Search results

  1. Bramo

    Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

    Wakuu JF, Greetings and I hope you are doing well. Niende kwenye Mada, Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Imemteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi akichukua Nafasi ya Sophia Mjema. Pia soma >>>Uteuzi wa Makonda na mustakabali wa...
  2. Bramo

    Very Crucial: Wanaume tuzidi Kujijali Wenyewe Kwanza

    Wakuu, Nisiwachoshe Msinichose, niende Moja Kwa Moja kwenye Point. Ule Ufala wa Kila unachowaza kufanya unafikiria watu wa Nyumbani kwako Kwanza achana nao Mara moja. Infact, Nyumbani kwako no body (Your Wife to be More Precisely) Cares about you. Vitabu vitakatifu vinasema Tuishi nao Kwa...
  3. Bramo

    Ulinzi Shirikishi: Kiashiria cha Polisi kushindwa kazi yao

    Nimekuwa nikifuatilia Kwa Ukaribu sana Namna Polisi wetu wanavyokomaa na Ulinzi Shirikishi, wakienda Sehemu ambapo tukio la Uhalifu limefanyika, utaona Wanatoa Lawama Kwa Raia Kwa madai ya kushindwa kufanya Ulinzi Shirikishi, Polisi wetu wanataka kutuaminisha kuwa Ulinzi Shirikishi ndio Kila...
  4. Bramo

    Tusemezane: Ipi ni Namna bora ya kuishi na Mke aliyeokoka?

    Wakuu Amani iwe nanyi. Nimefungua Uzi huu Kwa Nia ya Ku share uzoefu / Success za Kuishi Kwa Amani na Mwanamke ambaye ameokoa, bila kuyumbisha Familia. Nimeshuhudia Ndoa Nyingi zikiyumba na Nyingine Kuvunjika kabisa pale Inapotokea Mama ameokoka. Kwa cases nilizoona, Mama anabadilika Mtazamo...
  5. Bramo

    New TARURA Parking Fee System inaenda kuwa aina mpya wizi na uonevu

    Waaungwana Kama heading inavyoonesha hapo juu. TARURA amekuja na namna nyingine ya kukusanya ushuru wa Maegesho ya Magari, Mfumo huu Mpya ni wa kielektroniki na uko based on Control Number. Nimefanya Research ndogo na kugundua kuwa Huu utaratibu mpya mbao ni Mzuri umegeuka kuwa ainia ya Wizi...
  6. Bramo

    UWT badiliaheni Jina kusawili uhalisia wenu

    Umoja wa Wanawake wa CCM wamejificha kwenye Jina la Umoja wa Wanawake wa Tanzania, UWT. Ni Wakati Muafaka sasa Kwa hawa wake zetu, Mama zetu na Shemeji zetu kubadilisha kifupi cha Jina Lao ku reflect Umoja wao, Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania, Mfano UWCT etc. Kuendelea Kujiita Umoja wa...
  7. Bramo

    #COVID19 Katika Kupambana na Covid-19: CHADEMA Must be Thanked

    Wakuu Amani iwe Nanyi, Nikienda Moja kwa Moja kwenye details zenye ku backup Heading Pale juu. Tumeona Kataza la Mikusanyiko isiyo ya Lazima likitolewa na Wizara ya Afya leo. Ni dhahiri Hii inafuatia sarakasi za Polisi na Mikutano CHADEMA kule Mwanza. Ni wazi kuwa bila Movement za CHADEMA hili...
  8. Bramo

    Mwanamke akikukera usimpige wala kumuacha

    Wakuu wanaume wenzangu, Nimeona wanaume wengi sana wake zetu wakitukera sana basi tunaishia kuwapa kichapo na hata kuachana nao. Hii ni misuse of resources kwa kiwango kikubwa sana. Yaani tunashindwa kuishi nao kwa akili. Hii ni Failure kubwa sana kwetu Wanaume. Mwanamke akikukera sana...
  9. Bramo

    Huyu mdada wa nyumbani huyu. Nashukuru nimeshinda mtihani

    Wakuu, Amani iwe Nanyi, takriban Mwezi wa Tatu huyu Dada aungane na Familia yetu lakini kila siku zinavyoenda najikuta shetani ananiambia nimgegede, mbaya zaidi dalili zote zaonesha she is ready for anything. Mpaka sasa nimefanikiwa kumshinda Shetani. Nashukuru kwa kukishinda kishawishi hiki...
  10. Bramo

    Nazishangaa Tahadhari kwa Jerry Muro baada ya Uteuzi wa Dr. Mahera

    Wakuu JF Amani iwe nanyi, Kuna nyuzi kadhaa zimefunguliwa zikiwa na maudhui tofauti tofauti juu ya uteuzi wa Dk Wilson Mahera kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC. Wengi wame reffer pale Jerry Muro alipokuwa anamfokea Dr. Mahera wakati akiwa ni Mkurugenzi, watu hawa wanampa...
  11. Bramo

    Zitto: Hakuna zaidi ya Lissu 2020 kwa Urais

    Wakuu Amani iwe Nanyi, Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe ameweka Bayana kuwa ni Uendawazimu kuwaza kumkabili Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi wa 2020 bila kuwa na Kiungo na Mwana Siasa Mahiri kama Tundu Lissu. Zitto amekiri kuwa yeye kama yeye ana uhuru wa kutoa Maoni ya...
  12. Bramo

    Status Update: Ujenzi wa Nyumba za Askari Magereza Ukonga

    Kutoka Maktaba. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 16 Machi, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Magereza wa gereza la Ukonga Jijini Dar es Salaam na kuagiza mradi huo ukabidhiwe kwa Jeshi la Ulinzi la...
  13. Bramo

    Sudan's military and opposition agree on joint council

    Sudan's ruling military council and the opposition alliance have reached an agreement in principle to form a new body to run the country until the next election. The agreement was reached during a meeting on Saturday between the ruling Military Transitional Council (MTC) and the Declaration of...
  14. Bramo

    Kutoka Maktaba: TAKUKURU yataja mtuhumiwa wa sare hewa za bilioni 40

    Habari za uhakika kutoka Takukuru ziliiambia Nipashe jana kuwa taasisi hiyo iko katika hatua za mwisho za uchunguzi wa sakata hilo. Sakata hilo liliibuliwa na Rais John Magufuli katikati ya mwaka jana alipokuwa akizungumza na maofisa wa Jeshi la Polisi aliowapandisha vyeo vya Naibu Kamishna wa...
  15. Bramo

    Uzinduzi wa Taasisi ya Watu Wenye Ulemavu ya Dkt. Reginald Mengi : Pascal Mayala Njoo Huku

    Mubashara ITV, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kuzindua Taasisi ya Watu wenye Ulemavu ya Dkt. Reginald Mengi Foundation iliyoanzishwa na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dkt Reginald Mengi katika fupi iliyofanyika.. Uzinduzi wa...
  16. Bramo

    South Korean Prime Minister resigns over ferry sinking

    South Korean prime minister resigns over ferry sinking South Korea's prime minister has resigned over the government's handling of a ferry sinking that has left more than 300 people dead or missing and resulted in widespread shame, fury and finger-pointing, blaming "deep-rooted evils" in...
  17. Bramo

    Ukimya wa Safari za Dreamliner

    Wakuu Amani iwe nanyi Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa...
  18. Bramo

    Mke wangu amejiunga na kanisa la 'kiroho' na inapelekea kutugombanisha; naomba ujanja wa kukabiliana na tatizo hili

    Wakuu JF, Amani iwe nanyi Kwanza kabisa nipende kutambua kuwa humu JF kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwa watu mbalimbali kama utajipa nafasi na muda wa kufanya hivyo. Nina kisa ambacho kimenitokea, mnaweza kunicheka but i wont mind, what i need ni njia sahihi ya namna ya ku deal na Wife...
  19. Bramo

    UKAWA acheni kuwapa NEC points 3 zote muhimu

    Wakuu JF amani iwe nanyi. Nimemuelewa sana Mkurugenzi wa uchaguzi wa NEC alipojibu hoja za UKAWA na Sababu zao za kutokushiriki /kususia uchaguzi wa January 2018. Kimsingi UKAWA mmewapa NEC 3 Points muhimu kabisa kwa hoja zenu. UKAWA you have points but hamjui namna na wapi pa ku present...
  20. Bramo

    The Return of Tundu Antipas Lissu to his Mother Land

    Wakuu JF amani iwe nanyi, Kwa sababu Mungu wetu ni Mwema sana, alimuepusha na Kifo Tundu Lissu hadi kufikia kuwashangaza watesi wake wenye Roho zilijojawa na kiwango kikubwa kabisa cha ushetani (Tremendous Satanism). Utukufu wa Mungu umedhihirika,utukufu wa Mungu unaenda tena kudhihirika kwa...
Back
Top Bottom