Search results

  1. Vitendo

    Toyota allion for sale

    imeuzwa
  2. Vitendo

    Majanga

    Kwa miaka sasa wazazi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina kama; sikujua sikuzani, Matatizo, havinitishi Muungano, Majaliwa, Subira, Wema, Baraka. Taarifa zinasema neno la MAJANGA lipo karibu kuanza kutumika kama jina la mtu.
  3. Vitendo

    The Swedish Institute Study Scholarships for Academic year 2013-2014

    Habari, Nafasi hizo,naomba wadau tuchangamke. The Swedish Institute Study Scholarships
  4. Vitendo

    Commonwealth scholarship in the united kingdom for 2013.

    Commonwealth Scholarship Commission in the United Kingdom | UK universities
  5. Vitendo

    Zanzibar kuanzisha Baraza la mitihani

    Wajumbe wa baraza la wawakilishi wamepitisha mswada wa sheria wa Kuunda baraza la Mitihani Zanzibar. awali Jina lililopendekezwa na waziri wa elimu wakati wakiwasilisha mswada ilikuwa ni Kuanzisha Bodi ya Vipimo na Tathmini ya Elimu Zanzibar. Waziri, pamoja na naibu wake Zahra Ali Hamad, pamoja...
  6. Vitendo

    Mkuu wa nchi anajua sana kutoa pole kwa wafiwa.

    Mkuu wa nchi ya Tanzania akimpa pole mtoto wa marehemu Balozi Raphael Lukindo.
  7. Vitendo

    Take a breath...smile....Jobs in Dubai.

    Kuna ukweli wowote hapo kwenye picha?
  8. Vitendo

    Baiskeli kwenye speed kali..

    Anaona utamuuuuuuu.
  9. Vitendo

    Scholarships at jacobs university bremen-germany.

    Wadau wote waliomaliza form six wanaotaka kwenda kupiga DEGREE au kwa wakuu wanaotaka Nondoz za Masters,chuo hicho kipo poa sana na kinatoa fedha ya kutosha(Almost utasoma bure)..na kwa sasa wamepata kufahamu na kuiamini A-LEVEL ya Tanzania,baada ya vijana wa Kitanzania kwenda hapo na kufanya...
  10. Vitendo

    Bahili vs muuza ndizi.

    Jamaa mmoja alikuwa bahili sana,akaenda sokoni kununua ndizi maöngezi yalikuwa hivi; Bahili:ndizi shilingi ngapi? Muuzaji:sh.mia! Bahili:mimi nina sh 60! Muuzaji:utapata maganda tu! Bahili:basi nitakupa sh 40 unipe ndizi maganda ubaki nae wewe.
  11. Vitendo

    Tujikumbushe maafa/matokeo ya kidato cha nne 2010,kabla ya haya mnayoyalila ya 2011.

    MAAFA YA KIDATO CHA NNE 2010 DARAJA WANAFUNZI I 5363 II 9942 III 25083 IV 136,633 0 174,193 hivyo ndiyo hali halisi ya jinsi ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2010, Ila hayo ndo maafa yaliyotukumba Tanzania kama Taifa,maana huu ni msiba wa...
  12. Vitendo

    Duuu!!!wakwe wa kichanga!!!

    Jamaa 1 Alimpa mimba binti wa kichaga,Baba m2 alikasirika na Akapanga kumuua jamaa,Jamaa Akam2mia salaam mzee kwa kumwambia,Mzee kweli mie ndie niliempamimba binti yk,na kusema ukweli cna mpango wa kumuoa,lkn natoa Ahadi Akizaa mvulana nitakupa bilioni1 na mtoto nitamchukua,Na Akizaa msichana...
  13. Vitendo

    Msd career opportunities...

    msd medical stores department 1 EXCELLENT CAREER OPPORTUNITIES Our client, Medical Stores Department (MSD) is an autonomous Department of the Ministry of Health and Social Welfare. MSD was established by an Act of Parliament No.13 of 1993 with an objective of developing...
  14. Vitendo

    Scholarship in Korea.

    click the link below; Wireless & Mobile Communication System - Scholarship Notice (Foreign students for fall semester 2012 wanted)
  15. Vitendo

    Scholarships for Developing Countries

    Ingia kwenye hiyo website hapo chini,kuna nafasi kibao za kupiga shule. International Scholarships for Developing Countries | 2012-2013 Scholarships for Development
  16. Vitendo

    The Swedish Institute Study Scholarships..

    wadau chagamkieni hizo vitu... The Swedish Institute Study Scholarships
  17. Vitendo

    Misamiati 50 iliyonisumbua kichwa sana katika miaka hii 50 ya tanganyika.

    1.mpango mkakati. 2.megawati. 3.wahisani. 4.wawekezaji. 5.mkopo wenye riba nafuu. 6.libeneke 7.mgao. 8.gamba/magamba. 9.demokrasia ya kweli. 10.tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele. 11.fitina 12.wanaharataki. 13.posho. 14.Nondozi 15.wadau. 16.uhujumu uchumi. 17.ufisadi. 18.muungano...
  18. Vitendo

    Gideon Chipungahelo andelea kuwamaliza washiriki wa Miss Utalii!

    Mshiriki Miss Utalii Vyuo Vikuu Kanda ya Kati Dodoma 2011 Irene Richard (CBE) akiwa na Gideon Chipungahelo, mwandaaji wa mashindano hayo.
  19. Vitendo

    Mazingira haya ya elimu ya mtanzania halisi na posho ya tshs300,000 kwa siku!!aibu.

    Aibu hii sijui hadi lini!!!
Back
Top Bottom