Search results

  1. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    Ni ngumu maana nauza ili nipate hela ya kuongezea ili kununua gari lengine
  2. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    we utakuwa tayari unagari maana mtu mwenye njaa huwa hachagui chakula
  3. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    Sio mbaya kwa ulivyo andika maana unaleta ucheshi humu
  4. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    Bei kuwa nafuu haina maana kama gari ni kimeo na ndio maana nimesema mtu aje na fundi wake kuk\gua mimi nauza ili niongezee hela ninunue gari lengine kama huna gari na unalipuuza hili inakuwa imekula kwako
  5. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    kwa nyie wakubwa nendeni kwenye harrier hili ni kwaajili ya wanao anza kumiliki usafiri binafsi maana kila kitu kina mwanzo
  6. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    ni mashaka yako tu , gari haina shida waweza kuja na fundi wako
  7. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    Gari haina shida yeyote ni kuweka mafuta na kuyeya .jipatie ndinga la kwako uepukane na daladala kwa bei ya kutupa 1.6m tena kwa uhakika uje na fundi wako0789630368
  8. TBO

    Fahamu kuhusu Kennedy family iliyoanza kwa baraka ikaishia kwa mikasa

    Ni familia ya mtu aliyekuwa mfanyabiashara na mwanasiasa mashuhuri nchini marekani kwenye miaka 1920s Mr Joseph Sr Kennedy yenye watoto 9 , Joseph Kennedy ktk kipindi cha ujana wake alifanya jitihada sana ili aweze kupata nafasi kubwa ya uongozi wa urais nchini marekani. Lakini jitihada zake...
  9. TBO

    Kwa mwenye uhitaji wa gari mwenye kuanzia mil 3 kuendelea timiza ndoto yako sasa ya kumiliki gari

    Bei chee magari ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa magari ya kuanzia MIL 3 kuendelea yenye hali nzuri Epuka kalaa za mwendokasi na daladala kama kukanyagana,kunusa vikwapa, wanawake kubambiwa Miliki gari lako sasa fanya mawasiliano na namba 0789630368 utumiwe picha za magari watsup
  10. TBO

    Mzee wa upako awatolea uvivu wanaojiita Mitume na Manabii

    Jambo linapo zungumzwa tujifunze kujibu kwa hoja na hata kama mtu kakosea ni rahisi kumsahihisha kwa Wakristo tukirudi katika biblia tunaambiwa hekima ni bora kuliko silaha za vita neno hili lina maana pana kwahiyo sidhani kama kumtukana mtu au kumfedhehesha ni njia sahihi ya kumrekebisha...
  11. TBO

    Mzee wa upako awatolea uvivu wanaojiita Mitume na Manabii

    Kwa nyie mnao mtukana mzee wa upako kuwa ni mlevi sijui anakunywa konyagi n. k mmesahau kuwa katika dini ya kikristo dhehebu la waroman katoliki pombe wameialalisha tena unaweza ukakuta katika mlango wa kuingilia kanisani kuna counter au ikawa sio ajabu kuona mmoja wa waumini kashika chupa ya...
  12. TBO

    Mzee wa upako atoa ufafanuzi kuhusu huduma ya mitume na kinabii kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii

    Kwenye biblia utume na unabii ni miongoni mwa huduma kuu kubwa na tafsiri ya mtume ni mtu aliye tumwa na Mungu kuanzisha imani mahala ambako hakuna hiyo imani na sio kuanzisha zehebu mfano ni kupeleka ukristo mahala ambako ukristo haupo hapo ndipo mtu ana sifa ya kuitwa mtume , sasa hawa watu...
  13. TBO

    Kwa wale wafwatiliaji wa mieleka (wrestling) hivi yale mapigano ni ya kweli au maigizo

    Kadri umri wangu unavyo zidi kusogea nina pata mashaka na mchezo wa mieleka ninahisi kama yale mapambano ni maigizo yani wana panga michezo ,wanatengeneza script , ninaomba mwenye taarifa sahihi anijuze
  14. TBO

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Nimepost kitu kisicho husiana na kumkashfu mtu wala kuvunja sheria za nchi lakini from nowhere my thread imekuwa deleted ....this is not fair at all Change u guys . nyie wenyewe mnapigania uhuru wa mitandao lakini sisi humu Jf hamtupi uhuru au ndo mkuki kwa nguruwe.
Back
Top Bottom