Search results

  1. M

    Waume na Wake zetu

    1.suala la ndoa wanaolijua vizuri ni walioko kwenye ndoa 2.ndoa ndoana mana yake ukiingia kwenye ndoa ni sawa na samaki kwenye ndoana huna ujanja wa kufanya lolote nje ya ndoa. 3.ndoa nyingi siku hizi huwa na mapungufu mengi sana mfano kutoaminiana baina ya wanandoa na n.k 4.watoto wadogo...
  2. M

    Deconstructing Lowassa

    SHERIA / KANUNI NA TARATIBU ZILIZOVUNJWA 1. UVUNJAJI WA SHERIA MAMA YA NCHI - KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 1977 Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyofanyiwa mabadiliko) Mbunge yeyote anatakiwa kula kiapo cha uaminifu...
  3. M

    Makamba aanza rasmi kuwapigia debe watoto wake ubunge

    hata kama ni story ila kwa CCM ni kitu cha kawaidi sana Mfano Mwenyekiti wa UVCCM kwan ni nani? si mtoto wa Mzindakaya! kwani hatujui hilo Zitto?
  4. M

    Makamba aanza rasmi kuwapigia debe watoto wake ubunge

    mm huwa linaniuma sana kwa watu kama hawa mtoto hajui lolote utamkuta kitengo nyeti tuachen jaman ss tunajua tabu tuwaonyeshen kaz
  5. M

    Makamba aanza rasmi kuwapigia debe watoto wake ubunge

    utawajua tu mafisadi
  6. M

    Makamba aanza rasmi kuwapigia debe watoto wake ubunge

    4. SABABU ZA KUPINGA UFISADI WA TAALUMA. Katika zama hizi, kila kitu kinaenda kisomi, usomi au taaluma inatumika au inamgusa kila Mtanzania katika maisha ya kila siku popote alipo. Kwa ufupi, Kama ni mwanafunzi wa shule ya msingi au sekondari anastahili kufundishwa na mwalimu aliyefuzu...
  7. M

    Makamba aanza rasmi kuwapigia debe watoto wake ubunge

    yan ni tabia ya yao CCM
  8. M

    kosa langu ni lipi kwa msichana huyu!!?

    wa nini wanaume wote mnapenda uhusiano wa ngono tu? msichana asipokubali ngono mnamuona hafai, kwa nini lakini? kwa nini mnapenda kuwapresha wasichana kuwapa ngono,why? yawezekana binti anakupenda ila tu hayuko tayari kufanya ngono na wewe, kwa nini msiliongee hilo mkubaliane mpeane muda until...
  9. M

    kosa langu ni lipi kwa msichana huyu!!?

    kaka sikiliza wewe jifanye upo bize akibp usipokeee wala nn atakuja mwenyewe tu huyo mbona wakooo! mwenzio Shem wako alinisumbua kinima 10month,zen nikimuelezaga siku hizi huwa anacheeeeeka ndio kawaida ya wasichana wa makabila yafuatayo,Mchaga,Mzigua,Mbondei,Msambaa,Mrangi,Mhaya na Mmasai
Back
Top Bottom