Search results

  1. N

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    This is powerful evidence Lipumba and those in this room are so ignorant on issues regarding nation. Kama umekwenda college ukapata shahada ya uchumi unazungumzia investments in terms of udini unaonekana Lipumba still 'uneducated' regardless of his studies. Huu ni ushahidi na kama Chadema...
  2. N

    Hii si hali ya kawaida, bila shaka serikali inajua siri ya haya

    Nchi nyingi scandals za Kikwete alitakiwa aondoke madarakani zamani sana. Corruption inayoendelea nchi akiwa kiongozi wao, ni dhahili anawaficha na anajua rafiki zake. Tangu uchochozi wa kidini uanze Kikwete alikua kimya na hakua na responds zozote zile. CD's na viongozi wa kidini walipokaa na...
  3. N

    Kibanda aliteswa na majasusi!

    Kuhusu harrassment ya Kabendera (hapo kwenye red - italics) Kabendera mwenyewe kakanusha katika statement yake wiki mbili zilizopita kwamba mengi hahusiki kabisa, na wala hakuwa behind ya watu wa uhamiaji kuiharrass familia yake. Taarifa yake hiyo ilichapishwa katika magazeti kadha. In fact...
  4. N

    PICHA: Rais KIKWETE ahudhuria Mkutano wa VIONGOZi wa Vyama Vilivyokuwa Mstari wa Mbele kwa UKOMBOZI

    You got be kidding...thats not true reflection We're very close and God is about to do wonders very soon
  5. N

    Kibanda aliteswa na majasusi!

    Yaliotokea kwa Kidanda ni 'intimidation' and 'close call to death'. Tunachoshahuri ni kila msomaji wa hii habari ujue 'wewe' pia linakuhusu. The truth ni kwamba kazi za Kibanda na wengine wote (Everest Chahali, Erick Kabendera na hata Dr Ulimboka) ndizo zimewafanya wakawa targets na kujaribu...
  6. N

    Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

    Recycling dirt is business once Chadema kick out the mole some else need the junk...
  7. N

    Mafisadi na Ofisi ya Rais, Stop Destroying Our Country!

    The problem sio nani anaandika au jina la mtu inaonekana wote wanakua concerns sana nani anaandika wanataka kujua kama hii ikulu ina-benefits watanzania na hizi hoja sijaona tangu kikwete aingie kwa kuiba kura, defend the guy with credible evidences man! Too much pain and shame for the...
  8. N

    Polisi waanza kuwafuatilia waliomtukana Spika

    Democracy in terms of ccm na police ni kufuata orders zozote zile bila hata kuuliza aliwapa hizo orders ana maana gani. Nani ameandikwa wapi police na serikali kazi yake ni kusoma texts na 1. kuacha mafisadi wanaweka funds Swiss banks 2. wanyama wanaibiwa 3. udini na chuki kuenezwa kila...
  9. N

    CHADEMA mmejifunza nini kwenye mkutano wenu Temeke

    Wananchi wanajua rights zao na wanaelewa uhuni ccm mnafanya kwa wananchi. How about you guys mtaendelea kuletewa dowans na mkaendelea kukaa nyumbani sio?
  10. N

    Wabunge 'Wenye Nidhamu'

    This is incredible na mbaya zaidi sura ya Taifa ndivyo inaonekana duniani.
  11. N

    Mafisadi na Ofisi ya Rais, Stop Destroying Our Country!

    Sio jambo la kwanza kuandikwa au kutafsiliwa na wananchi wengi leo. Tangu siasa ya vyama vingi ni kweli tumeweza kubadilisha nchi yetu kwa kuongeza accountability. Pia ni kweli hata wapinzania wa maendeleo Tanzania CCM hata wao wameweza kupigania haki zao za kuharibu hii demokrasia na...
  12. N

    "Asante Regia"

    Ni uchungu mkubwa lakini Tutakumbuka kwa Upendo na Mengi Ulioyafanyia Taifani Mwetu! Tuna mengi ya kusema ila' God lead you to this point' Asante Sana kwa Utumishi Wako na Kufundisha Ni nini Maana ya Uongozi. Sisi Kama Chadema na Nchi nzima Tumeshukuru kufanyakazi na Kupigania Haki ya Taifa...
  13. N

    Tuunganishe dots Mwanakijiji et al - kwanini Upinzani umeshinda Zambia, Tanzania je..

    We all know the truth about our society ... all I can say about our people is this we already walked up and Oct 2010 was dark day and things are revealing right now. We all know 2010 rigging election was good democratic revival for our people, kikwete and ccm made major mistake to steal our...
  14. N

    Aden Rage aomba radhi; hakujua kama silaha iko kiunoni!

    Who's feeling sorry for you? Watanzania wote kila mtu atafute silaha na tukae tayari, ccm wamepeana silaha kama Gadaffi alivyozigawa Tripoli siku zake za mwisho ...ccm na jk keep it up.
  15. N

    Binti awapasha Kikwete na CCM: Mmeua Elimu!

    Girl: Why I had to ditch physics at secondary school Eighteen-year-old Lilian Igusa was preparing to sit for her O’ Level Certificate in Secondary Education examinations (CSEE) at Kasengerema Secondary School when I arrived in Kigoma.Like most students at the school, she was regretting that...
  16. N

    Elections 2010 Dr. Slaa: CCM imebanwa Igunga; yajipanga kuchakachua kura

    Only I can push is for cdm to get tactical and protecting all the votes. Starting today, cdm should have plans to check all voting boxes before the votes and to protect all polling stations and vote counting. cdm must have a plan for responding to all voting criminality, even to remove this gov...
  17. N

    The class silent movement in Tanzania on Aljazeera

    Did you write this base on kikwete's opinion or wasira. Confusing as such and lack clear hypothesis. Only point I can catch here is kikwete and his son are working hard to rig the Igunga election ... thats a fact. Watanzania don't let kikwete and his people silent your voice to remove this gov.
  18. N

    CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

    Mwenye kuandika analysis ya namna hii anatoka Bagamoyo thats accurate! Wanawake wapi watapigia kuara ccm, wangapi ni wajinga kama ccm? Nani anataka majambazi kuongoza hili taifa letu? Dhati inaonekana wanaopenda ccm bado wapo nyuma na watateswa mpaka wakome, sima sympathy nao kabisa!
  19. N

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Sasa hii inahusina na nini kuhusu hii thread? Kweli nchi yetu inavichwa maji kweli kweli ... zaidi huu utumbo wako nyote mnaonekana ni mashetani matupu, unajua shetani akikuingia huwezi kujua yupo mwilini mwako?
  20. N

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    lowasa atagombea chama kipi 2015? cdm hatumtaki kabisa na ccm bado kwake si shwari ... je amehamia nccr kimya kimya?
Back
Top Bottom