Search results

  1. E

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    I wonder!
  2. E

    Mwanafunzi akimbilia TBC; kisa kudaiwa sh 250 tuition na 100 ya uji

    Wacha Kuna directive (mwongozo) wa wizara kuhusu adhabu ya viboko. Hakuna sheria as such. Tofauti na nchi nyingine, kuchapa viboko mwanafunzi siyo kosa bora uwe katika kiwango kilicho amriwa.
  3. E

    Nimepata msiba wa Mama yangu mzazi

    Pole Mkuu! Tunakuombea.
  4. E

    Kudesa tatizo sugu vyuo vikuu vyote!!!

    Mhhh haya Bwana!!!! Mpaka hapo sijaona mtu ana propose solution. Kwani huyo Dr. alisema nini kifanyike?? The problem is bigger than we think. Kuanzia sekondari hadi vyuo vikuu.
  5. E

    Mwanafunzi akimbilia TBC; kisa kudaiwa sh 250 tuition na 100 ya uji

    Kwa wazazi kama mimi, more is to come. Huu utandawazi sijui niite "media proliferation" nahisi umesababisha walimu (wa msingi na hata sekondari) wawe na tamaa ya maisha ya hali fulani wakati kipato chao ni kidogo. Wanatamani kuwa na flat screen TV, fanicha nzuri nk. Kwa kweli wanastahili (kwani...
  6. E

    Attention: Tanzanian Artists and Publishers

    A bit of your copyright policy please.....Thank you in advance!
  7. E

    Ukisikia wenye fwedha wamekupora mke usilalamike.

    Same here Boss Hata mie sijaona kitu cha kunitishia sana. I think the kiuono is a bit too rounded up...ndiyo bantu beauty lakini siyo wote zinawakosha.
  8. E

    Sababu za mke kumdharau Mume nyumbani

    I am a man and married to a cutie. Naweza kudhibitisha pasipo shaka yeyote kuwa mambo matatu ni muhimu sana kwa mwanamke 1. Pesa 2. Mawasiliano 3. Sex (tendo) Maelezo mafupi ni kama ifuatavyo 1. Pesa: simshauri mtu aoe tu kwa sababu kapenda. Hajui mkewe atapata wapi mahitaji muhimu. Ukiamua...
  9. E

    Ndio wasomi wenyewe hawa..

    Wasomi wanaozungumzwa hapa ni wanataaluma, wanaofundisha katika vyuo vikuu. Hawa ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo ya kijamii lakini tujiulize tumefikaje hapa tulipo?! Mimi na wewe tumechangia! Tanzania, tofauti na nchi nyingine nyingi wanataaluma wamejengewa u-Mungu mtu na wasomi wa kati...
  10. E

    Mhhhh!

    Mbavu sina BAK. Asante sana na uwe na siku njema!
  11. E

    Mwanamke wa Kimasai wa Loliondo atoa ushuhuda

    Mkuu Ulimbo tatizo ni pana zaidi: hata wangekuwa wakenya kama serikali hii isiyo na uwezo wa kufikiri inavyotaka kutuaminisha, ni sheria gani inayosema wageni wa nchi fulani wachomewe nyumba zao, wabakwe na kuteswa? Jumuia ya kimataifa na hususan nchi ya Kenya ikiamua kudai haki za "wakenya"...
  12. E

    Tanzania imekwisha??

    Do you think the so called wanajeshi are themselves saints? jaribu kufuatilia nchi zilizo tumia njia ya mapinduzi uone zilirudi nyuma hatua ngapi. Besides "Africa need strong institutions not strong individuals" to quote barack obama
  13. E

    Nini Hatma ya John Mashaka?

    CCM wasipo fanya vitu vyao hapo, nadhani Mbowe atamvuta kwani huyo mtoto anaweza sana kusumbua vichwa butu bungeni sana Putting a political price on each and every individual sickens me, to say the least!! Yaani watanzania tumeshaona kuwa the ultimate job ni kuwa mbunge or better still...
  14. E

    Je Watanzania walio ughaibuni Wanaijua Tanzania ya sasa?

    KUDOS bluray Nashawishika kufikiri mtoa hoja ana tatizo binafsi ama na internet au walio ughaibuni kama anavyo waita. Je hajui hata simu watu wanapiga, wanapokea SMS na kupata habari within minutes achilia mbali wanao kwenda kila mwaka mpaka mara mbili? why the stereotype?
  15. E

    Mawaziri wenye PhD Feki hawa hapa!

    The funny part of this debate is that many if not most people fail to separate wheat from chaff. How do you put a forgery case in the same page with presenting genuine but unrecognized certificates?
Back
Top Bottom