Search results

  1. G

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Mwenye kumbukumbu ya jambo lolote la mafanikio ya Bashe anijulishe
  2. G

    Unyapaa wa Waafrika kwa dawa na chanjo za Magharibi ulianza wakati wa ukoloni

    Huwa kuna mijadala mingi mitandaoni kuhusu huduma za kinga na tiba tunazopewa na wazungu. Wapo wanaosema kuwa kuendelea kupewa misaada ya chanjo na baadhi ya tiba ni moja ya njia inayotumiwa na wazungu kupunguza kasi ya watu weusi kuzaliana. Nimefuatilia makala iliyorushwa na Dw inayoonesha ni...
  3. G

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Katiba iko sawa, tatito ni hao wanaotfsiri katiba kwa njaa zao
  4. G

    Ushauri: Rais Samia naomba umfukuze kazi Mkurugenzi Mkuu wa TBS mara moja

    Jiridhishe kwanza kuwa i nani aliyeruhusu ujio mwa hicho chakula bora, ila jiridhishe pia kuona kuwa majirani zako wanaweza ku-afford mchele wa Mbeya
  5. G

    Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama yule marehemu Tanzania itaendelea kuwepo?

    nakushauri utembelee zanzibar pia na uwaulize wenyeji mambo yaliyofanyika ndani ya miaka mitatu , ujiridhishe pia kama Zanzibar inao uwezo wa ku-mobilize hizo financial resources
  6. G

    Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama yule marehemu Tanzania itaendelea kuwepo?

    Unaonaje ukituletea na miradi ya Chalinze?, au haipo?
  7. G

    Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

    Kwa umri wake yupo katika hatua ya kusema ukweli tuuu. Ubongo wake hauna nafasi tena ya unafiki: toka mwenda zake aondoke familia yake ilionesha kukerwa na uwepo wake kwa hiyo walisherehekea kuondoka kwake
  8. G

    Mzee Mwinyi kinara wa ujenzi ovyo na holela, aliharibu Dar na Miji yetu

    Hatufukui makaburi, bali lazima tujue gharama na aliyegharamia mazishi
  9. G

    Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

    Hebu kwanza niorodheshee wanafamilia au wana ukoo wake waliofariki, tuanzie hapo kwanza. Aliyekufa alikuwa mbaya wake, kwani hilo hulijui????????????????????????
  10. G

    Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Hii nchi ukitaka kuwa maarufu na kuheshimika - kuwa mwizi na tapeli
  11. G

    Serikali tunataka majibu juu ya uwepo wa mgodi wa siri katikati ya msitu huko Kitunda

    Na usalama wa jamii pia vzvz mawe yanayuruka after blast pamoja na vumbi
  12. G

    Serikali tunataka majibu juu ya uwepo wa mgodi wa siri katikati ya msitu huko Kitunda

    Mitambo iliingiaje hapo, chenjulio liko wapi, kemikali zinaingiaje hapo?
  13. G

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Mtizamo wetu ni kuwa - "namimi nijue maslah yangu binafsi" yakoje
  14. G

    Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!

    Usipepese macho , sema tu ukweli- mmoja wa wahusika wakuu tumemuona juzi akitembelea mkongojo, wengine kama akina Ndolanga wameshatangulia mbele za haki
  15. G

    Kifo cha Stan Katabaro kilivyoharibu legacy ya hayati Mzee Mwinyi

    Wa waache watu waseme: unajua kwanini enzi zake biasahara ya madawa ya kulevya na uvunaji wa ndovu ulishamiri?
Back
Top Bottom