Search results

  1. Digaller

    Nina LGk51 haisomi lain za Tanzania

    Wakuu nina LGk51 haisomi lain za tanzania kwa yeyote ambae anaweza kufrash isome lain za Tanzania imetoka ujerumani wakuu
  2. Digaller

    Sports Arena ya Wasafi FM: Ushauri na Mapendekezo ya Wasikilizaji

    Wakuu, Leo ni siku ya pili ya kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, kuna baadhi wameanza kusikiliza jana na baadhi leo na wengine labda kesho na kuendelea wanaweza kuanza kusikiliza, hivyo basi ukiwa kama msikilizaji naomba utoe ushauri wako ni wapi wanakwama na wafanye nini ili kuboresha...
  3. Digaller

    Je kwenye unga wa lishe naweza ongeza dagaa na ndizi?

    Habarini humu, Nimejaribu kutafuta kama kuna jukwaa la afya ila nimekosa/sijaliona so nikaona si vibaya kwakua humu kuna doctors basi mnaweza kunipa ushauri mzuri zaidi kuhusu lishe, ndio namaanisha ''unga wa lishe kwa mtoto au hata mtu mzima. Je kuna ubaya/faida gani kwa kuongeza unga wa...
  4. Digaller

    Traffic Morroco jirekebisheni

    Heshima kwenu wakuu, Kwanza nalipa pongezi jeshi la Polisi kwa kazi kubwa ambayo wanafanya haswa kitengo cha usalama barabarani kwa kazi kubwa mnayofanya. Pili ningependa kutoa ushauri kwa traffic mnaoongoza magari hapo moroco acheni hii tabia ambayo imeanza kuota mizizi, hivi mnawezaje...
  5. Digaller

    Angalia Epl, La liga, Serie A nk kwenye simu yako au tablet yako

    Heshima kwenu wakuu, Nimejaribu kutafuta post ya kuelezea hii kitubila kwa bahati mbaya sijaipata, kwahiyo nami kwa kutumia kile nilichopata nimeona si mbaya nikashare nanyi jinsi gani unaweza kuangalia Skysports na Btsport hapo hapo kwenye simu yako. Vitu inavyotakiwa kuwa navyo ni simu ya...
  6. Digaller

    Nauza HP pavilion 15 notebook

    Nauza Hp Pavilion 15 Window 8 Ram gb 4 Processor 1.5 Quad core Harddisk gb 500 Dvd Colour: Black Vodacom modem included. Bei Tsh 600,000. Negotiations ipo Nicheck kwa namba hii 0654 99 48 99. Ukitaka picha zake naweza kukutumia whatsapp. Haina miezi miwili toka inunuliwe.
  7. Digaller

    Je, naweza kuambukizwa/kuhisi hamu ya kukojoa mkojo?

    Habari wakuu, Hiki ni kitu ambacho huwa mara kwa mara kinanitokea na yawezekana hata wewe imeshawahi kukutokea. Mfano: Mnaweza kuwa kuwa group la watu kama tano mpo pamoja mnatembea, kati yenu mmoja akianza kukojoa mkojo tu basi group lote mnaweza mkawa na hiyo hali ya kutaka kukojoa na...
  8. Digaller

    Swali kwa wasukuma; Je unaweza kuoa Mmakonde?

    Heshima kwenu wana MMU, Nimeuliza hilo swali kwa wasukuma ili nipate majibu hasa ya kile ambacho rafiki yangu kinamtokea hivi sasa. Nina rafiki Msukuma ambae anafanya kazi Mtwara, rafiki yangu ni mwalimu. Amepata msichana ambae ni Mmakonde ila ndugu wanamkataa wakidai kwamba hata siku moja...
  9. Digaller

    Nini kinasababisha wanawake kutokwa na utando mweupe wakati wa kufanya ngono?

    Wakuu hodi humu, Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do? Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi. Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri...
  10. Digaller

    Makao Makuu ya AzamTv yazinduliwa.

    Makao Makuu ya AzamTv yamezinduliwa na Yatakua Tazara. Leo wametoa Logo yao sehemu ambayo yatakua makao makuu yao pale Tazara. Kwa watu waendao Kariakoo au Posta nadhani watakua tayari wameona hilo jengo. Nategemea jamaa kuishika sana Tanzania. Keep it Up AzamTv
  11. Digaller

    Nauza Blackberry Bold 9900

    Nauza Blackberry Bold 9900 kwa Shilingi 300,000. Kama unataka mzigo nicheck 0789776474. Negotiations Ipo.
  12. Digaller

    Nauza Sony Experia Z

    Nauza Sony Experia Z imetumika mwezi Mmoja. Ina internal memory 16 gb Os Jelly Bean 4.0 upradable to 4.1.2 Water Proof Unlocked HD camera ya 13 Mp Min Sim card BEI Tsh 600,000 Mawasiliano; 0789776477
  13. Digaller

    Nauza Iphone 4

    Nauza Iphone 4 Ina mwezi mmoja toka niinunue Capacity 16 Gb Ios version ya 6.1.3 Bei laki nne, Maelewano Yapo Ni unlocked na inatumia Line Zote
  14. Digaller

    Msaada Jinsi/ wapi naweza install Siri kwenye Iphone 4

    Nimenunua Iphone 4 kama Mwezi mmoja uliopita, Nimekuta kuna version ya 6.1.3. Nataka kuistall Siri kwenye hii simu, Je nifanyeje au wapi naweza kwenda na wakaniwekea hii kitu? Kwenu wadau nahitaji msaada wenu.
  15. Digaller

    Kwa Aliejiunga Social Network known as Pheed.

    Wadau, Nilikua naangalia social network ambayo ipo hot now achilia mbali Facebook na Instagram nikaikuta hii site inaitwa "Pheed" ambayo unapatikana katika googleplay na Applestore. Kiukweli ni nzuri kuitumia na zaidi inatoa pay per view. Nilichotaka kujua ni Je kuna member wa JF ambae...
  16. Digaller

    Nimeibiwa na Dadapoa, Wakuu mnawezaje ku-do na hawa wadada?

    Juzi nilikua maeneo ya Buguruni mishale ya saa sita usiku nikipata moja moto, moja baridi. Baada ya kilaji kukolea mbele yangu kulikuwa na kidada, nikajiexpress akanielewa, alitaka 20,000 ya kazi yake na chumba juu yangu. Kituko: Tulipofika Guest binti alipandisha sketi na kulala kisha kunitaka...
  17. Digaller

    Nauza blackberry Tour 9630

    Kwa anayehitaji tuwasiliane 0654994899, ina miezi mitatu toka niinunue. Bei laki moja na themanini (180,000)
  18. Digaller

    Nauza Cowon S9 32GB

    Wadau kwa mtu anayehitaji nauza Cowon S9 32GB Ina Operation System ya Android 2.3 Inaplay aina zote za video, Avi, Mp4 etc Inapleay aina zote za Audio Ina Flash player. Kama umeipenda tuwasiliane kupitia number 0654994899. Bei ni laki mbili (200,000). Changamkia ofa kuz zinauzwa Dollar 250...
  19. Digaller

    Ni kweli tunategemea mikopo mpaka kwenye matumizi yetu ya kawaida??

    Nimejaribu kwa muda mrefu sana kutafakari hotuba ya Bajeti iliyowasilishwa Bungeni lakini sijapata jibu mwafaka, nina maswali ambayo nataka tujadiliane wana JF:- Je tunahitaji kupangiwa Bajeti na wazungu kwakuwa sisi imetushinda? Je hatuna wataalamu wa kutosha kuweza kupanga bajeti yetu? Je...
  20. Digaller

    Nawezaje Kujizuia ili Nisiwe Na Wivu????

    Wakuu. Nina Girlfriend ambae yupo mbali na mimi kiasi kwamba tunaweza kukaa almost 6 months hatujaonana ila tatizo nililonalo ni kwamba nina wivu kupita kiasi. Nimegombana nae mara nyingi sana na hata kufikia hatua ya kum-cheat ili kupunguza hasira zangu still bado tatizo langu sikuweza...
Back
Top Bottom