Search results

  1. B

    Madereva wa Mbagala na Kijichi wana vurugu sana

    Jamani, hawa madereva wa huku uraiani Mbagala na Kijichi wana vurugu sana. Sijui ndiyo wanajaribu kujionyesha kwamba wana magari ya mikopo? (tunaita limbukeni). Mfano wale wa kutoka maeneo ya Kijichi, huwa wanaovertake kwa kutanua pale mlimani na kwenye kona kali sana bila kujali wenzao, ni...
  2. B

    TANROADS mnatuachaje huku Kilwa Road?

    Jamani kwa wale tunaotumia Kilwa road, hii barabara ni balaa kwa hivi sasa. Kutoka pale roundabout ya Uwanja wa 77 hadi Mtongani kipande kile ni adha tupu. Kwanza kimekaa bila matengenezo sijui miezi mingapi, naona tunahesabu kalenda tu. Wametulazimisha kupita pale kati lakini siku hizi...
  3. B

    Kamanda Mpinga na trafiki wa Kilwa road tusaidieni

    Mimi nilikuwa kati ya wale watumiaji wa barabara ya Kilwa ambae niliwapongeza askari wa traffic pale walipoweka mabango kuzuia matumizi ya zile barabara za short cut (michepuko) ili kukata foleni na kuja kuchomeka hapa pembeni kwa yaliyokuwa makao makuu ya BP. Lakini hivi karibuni yale mabango...
  4. B

    Sisi wa Kijichi tumewakosea nini TANESCO ?

    Wadau wa Mtoni Kijichi na maeneo ya karibu, Hii sasa imekuwa shidddda! Kila baada ya masaa fulani umeme umekatika, umepungua nguvu mpaka kuunguza vifaa na mengi ya kuudhi kutoka Tanesco. Umeme ukikatika jumamosi huwa unarudi usiku sana au baadhi ya siku huwa unarudi jumapili. Huu ni uonevu...
  5. B

    Mbona Waziri wa Ardhi hakuambiwa kuwa yeye ni mzigo?

    Ziara ya Kinana na Nape imewaibua "Mawaziri mizigo" saba ambao wameitwa huko Dodoma kujieleza. Nashangaa kwa nini Waziri wa Ardhi hakuitwa kujieleza kwani hayo matatizo kwenye Wizara yake ndiyo yamejaa tele na wala hatujaona ufanisi wo wote. Kuanzia uvamizi wa maeneo mpaka ugomvi wa ardhi...
  6. B

    Kwa wanaopenda makalio makubwa - tahadharini na waganga feki

    Haya mambo hayoooooo! Mwanamama mmoja nchini Marekani aliyetaka kuutengeneza mwili wake uwe wakuvutia zaidi amejikuta matatani, baada ya kudungwa sindano za saruji na gundi ili kuongeza ukubwa wa makalio yake. Mwanamke huyo ambaye hakutajwa jina kutokana na sababu za kisheria, alikuwa akitaka...
  7. B

    Mateso ya wanyama wa Vingunguti

    Juzi kwenye tv wakati sakata la machinjio ya Vingunguti linaelezwa niliona ng'ombe mmoja ameshindwa kusimama kwa njaa kwani ulikuwa unamwona amekonda kabisa. Nina imani na wanyama wengine huwa wanatendewa vile vile. Kwa kweli huu ni ukatili usiopimika kuwacha wanyama na njaa kwa vile...
  8. B

    Microwave oven lililokuwa halifanyi kazi unalitupa wapi?

    Katika miaka hii ya karibuni nyumba na ofisi nyingi zimekuwa na microwave ovens ambazo huwa zinarahisisha kazi kwa kiwango kikubwa. Tatizo linakuja pale linapoharibika, jee disposal mechanism yake inakuwa vipi? Nimesikia kuna vitu vinatoa mionzi mule kwenye microwave sasa jee tufanye nini...
  9. B

    Msaada laptop yangu yenye vista iko very slow

    Tafadhali naomba msaada kwa wataalamu wahusika. Nina laptop yangu ni hp nimeinunua kama miaka miwili nyuma lakini huwa siitumii sana. Operating system in windows vista na program za microsoft (word, excel) ni za 2007. Inayo norton antivirus ambayo ni up to date. Hivi karibuni nimenotice...
  10. B

    Kipindi gani cha ujenzi nimtafute Interior decorator?

    Ndugu wanaforum naomba msaada wenu. Kulikuwa na post moja ambayo ilikuwa na discussion juu ya ujenzi wa nyumba. Sasa na mimi naomba kuuliza jee ni katika hatua gani ya ujenzi nahitaji kumwita interior decorator? Kabla ya kuanza kupaka rangi au rangi niamue mwenyewe halafu ndiyo nimwite yeye...
  11. B

    Upeo wa majukumu ya Wabunge jimboni

    Jamani mimi mwenzenu napata shida kuhusu majukumu ya Wabunge tunaowachagua kwenye majimbo yetu. Asilimia kubwa ya wananchi wanasema Mbunge wetu hakutufanyia hivi, mfano hakutujengea shule, barabara, hospitali, hakuleta maji na kadhalika. Naomba kueleweshwa jee upeo wa majukumu ya Wabunge ni...
  12. B

    Mwanamke huyu ni "Stalker"

    Tafadhali naomba ushauri kwa jirani yangu huyu. Kuna mwanamke anamtaka kimapenzi lakini yeye hana interest naye kabisa. Lakini mwanamke huyu anamsumbua sana mpaka imekuwa kero. Mchana na usiku ni message tu za kumpenda na kumwomba waoane. Huyu mwanamke wala hajali kama yule jamaa ana mke au...
Back
Top Bottom