Search results

  1. M

    Kosa la Mwangosi: Waandishi warudia Makosa

    kwahiyo wanainchi ndio wanatakiwa kuuwawa na police au unamaanisha kitu gani ndugu mtoa mada? Nijuavyo mm kila mtu anahaki ya kuishi uwe mwandishi au la.
  2. M

    Mwanasheria mkuu zanzibar apasua jibu kuhusu muungano muda huu

    Mwanasheria mkuu wa zanzibar asesema ukweli leo kuwa hakuna muungano adai yakuwa muungano upo tu kama kiini macho lakini kiuhalisia muungano haupo hilo kalisema leo katika semina ambayo inaendelea muda huu kwa waheshimiwa wawakilishi wa baraza la mapinduzi zanzibar. Tizameni ZBC ni live muda...
  3. M

    Live on Star TV: Bajeti 2012/13 utekelezaji na utashi wa kisiasa

    Kaka Yahaya budget ya mwaka huu ni budget ambayo ni kiini macho kwa sababu ifuatayo hivi inakuwaje serikali iongeze trilion 2 kutoka budget ya mwaka jana na zote ziende kwenye matumizi ya kawaida? Na serikali hiyohiyo imepunguza matumizi ya maendeleo kwa zaidi ya bilion 400? Hiyo ni kutokana...
  4. M

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    unajua wabunge wote wa ccm walichokuwa wanachakia sio mawazo yao bali ni shinikizo kutoka chaman wa walieleza kuwa wakienda kinyume watatoswa.
Back
Top Bottom