mazungumzo haya yanawasumbua sana nyie vijana mlioko vyuoni.. Malizeni mje kazini muone mambo yalivyotofauti... Interviews haziangalii umesoma wap jaman., kuna mambo mengi sana yakuangalia na hao mnaowaita vilaza wanaotok vyuo vya private ndo wanafany vzuri. Wanafunzi wa tumaini wamejaa huku...
hivi punde tumeshuhudia matokeo ya mitihani ya kidato cha sita lakin cha kushangaza ndani ya shule kumi bora, shule za vipaji maalum hazionekani na zaidi ya hayo tumeshuhudia uwepo wa shule ya kata ndani ya kumi bora [kisimiri]. Je hi ni kuonyesha kwamb vipaji kwa sasa vipo kata?
mi nadhani sio kweli kwa7bu kwanz material hawatafuti bali wananunua kutoka chuon pili ingekua mtu anafaulu kwa kujisomea mwenyew kusingekua na haja ya walimu. Hawa wanafunz wa open kinawasaidia ni wao kuwapo kazini ambapo wanajikuta na ujuz na uzoefu mwingi lakini uzuri darasani huwezi...
vice principle Fr. MUHOZA ni kauzu zaid ya dagaa wanafunzi walipotaka kuandaman akasema ataenda mwenyew bodi, ameenda bodi wakamwambia serikali haina hela aliporudi akasema msubiri serikali itimize wajibu wake. Kama kuna anaetaka kuandamana aandamane halafu wakutane. Mbaya zaid amewaambia hayo...
mfumo huo haupo tena.. Bodi itaendlea kutoa mikopo kwa wanaonufaika kam kawaida... Ikiwa kuna ambae hataki kuendlea kupokea mkopo anatakiwa kuijulisha bodi. Kwa maelezo zaid tembelea website yao.
FFU wanaonekana kila wakati wakipita na kusimama eneo la chuo bila mpangilio maalum. Wat wanahisi huenda chuo kinajaribu kuchuka tahadhari mapema kwasababu ni ukweli hakuna dalili hat za kusaini kila siku wanaomb uvumilivu.
yeah huku kwetu loan officer anatumia kila njia kuwajulisha wat kwamb kwa sasa hakuna ku update tena, bodi itaendlea kutoa mkop kwa wat wake kam kawaida. Kwa ambao hawataki ndo wanatakiwa kutoa taarifa.
Wanachuo wa jordan university wametangaziwa hali ya hatari kwa kuitiwa askari wa kutuliza fujo FFU kuzunguka maeneo ya chuo kila wakati.
Hii nibaada ya kuzuka kwa tetesi kwamba wanataka kuandamana kutokana na kukosa pesa za kujikimu kutoka loan board.
Ni ushauri wangu kwa bodi ya mikopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.