Search results

  1. B

    Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

    kitengo cha propaganda na hata hicho kituo cha television kilichotangaza kilikuwa na uhusiano na Netanyahu. Jaribu kusikiliza na news kutoka sources nyingine (za hao hao wazungu lakini wasiopenda dhuluma za Israel) na utapata balanced information.
  2. B

    Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

    hata machifu wote waafrika kutoka nchi zilizoshiriki biashara ya utumwa nao walitajirika kwa biashara hiyo hiyo ya utumwa.
  3. B

    Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

    waliambiwa watoe ushahidi wakashindwa. Na ilifahamika kabisa wapi propaganda ile ilitokea, na yule aliyetangaza alipewa taarifa na jeshi la Israel yeye mwenyewe hakuona.
  4. B

    Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

    soma vizuri, alimuwakilisha Raisi
  5. B

    Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata kijana mwenye Gari, Sasa hivi anatamani kuwa na mimi tena

    baadae wanasahau wanakuja tena kulalamika ugumu wa maisha
  6. B

    Watu wenye rangi nyeupe wametuacha mbali kifikra

    hivi huyo Shaquile kwani ni muarabu? hapo muarabu ameingia wapi?
  7. B

    Watu wenye rangi nyeupe wametuacha mbali kifikra

    ni kweli wengine huwa wanajisahau kabisa na kusubiri baba afe wao warith, na wengine huenda mbali zaidi na kufanya mipango ya kumuua mzee ili wapate urithi mapema. kwa hivyo hiyo ni kuwapa challenge wasilale lakini wachakarike ili kutafuta utajiri wao wenyewe na kuzionea uchungu fedha walizotafuta.
  8. B

    Nyanya imekuwa bidhaa adimu Tanzania sababu ni waarabu kununua mashambani na kusafirisha nje

    tafuta eneo ufanye bustani upande nyanya zako, za ziada na wewe utauza wacha kulalamika.
  9. B

    Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    siyo nyumba ya ibada, ni floor moja ndiyo iliwachwa wakfu kwa chuo. Sasa huyo imamu ni tamaa tu. Hapo hakuna makubaliano ni kwamba nyumba iuzwe kihalali, wote wakubaliane itolewe sehemu ya fedha ijengwe madrasa kwa jina la mwenye nyumba ili aendelee kupata thawabu zake. Kwa hali ilivyo hapo...
  10. B

    Waislamu 11 Wakamatwa Nigeria kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani

    inategemea, ikiwa umekatazwa kula hadharani basi kwani kuna shida gani kama utakula ndani kwako au kwenye hoteli?
  11. B

    Waislamu 11 Wakamatwa Nigeria kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani

    fanya declaration kuwa huna dini na hakuna atakaekusumbua
  12. B

    Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Please don't worry P, sisi tunatambua kuwa wewe unajua hizo issues zaidi kuliko huyo aliyekuita muongo. Shida ya vijana akiwa yeye hajui basi anafikiria na wengine wote wako kwenye level yake ya kutojua.
  13. B

    Makamu wa Rais: Zanzibar hakuna Amani, kuna Ukimya

    yaani wewe ndiyo umemkamatia akili zake? Hajielewi yeye au wewe unaeandika ovyo? Watu wengine bwana!
  14. B

    Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

    Idadi ya watu kwa kilomita ya mraba ni ngapi? Hiyo ndiyo ya kulinganisha kati ya nchi moja na nyingine.
  15. B

    Naendelea kujifunza kuhusu mwanamke nje ya mama

    hiyo wameisahau hao akina dada, wao wakishaolewa haoooo wameondoka wanashughulikia familia zao, leo wanakwambia wewe kaka usishughulike na yako. Huyo mke anakuzalia watoto na kuwashughulikia kikamilifu, wewe sifa yako ni lile jina (bin au binti fulani). Ukiumwa ndiyo full time nurse lakini...
  16. B

    Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Tutamwambia akuchukuwe na wewe kwenye. baadhi ya safari.
  17. B

    Rais Hussein Mwinyi: Mzee alitupa wosia akiwa hai mimi niwe msimamizi wa Familia pamoja na kuwa kuna wakubwa zangu

    siyo kweli, munaweza kuwa ni watoto wa familia moja na bado akatokea mkorofi mmoja au wawili wakasumbua
Back
Top Bottom