Nakuhakikishia mbinu wanayotaka kutumia chadema itawaghalimu, wanalamba matapishi Yao, wangebaki kwenye hoja kuu na msimamo wao wanaouamini. Sio hii ya kuwa kigeugeu, nasikitika kuwa bado hatuna upinzani imara, Hawa wanaangalia upepo unakoelekea, hawatafaulu kamwe, wanajichimbia shimo
Lisu hana credibility ya kutumia jina la magufuli, Tena nashauri wanachato, akija huyu jamaa pigeni mawe mnafiki mkubwa huyu.
Anatumia jina la magufuli kuungwa mkono, wakati alimkashifu na kumtukana hadharani. Ni kweli serikali ya sasa inafanya madudu lakini amwache magufuli apumzike, aache...
Aache unafiki huyu jamaa, asitumie jina la magufu kupata uugwaji mkono, amwache magufuli apumzike, alimpinga na kumtukana hadharani Leo analeta unafiki. Hapo amechemka. Kweli upinzani hatuna, ndio maana magufuli hakutaka mbwatuke, kwasasabu hamna hoja.
Unatumia mihemuko kufikiri sio logic, watachaguliwa na wananchi kupitia platform gani? Je wewe umewahi kutokuwa mpenzi au shabiki wa chama hata kwa dakika moja?
TTCL ilishauawa tangu RAIS alipotamka kuwa, ttcl wajihusishe na usimamizi wa mkonga wa tafaifa TU. Huduma zingine iachie wengine. Ila inaumiza sana hasa ukifikiria uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali ya awamu ya Tano kwenye shilika hili. Inakera sana
Wazo zuri sana, viongozi wetu wanatakiwa kuliona hili na kuwahamasisha wananchi,. Unatakiwa mpango wa kitaifa na sio kuachia kila mwanchi kupambana kivyake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.