Search results

  1. H

    Askofu RC atishiwa bastola madhabahuni

    Yawezekana huyo mwanamke si mkazi wa Njombe wala si muumini wa hilo kanisa, ninavyo fahamu mji wa Njombe ni mdogo, na mhusika angekuwa anafahamika, huyo ametumwa.
  2. H

    Mama apotea ghafla salendar bridge

    Mmeanza stori zenu za uongo?
  3. H

    Facebook

    Hakuna kitu kilicho na faida tu bila hasara au hasara tu bila faida. Mhusika wa kitu husika ndiye anayeamua kukitumia kifaa hicho kwa faida au kwa hasara. Hivyo hivyo kwa FB kama umeamua kutumika kwa tathnia hasi basi matokeo yake yatakuwa hasi na kama imeamua kutumia kwa tathnia chanya basi...
  4. H

    Elections 2010 Makamu wa Rais awe NANI?

    what is tetesi, weka ushahidi....
  5. H

    Appeal court ruling denounced

    Majaji hawaogopi kuvuliwa nyadhifa zao, wanauhuru na ulinzi wakutosha waliopewa na katiba kwa mujibu wa Ibara 107A na 108. Wanaogopa kunyimwa uongozi wa kisiasa mara baada ya kustaafu nyadhifa zao. Majaji wengi ni wanachama wa chama fulani japo sheria hairusu jaji au hakimu kuwa mwnachama wa...
  6. H

    Taifa staz vs Rwanda: Matokeo

    Kama tumefungwa na Rwanda, kisha tukipewa dozi ya kutosha na Brazil, tutakuwa tumetangaza ubora wetu wa kusakata soka au tumetangaza wendawazimu katika soka? Me nadhani tungetumia nguvu kubwa kufuzu mashindano ya CHAN ndio ingekuwa fulsa nzuri na bora ya kujitangaza lakini sio hii. It is total...
  7. H

    Dar es Salaam jiji chafu duniani

    Inawezekana ngoja tufanye utafiti...
  8. H

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Teh teh teh... Kiongozi nakuomba ukafanye utafiti maeneo ambayo Radio One inapatikana kisha uwajibu wana JF.
  9. H

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Ok! mnyalukolo hapo umeongea vizuri sana, Je unadhani kulikuwa na makubaliano yeyote kati ya TFF na vilabu juu ya kuonyesha mpira moja kwa moja (Live), na kama yalikuwepo kwa nini vilabu kikiwemo Yanga walipo anza kulalamika TFF hawakutoa tamko? Kuonyesha mpira ni biashara na kama utakubaliana...
  10. H

    Maisha na starehe za uswahilini

    Wakishua huyo, kazaliwa kwenye sofa kakulia kwenye hotpot... Escaping the problems is not a permenent solution to yourself and the public in general, Let discuss what should the society and the Government do to solve it.
  11. H

    Zijue mali za maselebu wa Bongo

    Safi sana mwanadada Gaidi...
  12. H

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    TBC Taifa, Clouds Fm, 100.5 Fm, Radio Tumaini, Praise Power Fm, chanel Ten, TBC1 na nyingine nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Tanzania nzima - Radio One & ITV haidhuru habari za Wekundu zitaendelea kuvuma, Kwanza Radio One inasikika Dar es Salaam na mikoa michache tu haina watazamaji na...
  13. H

    ni vizuri kucheka kwenye picha

    Jammaa naona kaopoa kitu Extra Large, very nice...
  14. H

    Mi naipenda tuu...

    Watu ndio washaona... na wameshadhani... itabidi uitoe tu ili wasiendelee kudhani...Teh teh teh
  15. H

    Bro wangu kamegewa wife wake na house boy

    Basi tena house boy kesha mzidi ujanja... Solution mshauri bro amwozeshe my waifu kwa house boy...Hee hee hee.
  16. H

    Mpenzi wangu na safari za bosi

    Tehee tehee tehee... Itetei Lya Kitee matatizo na mkeo hayaishi tu? mara mpenzi wako ana chuki na ndugu yako, mara safari na bosi wake zimezidi Tehee tehee tehee....
  17. H

    Majaji waitoa jasho serikali kortini Dar!

    Nimekupata mkuu, anajua ila anatekeleza alichotumwa na na wasio jua sheria. Anabaka taaluma ya sheria na hastahili kuwa mwanasheri...
Back
Top Bottom