Search results

  1. Kyoma

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Heshima yako Mkuu, hapa kwa Mfugwa Mbwa tunasema "the end does not justify the means"
  2. Kyoma

    Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

    Mzee Waberoya. heshima yako mkuu. Haswa! haya ndiyo maswali ya kujadili na siyo hotuba ya Mwinyi inayoitwa Azimio la Zanzibar. Azimio la Zanzibar liko Washington, ndiyo maana hatujawahi kuliona, na wala hatujawahi kuuliza liko wapi zaidi ya kushabikia tu kana kwamba ni Simba na Yanga. Zanzibar...
  3. Kyoma

    Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

    Mzee Mwanakijiji! heshima mbele mkubwa wangu. Bado nchi yetu inaendeshwa kwa amri kutoka Washington. Umesahau malengo ya milenia na uchafu mwingine? si sera tu, kibaya zaidi, hata baadhi ya sheria zinazoendesha nchi zinatungwa kwa msukumo kutoka nje, na wananchi wanalazimishwa kuzikubali na...
  4. Kyoma

    Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

    Mkuu Waberoya, heshima yako mkuu. Samahani kama sikueleweka, kwani najua maana iko kwa msomaji na siyo mwandishi. Sikukusudia kukuweka maneno mdomoni, ila nilitaka kudadisi kwa kutumia maswali. Hakika nilitaka kujua ulichoandika kuwa hayo mawazo mazuri ya Mtei yaliyokataliwa na Nyerere ni yepi...
  5. Kyoma

    Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

    Mzee Waberoya, heshima yako ndugu yangu. Ningependa kuchangia kidogo katika ombi lako la haya majinamizi ya WB, IMF na pengine WTO. Lakini kabla sijachangia, naomba elimu kidogo. Umeandika mahala katika mjadala huu kuwa Nyerere alikataa mawazo mazuri ya Mtei. Je ni yepi hayo? Unaweza...
  6. Kyoma

    Will South Africa go to dogs like Tanzania?

    Mujuni2 heshima yako Mkuu! Nice interesting read I must say. However, one would have to look in the South America for some interesting comparisons. Here is a man as illiterate as Zuma, who rose to power just like Zuma (out of popular vote and sympathy). Evo Morales a former Coca Farmer and Union...
  7. Kyoma

    Dr. Mwakyembe na Powerpool: Kuna mgongano wa maslahi na Dowans/Richmond?

    Mzee Kichuguu, Heshima yako Mkuu! Maneno mazito hayo! Baada ya kuzikwa kwa Azimio la Arusha (maadili ya viongozi) na kuzaliwa kwa Azimio la Zanzibar (ruksa) mwaka 1992, wanasiasa wengi walianzisha, walinunua au kuwa na hisa katika makampuni mbalimbali. Lakini wengi wao ndiyo waliokuwa...
  8. Kyoma

    Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

    Mkuu Mwanakijiji, heshima yako! "Again, this is not a time for misoneism; it is not a time for retaining our government body faute de mieux. The predictable outcome is unbearable. Whatever our choice is, one thing is certain; we can no longer say that we didn't know" - Kyoma 19th of June 2007.
  9. Kyoma

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Mzee Nyani Ngabu, heshima yako Mkuu! Nakubaliana kabisa na hoja yako. Katika verification process, hatua ya kwanza kabisa ni kupata maoni ya wahusika wakuu. Nadhani Mwanakijiji anaweza kutusaidia kwa hili, kwani aliwahi kumhoji Dr. Masau. Lakini wahusika wasipopatikana, haiwezi kuzuia process...
  10. Kyoma

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Katika mkanganyano wa NSSF, UCLAS na Thisday, kuna baadhi ya wadau walitaka jina la aliyetoa statement ya kukana ndipo habari iwe credible. Waliwashangaa walioamini taasisi ya UCLAS bila jina kutajwa. Texas Medical Board ni taasisi pia. Inashangaza kuona baadhi ya waliopinga ujumbe kutoka...
  11. Kyoma

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Mzee Kuhani, heshima yako Mkuu! Kwanza hongera sana kwa juhudi unazozionyesha za kupeleleza, kuchokonoa na kutafuta ukweli kuhusu uhalali wa utaalamu wa Dr. Masau. Pili, post # 995 uliandika: "I spoke again with the Texas Medical Board (512) 305 7010). Masau never obtained a...
  12. Kyoma

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Mzee Dua, heshima yako! Tangia mwaka 2006 walipotoa hiyo taarifa, bado wanatafakari au walifikia hitimisho kuwa ni habari za udaku waachane nazo?
  13. Kyoma

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Mzee Masatu, heshima yako Mkuu! Hata mimi siyo mwandishi wa habari, lakini huwa najiuliza maswali kabla sijatoa hukumu ya mwisho kuhusu habari. Muzani wangu ni kwamba, angalau, habari lazima ijibu maswali matano (what happened, when, where, why and who was involved). Siyo kwamba isipojibu au...
  14. Kyoma

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Mzee Game Theory, heshima yako Mkuu! Well: No, I don't. Does it matter anyway? Thisday & Kulikoni wouldn't tell me what to think, but what to think about. Always, the burden of proof is on the preponderance of the evidence. NB: UCLAS walipokanusha, siyo jukumu la msomaji (mimi) kuwa na...
  15. Kyoma

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Mzee Game Theory, heshima yako! Ni kweli magazeti mengi hayana objectivity. Lakini haimaanishi kwamba habari zote zinazoandikwa na hayo magazeti siyo za kweli. Kila mtu ana kipimo chake cha jinsi ya kutambua habari za ukweli. Katika suala la NSSF na UCLAS, nadhani Thisday na Kulikoni walikuwa...
  16. Kyoma

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Mzee Kuhani, heshima yako! Hakika inaleta matumaini kuona kwamba kila mtu anajitahidi kutafuta ukweli kuhusu masuala yote yanayohusu nchi yetu na maisha ya watu wake. Nami nakuunga mkono kwa juhudi zako na ninatega sikio siku ya Jumatatu ili kusikia watu wa Texas Medical Board wamekueleza nini...
  17. Kyoma

    Leo ndio ilizaliwa Tanzania

    Mkandara, kumbe upo Mzee! nilikuwa sijakusikia. Karibu wewe mimi mwenyeji bwana. Zitto nakutafuta sana. ni PM email yako au simu, kuna jambo la msingi nataka tuongee thanks
  18. Kyoma

    Leo ndio ilizaliwa Tanzania

    Huu mjadala unanikumbusha mzee wa hoja, Mzee Mkandara (simsikii siku hizi). Aliwahi kutoa mfano wa ndoa; kwa maana kwamba, ili ndoa iwe imara, mke na mme warudie katika hali zao za uchumba (kulinda identity ya mke na mme). Ili isije ikaonekana wote wawili wamemezwa katika ndoa yao, inabidi...
  19. Kyoma

    Leo ndio ilizaliwa Tanzania

    Mzee Mwanakijiji, heshima yako! Unasema kama tutaamua kuungana na Kenya, Uganda, Rwanda, na Burundi? haya ni mawazo ya raia kama mimi na wewe, ambao tuna nia ya kushirikiana na ndugu zetu, na hatuoni matatizo yoyote ya kutawaliwa na Rais mmoja. Ebu fikiria mkutano wa kufikirika kati ya...
  20. Kyoma

    Leo ndio ilizaliwa Tanzania

    Mzee Zitto, heshima yako! Hakika umenena. Hata hivyo, kwa maoni yangu, nadhani tatizo la Muungano wetu siyo tofauti na matatizo mengine yanayolisibu Bara letu la Africa. Mosi, katiba za nchi zetu zimewapa madaraka makubwa viongozi wetu, pili, katiba hizo hizo, zimewanyima wananchi mamlaka ya...
Back
Top Bottom