Search results

  1. NTIGAHELA

    Nahitaji kununua Gari

    Ninahita gari used Nina milioni sita mwenye nalo tafadhali tuma picha ya Hali yake
  2. NTIGAHELA

    Naomba kujuzwa chanzo cha ziwa Tanganyika

    Naomba kujuzwa hivi ziwa Tanganyika likitokana na nini Kwa maana kumekuwa na dhana mbili Moja ikisema ni ziwa Tanganyika likitokana mvua na mito na mabonde nyingine ikisema ni ziwa likitokana na volcano sasa naomba kujua ipi sahihi kati ya dhana hizi mbili
  3. NTIGAHELA

    Rais Samia bingwa wa siasa Tanzania

    "Siasa Ina sura Nyingi, Vijana Tubadilike Tuwe Watu Wa Logic Tukashinde Mihemko Yetu." -ntigahela, Mwanaharakati Huru. Vijana Tumekariri, Tunaendeshwa na Mihemko ya Kisiasa, Yaani Tunaamini Lugha Kali, Uhasama wa Kiitikadi ndio Upinzani Hasa, Kumbe Siasa Yenyewe Inasura nyingi, inarangi nyingi...
  4. NTIGAHELA

    Tanzania ya Magufuli ilikuwa ya kimafia

    KISIASA, Mafia State humaanisha nchi kuwa na serikali jambazi. Ama inatenda uhalifu moja kwa moja kupitia vyombo vyake au inaendesha makundi hatari ya uhalifu. Jana, Rais Samia alieleza kuhusu fedha za watuhumiwa wa kesi za uhujumu uchumi kufichwa China. Ni zile watu walilipishwa ili kununua...
  5. NTIGAHELA

    Siri ya hotuba ya Mbowe

    Mbowe usituone majinga tunajua umelambishwa asali ili uendelee kumtukana Magufuli na najaribu kusema ni moja kati ya masharti uliyopewa ili uendeshe mikutano ya ujinga. Binafsi Magufuli ni mkombozi mana toka Tanzania ipate uhuru, ndiyo nilijua kuwa sisi sio maskini bali umaskini tuliyo nayo...
  6. NTIGAHELA

    Usiyoyajua kuhusu CHADEMA

    LAANA INAWATESA AKINA MBOWE. Mzee EDWIN MTEI na BOB NYANZA MAKANI waliianzisha CHADEMA ili ije kushika dola na kuonyesha utofauti kimatendo Kati ya CHADEMA na CCM. WAZEE hawa waliweka pembeni maslahi yao binafsi na kutanguliza maslahi ya chadema na Taifa mbele. Waliijenga CHADEMA Kama Taasisi...
  7. NTIGAHELA

    Usichokijua kuhusu mabehewa

    WATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni. Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote zilinunuliwa kwa fedha taslimu ili kutakatisha fedha. Wataalamu walishangaa na kuhoji; tangu lini Serikali...
  8. NTIGAHELA

    Wakina Bashiru wana uhalali gani?

    . Kwanza, hao watawala wote waliopo madarakani, sisi wapinzani wala hatukuhusika kuwachagua bali wote hao waliwekwa kibabe mwaka 2020 na 'mwendazake' pamoja na Bashiru Ally. Kwahiyo, matatizo yote haya tunayoyaona yamesababishwa na 'mwendazake' pamoja na Bashiru Ally mwenyewe. Hivyo mpaka sasa...
  9. NTIGAHELA

    Wafuasi wa Magufuli mbona kimya tena

    Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
  10. NTIGAHELA

    Watanzania hatujaielewa siasa?

    "Siasa Ina sura Nyingi, Vijana Tubadilike Tuwe Watu Wa Logic Tukashinde Mihemko Yetu." -ntigahela, Mwanaharakati Huru. Vijana Tumekariri, Tunaendeshwa na Mihemko ya Kisiasa, Yaani Tunaamini Lugha Kali, Uhasama wa Kiitikadi ndio Upinzani Hasa, Kumbe Siasa Yenyewe Inasura nyingi, inarangi nyingi...
  11. NTIGAHELA

    Kufukuzwa kwa akina Mdee ni dili

    HABARI YA MBOWE KUMTAFUTIA KAZI MBADALA MDEE NI #KUWEWESEKA Mmmh! Hizi #hekaya hizi hazina sababu, kwamba Halima amekataa kazi ya mshahara wa 15,000USD aliyotafutiwa na Mbowe kwasababu ya mshahara wa 5,000USD bungeni kweli but also inazua Maswali mengi Sana; 1. Kwanini Mh. Mwenyekiti...
  12. NTIGAHELA

    Zitto Kabwe aliwafanyia kitu gani CHADEMA?

    Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto. Tokea miaka ya 2009 Chadema...
  13. NTIGAHELA

    Wapinzani wa Tanzania mbona mnajimaliza wenyewe

    MVUVI HALISI MITEGO HAKOSI. Mjadala mzito wa chuki, kiburi, ujuwaji na tambo unaendelea kupamba moto mitandaoni. Si kuwa tayari kupitwa kwa vile dhulma sio tu kama naichukia, bali napambana nayo kwa nafasi alonijaalia Mwenyezi Mungu. Ninachokiona mimi naona ni yale yale Ujinga Mtamu kwani...
  14. NTIGAHELA

    Kwanini CHADEMA hampendi ACT-Wazalendo ifanye siasa zake?

    Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa: 1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations 2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG? 3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki...
  15. NTIGAHELA

    Wapinzani wa Tanzania mbona mnajimaliza wenyewe

    MVUVI HALISI MITEGO HAKOSI. Mjadala mzito wa chuki, kiburi, ujuwaji na tambo unaendelea kupamba moto mitandaoni. Si kuwa tayari kupitwa kwa vile dhulma sio tu kama naichukia, bali napambana nayo kwa nafasi alonijaalia Mwenyezi Mungu. Ninachokiona mimi naona ni yale yale Ujinga Mtamu kwani...
  16. NTIGAHELA

    CHADEMA jueni Zitto Kabwe hachafuki kwa porojo

    CHADEMA WANAKOSEA Badala ya kumshambulia Rais kwa hotuba ambayo ilijaa upotoshaji mwingi ambao hata haukufanana na alichokisema Zitto Chadema wanapoteza muda kumsakama Zitto ambaye alikuwa anawasaidia ili Mbowe aachiwe baada ya mbinu zao za kutumia mabavu kutozaa matunda. Hivi mnafikiri Rais...
  17. NTIGAHELA

    ACT kwa hili mnastahili pongezi

    Mwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye shimo la moto la utawala wa mwendazake lakini kwa hii hatua ni tuliyoifikia ni kubwa katika safari ya...
  18. NTIGAHELA

    ACT mnastahili pongezi

    Mwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye shimo la moto la utawala wa mwendazake lakini kwa hii hatua ni tuliyoifikia ni kubwa katika safari ya...
  19. NTIGAHELA

    CHADEMA, Zitto siyo adui yenu

    As much as sikubaliani na msimamo wa ACT katika mambo kadha wa kadha lakini sikubaliani na viongozi wa CHADEMA kumshabulia mkuu wa chama cha ACT ndugu Zitto Zuberi Kabwe. Ndugu Zitto kaufanyia upinzani mambo makubwa, Yeye ndiyo aliyekuwa nguzo kuu ya upinzani iliyobaki kutusemea wananchi kuanzia...
  20. NTIGAHELA

    Zitto anavyowafundisha CHADEMA kufanya siasa

    ZITTO ANAVYOWAFUNDISHA CHADEMA KUFANYA SIASA Achana na habari za Polepole na manyang'unyang'u na maroroso yake, mganga keshakufa mteja lazima atapetape, habari ya mjini kwa sasa ni kitendo cha mwanasiasa Zitto Kabwe kuwasilisha ombi la kuachiwa mwanasiasa mwenzake na mwalimu wake wa Siasa...
Back
Top Bottom