzania

    Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu siasa hapa nchini nimegundua kuwa kuna wanasiasa wawili tu ndio tishio kwa uchaguzi ujao. Wanasiasa hao ambao wanatoka vyama tofauti ni Dr Slaa wa CHADEMA na Edward Lowassa wa CCM. Vigezo nilivyotumia ni kuandamwa mara kwa mara na wanasiasa wenzao ndani na...
Back
Top Bottom