Search results

  1. Sir R

    Wahariri na waandishi, kabla ya kikao na Rais Magufuli, hamkukaa kujadiliana maswali ya kuuliza?

    Manyere Jackson, ulifikiri nini unalilia msosi ikulu. Hukututendea haki sisi wananchi. MASWALI marahisi mno. Nafikiri kuachana na Gazeti la jamhuri
  2. Sir R

    Teuzi za Magufuli zinadhihirisha hakujiandaa kuwa rais

    Antaeua vijana ili awe na uwezo wa kuwakoromea
  3. Sir R

    Jukwaa huru la wazalendo latoa neno kuhusu teuzi za Wakuu wa Wilaya wapya

    Ujasiriamali wa kisiasa unaendelea kwa vijana waliokosa ajira Labda next mkubwa atakukumbuka
  4. Sir R

    Ulimwengu: Heaven knows where we are going, but Magufuli knows he can walk on water

    Kuna wanaosema Ulimwengu anatapatapa. Mlimfahamu leo au mwaka mmoja uliopita.
  5. Sir R

    The synopsis of Dr. Vicent Mashinji, Katibu Mkuu CHADEMA: Strength and Weakness

    Kinana ni katibu wa chama kilichoifanya Tanzania kuwa nchi ya majipu. Umakini wake uko wapi.
  6. Sir R

    Watu hawakumuelewa Rais Magufuli

    Viongozi, waje na mbinui ya kubuni miradi yenye kuibua nafasi za ajiri.
  7. Sir R

    Kubenea apandishwa Mahakamani leo

    Makonda houseboy wa riz moja
  8. Sir R

    Kilimanjaro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Niko hapa kituo cha Mawenzi Sec. Kuna vituo viwili. Foleni haziendi
  9. Sir R

    Wizi wa Kura Wanaswa, Mpango Mzima Huu Hapa

    Hawa vijana wapo kila jimbo. Wanajifanya wanafanya tafiti
  10. Sir R

    Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    Atahamia CDM mda wowote
  11. Sir R

    Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

    Anajaribu kukariri ilani yao lakini akimwaza Lowassa anasahau
  12. Sir R

    Nitazungumza na Watanzania kuomba ridhaa ya kuwania Urais

    Haya, UKAWA wanawasubiri kwa hamu
  13. Sir R

    Sera ya ujamaa wa ACT - Wazalendo ndio inapelekea watu kujiunga na ACT - Wazalendo

    Sera ya ujamaa haiwezi kutekelezeka karne hii.
  14. Sir R

    Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    Kwanini lazima uwe kwenye chama usichokikubali?
  15. Sir R

    Zitto akutana na wahariri usiku huu Dar

    ZZK ni kila kitu katika ACT. - Mkuu wa chama - Mwenezi - Nuru ya chama - Kingunge wa chama - Mganga wa chama - Mwenyekiti wa chama - Mlezi wa chama; - Kichwa cha chama.
  16. Sir R

    Maazimio ya kamati kuu ACT - Wazalendo haya hapa

    Anzisheni azimio la ACT si la Arusha maana Nyerere alijitahidi sana na azimio la Arusha lakini hakufanikiwa.
  17. Sir R

    Wajumbe waanza kumiminika Kwenye Mkutano Mkuu wa ACT- Wazalendo

    Nyota hutumiwa sana na waganga wajadi. Hiyo alama kwenye bendera maana yake nini?
Back
Top Bottom