Search results

  1. F

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    Wakatae wana ubavu? Si unajua wabongo? Badala ya kuwasiliana na wanasheria (WAO), wakajiendea TAKUKURU kwa uoga wa kishamba!
  2. F

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    Leo TAKUKURU Mwanza wanamfikisha mahakamani Fundi Bomba wa Dawasco ya Mwanza kwa rushwa ya laki moja. Upuuzi mtupu!
  3. F

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    Mwakyembe kaza uzi. Ukilegeza, wanakumaliza. Wanatafuta 'loophole' yoyote ile ili wakuchafue. Kwa bahati nzuri kichwa chako kizuri...umeshawashtukia. Usikubali kuhojiwa, kama wanataka waende mahakamani. Tupo nyuma yako.
  4. F

    Hivi mkoje nyie?...!

    Ulimpata wapi huyo? Shuleni, Kijijini, Jeshini, Bar, Ofisini, kwenye daladala, au? Mbona wake zetu sisi ni poa tu. Wanatupa raha kinoma!
  5. F

    Lowassa Kuanzisha ABC Television Arusha

    Mwache aanzishe, tutasikiliza stesheni nyingine. Ya kwake NO!
  6. F

    Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

    Tumia FAMILIA. Kuna matangazo siku hizi ya kondomu aina hii. Wanasema hii ndiyo kondomu maalumu kwa wanandoa.
  7. F

    Mila za wahaya

    We mkurya nini? MILA, siyo mira.
  8. F

    KIWIRA na MCHUCHUMA: A Campaign To Reclaim...

    Jamani, tumwacheni apumzike, anywe whisky yake. Amefanya mazuri mengi tu! Haya jamani si maneno yangu, bali ni ya Mh.Richard Ndasa-Sumvwe
  9. F

    Tofauti kati ya mpenzi mrefu na mfupi

    Wa kwako mrefu au mfupi?
  10. F

    Wakazi wa Kipawa kulipwa fidia kwa sheria ya zamani

    Mmemsikia Captain John Chiligati? Amewaonya wakazi wa Kipawa kwamba, wasitumie fedha zao kufungulia kesi, bali waende wakajenge. Amewaeleza pia kwamba, watapoteza pesa kuwachangishia mawakili feki...wengine ndo kula yao hapa mjini.
  11. F

    Medical check up hii imenishangaza!

    Sasa ulitakaje? Akuangalie usoni halafu akwambie upo fiti? Medical Check-up ndo hiyo!
  12. F

    Yu Wapi Askari Mkama Sharp?

    Alishakufa. Alifariki mbona muda tu!
  13. F

    Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

    Kwani Rais wetu yupo juu ya sheria? Kama IPTL na Serikali wana kesi mahakamani, Mhe Kikwete ni nani hadi aingilie uhuru wa mahakama?Jaji wa mahakama husika ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza hivyo.
  14. F

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Ndugu zangu tujiulize: Rais(kwa mfano) anapoteua kiongozi wa ngazi yeyote, anaangalia kwamba ni rafiki yake, ndugu yake, CV yake, au anapelekewa tu majina ya candidates na makatibu wake? Naamini kuna wateua wengine ambao anakuwa hawafahamu kabisa!
  15. F

    Jamani mnalikumbuka hili!.

    Idhaa ya biashara ilikuwa na kajingo...PHILIPS ndiyo yenyewe! Sauti safi sauti kubwa!
  16. F

    Tanesco mnacheza kweli

    Tanesco wametangaza nafasi ya kazi ya Mkurugenzi. Naamini kutokana na mchakato huu, watafanikiwa kupata mtu saafi zaidi, mzalendo.
  17. F

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Rev Kishoka ameongea point ya maana. Siku hizi watu hatuangalii dini ya mtu, muhimu ni roho yake na matendo yake. Wakristo wangapi wanachemsha? Waislamu wangapi wanachemsha? Let them be 200%, cha msingi Mahakama ya Kadhi isianzishwe!
  18. F

    Ukiona zana mfukoni kwa mmeo utafanyaje?

    Cha muhimu ni kama zinatumika kweli vile inavyotakiwa. Kuwa na kondomu peke yake haitoshi, whether umeikuta mfukoni kwa mumeo au la!
Back
Top Bottom