Search results

  1. Digaller

    Ezekiel Malongo aliyekuwa mtangazaji wa Tbc yuko wapi siku hizi?

    Namkumbuka huyu jamaa kati ya watangazaji wa mpira mahiri sana enzi za RTD ila alikuwa kamba sana. Anaweza kutangaza goli mchezaji ndio kwanza yupo kati ya uwanja
  2. Digaller

    U.S.A VS China Tech War

    Mchina hana tech, ni copy and paste. Sikumbuki kama kuna tech yoyote iliyogunduliwa china inayotumika kwa wingi sana Duniani kwa sasa. Kumfananisha Mmarekani na Mchina ni kutomtendea haki Mmarekani. Made In California, resembled in China, Apple wahuni sana aisee.
  3. Digaller

    Wale Matapeli wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" Wanakula na baadhi ya wahudumu wa mitandao ya simu

    Naunga mkono hoja, Mimi pia nimefanya kazi call centre na hakuna access ya kusikiliza simu za mteja hata kidogo. Simu pekee unaweza kusikiliza ni zile za Call centre ambazo mteja atapigia call centre au kitengo cha IT watampigia mteja ili kumsaidia. Wale tuma kwenye namba hii wanatuma text...
  4. Digaller

    Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

    Kiongozi wa Hezbollah anaishi kama digidigi. Katoa hotuba akiwa kajificha kusikojuliana akiogopa kuuliwa. Afu huyu ndio mnategemea aanzishe vita. Pro-Palestina mna kazi sana
  5. Digaller

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea 3 Raheem Sterling
  6. Digaller

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea 2
  7. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hujajibu swali, Jikite kwenye swali uliloulizwa. Je urusi hawezi kuziwekea nchi nyingine vikwazo? Na kama hawezi, Je tafsiri yake nini?
  8. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hivi kwani Mrusi hawezi kuziwekea nchi nyingine vikwazo?? Na kama hawezi, Je tafsiri yake nini??
  9. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    M Modern technology ya mrusi ndio hii michuma chuma. Supapawa wa mchongo huyu
  10. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama hili Kama hili unalijua basi hakukuwa na haja ya ubishani mlioleta hapa Pro-Russians kuwa nchi yenu ni mzalishaji mzuri tu wa modern technology na sio hayo machumachuma yao ya kizamani
  11. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    N Nimekuambia nitajie gari la mrusi ambalo w umeliona kwa macho yako naona unaleta link hapa. Gari gani ya jeshi made in Rusia umewahi iona Tanzania? Manake mimi naziona za wahindi sana tena sana
  12. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukuaji wa uchumi ni pamoja na kujitanua, huwezi niambia nitengeneze magari afu kwa matumizi ya nyumbani tu. Nimekuambia nitajie kampuni moja tu ambayo ww unaijua ambayo inafanya vizuri kutoka urusi nje ya Gazprom naona mpaka sasa unanipa ngonjera hapa. Yes telegram ina asili ya urusi bt sio...
  13. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu hebu nitajie gari hata moja la urusi ambalo ww kwa macho yako umewahi kuliona hapa Tanzania, tusiende mbali saaaaana
  14. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sio wakaachana nayo ila gharama walichemsha na hayo machuma ya zamani. Hivi unadhani tatizo ni kuanza?? nope ndugu yangu, wagiriki ndio mababa wa sayansi na gunduzi nyingi hapa duniani ila mpaka leo hii huwezi ifananisha ugiriki na hata India kwenye sekta mzima ya sayansi, wahindi wako far...
  15. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yaani unatumia afu hujui kuwa unatumia, siku nyingine kabla hujauliza jitahidi kufikirisha ubongo wako kwanza. Natumia Nokia-Microsoft Product- Marekani Natumia android os-Marekani Natumia macntosh-Apple Marekani Facebook, instagram,whatsapp,snapchat, Google e.t.c ni vingi sana kiukweli...
  16. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hivi kuna bidhaa gani ambayo unaitumia wewe made in Russia? Au kuna bidhaa gani anatumia jirani yako au hata rafiki au ndugu yako made in Russia? Rusia ni kama North Korea tu, Nje ya gas she has nothing. Ulimwengu wa sasa bila modern sayansi na teknologia ni sawa na kuishi gizani, Rusia...
  17. Digaller

    Waafrika mnapata wapi nguvu za kuishabikia Argentina? Na ubaguzi wao ule kwa Waafrika?

    Thanks mkuu, nadhani hapa atakuwa hana cha kujibu. Juan sebastian veron
  18. Digaller

    Chanjo kutoka USA na EU

    Baniani baya kiatu chake dawa. Pamoja na ubaya wake mmarekani na EU lakini inapokuja kwenye masuala ya ubinadamu na haki za binadamu hawa jamaa wako far sana, Ni Nchi zinazoongoza kwa kutoa misaada hapa Duniani haswa Nchi za kiafrika na Asia, ni Nchi zinazoongoza kqa kupigania usawa wa...
  19. Digaller

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sawa kamanda mbobezi wa vita, mjuzi wa vita vya familia yako. Umekaa nyuma ya keyboard unajiona unajua sana vita kwa kupiga porojo hapa. Kwa Dunia yetu iliyostaarabika ni mpumbavu pekee ndio anaweza kupiga watoto kwa kosa alilofanya mzazi. Vita inapiganwa on batterground kwanini huyu mpuuzi...
Back
Top Bottom