Search results

  1. K

    Mawifi jamani, hivi wana nini?

    Ukilichagua boga, na ua lake pia. kubali tu yaishe ehe ehe ehe!!!
  2. K

    Hii ndiyo picha halisi inayoonyesha uwajibikaji wa CCM ilala....Lukuvi....mh!!!

    Ukweli ni kwamba, hakuna mtu Tanzania ya leo anaewania madaraka ili alete maendeleo kwa sababu ana uchungu na nchi. Wanaloliwaza ni wao watafanikiwa vipi kujiendeleza wao binafsi na familia zao. Si CCM tu, hata hao wapinzani wanalolitafuta ni hilo. Inatia uchungu sana!!!!
Back
Top Bottom