Search results

  1. I

    Niliapa kutosimulia

    pole mkuu, huku kagera hasahasa karagwe ni kesi za kawaida, mwanamke anakutega then unakamatwa ugoni afu mnakaa mezani na mume wake, mara nyingi wanataka malipo gari au hela kuanzia 5m na jamaa wanalenga wenye uwezo, ukibisha wanakukata panga na ukilipa mambo yameisha na jamaa anasepa na mke wake.
  2. I

    Trafiki na tatizo la rushwa barabarani

    kama ni maeneo ya mkoa wa singida hata usishangae, nimetembea mikoa kadhaa ya tanganyika, hakuna mkoa una traffic wasumbufu kama singida, kuna wale wa pale misigiri stand, washawahi nikamata na toch ya speed wakati kuna jamaa kanipita na hawajamkamata, mi nkawauliza kama mimi nimevuka 50 speed...
  3. I

    Top Ten Best Paying Banks in Terms of Salary by 2013 in Tanzania

    jaribu kutafiti tena, ila nina uhakika NMB wapo JUU YA NBC
  4. I

    Kwa watu wazima tu 35+

    kama kabila lake ni kutoka muleba, hata usishangae, siye ni kitu cha kawaida, ukipata kufika muleba(kagera), guest zote wameweka mipira ya nailoni kwenye magodoro na hatushangai kuona maji yanatiririka kutokea mlangoni mwa chumba cha jirani. welcome to the world
  5. I

    Elections 2010 CHADEMA muda wa kuwaandaa makada ni huu

    kwa kuongezea, CDM NI LAZIMA KIJENGE MIZIZ KUANZIA CHINI KABISA YAANI KATA NA HASAHASA UDIWANI AMBAO NDIO WADAU WAKUBWA KATIKA MAENDELEO YA JIMBO, NASHAURI UCHAGUZI UJAO, WANACHAMA NA WAPIGA KAMPENI WAJIKITE KWA KASI ILE YA UBUNGE KWENYE UDIWA, UKICHUNGUZA KWA MAKINI UTAONA MAENEO MENGI AMBAYO...
  6. I

    Kwanini waswahili tuko hivi?

    Tukisema waswahili ndo tulivyo sina uhakika, mfano ni wakazi wa moshi mjini, wale usafi ndo msingi na wamejiwekea taratibu zao na ndo zinawaongoza hadi leo kushika namba moja kwa usafi tanzania. Mi nafikiri malezi na mfumo wa maisha ya eneo husika vinachangia.
  7. I

    Kubadilisha dini ndani ya ndoa

    akiwa mtoto anatakiwa kulelewa katika imani ambayo mzazi anaiona ni sahihi hadi hapo atakapo pata ufahamu na kuamua ni imani ipi aifuate
  8. I

    Kubadilisha dini ndani ya ndoa

    mkishaingia ndani ya ndoa mimi inakuwa sisi na hapo suala lolote ni la wote, mi nafikiri ipo sababu na inaweza kuwa ya msingi iliyomfanya abadili dini, ila kama kubadili kwake dini kumeathili mahusiano ya kifamilia kama vile kubadili kabisa mfumo na utaratibu wenu wa maisha hapo ndoa inaweza...
  9. I

    Ndoa za siku hizi

    na hata wakati mwingine tunapata shida kusema aksante kwa housegirl, ye ndo kaandaa chakula, na anakusubiri umalize kula ili atoe vyombo, nguo kafua, kakunyooshea, maji kakuwekea bafuni/kaandaa bafu, ni nani wa kumshukuru kama si yeye? na ukisema shsante kisha mke akasikia ujue vita kati ya mke...
Back
Top Bottom