Search results

  1. Mama Nim

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tunafanya kwa vitendo.
  2. Mama Nim

    Nataka watoto wawili, sitaki mke

    You need some growing up.
  3. Mama Nim

    Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    Duuh! Kwa style hii tutafika kweli? Wanazidi kuturudisha nyuma. Wameongeza gharama basi waboreshe huduma sio kutukatia umeme ovyo.
  4. Mama Nim

    Say no to Precission

    Pole sana mkuu. Inatokea sana ila wanajitaidi kusema kweli. Safari hi naona ilikuwa nje ya uwezo wao.
  5. Mama Nim

    Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

    Binafsi nina maswali mengi hususan criteria iliyotumika ku rank hivyo vyuo. All in all wanastahili pongezi.
  6. Mama Nim

    Kumbe ilikuwa jeuri ya madawa!!

    Yaani mimi namshukuru Mungu kuwa hawa wauza sembe sasa hawana pa kukimbilia. Mdogo wangu ni muathirika wa madawa ya kulevya na pigo kubwa kwa familia yetu kwani ndiye mtoto wa kiume wa kwanza ila ndio hivyo. Madawa yameumiza na kuuwa vijana wengi sana na tusipochangia kama wananchi kukemea...
  7. Mama Nim

    Tangazo Hili la Vodacom linatia Aibu.

    Ushindani wa kibiashara umekuwa mkubwa sana haswa kwenye kampuni za simu hadi wanasahau maadili. Tatizo wanajali kupata faida kwa hiyo wako tayari kufanya lolote ambalo wanadhani litawaingizia faida. Kwangu mimi wahusika wamepoteza mwelekeo kwani wameshindwa kuwatambuwa wateja wao ni akina nani...
  8. Mama Nim

    Kumbe ilikuwa jeuri ya madawa!!

    Yaani mimi namshukuru Mungu kuwa hawa wauza sembe sasa hawana pa kukimbilia. Mdogo wangu ni muathirika wa madawa ya kulevya na pigo kubwa kwa familia yetu kwani ndiye mtoto wa kiume wa kwanza ila ndio hivyo. Madawa yameumiza na kuuwa vijana wengi sana na tusipochangia kama wananchi kukemea...
  9. Mama Nim

    Hivi huu ndio mwanzo wa kuachika ama...msaada tafadhari...

    You are being foolish! Eboo mwachie mama wa watu ajifanyie kazi zake usikute wewe ndio unaye cheat.
  10. Mama Nim

    Kama chuki kweli Clouds fm mnatisha kwa Lady J dee

    Wanachofanya sio vizuri. Wasichanganye mambo binafsi kwenye biashara. Huu kwangu ni unafiki wanatembea Tanzania nzima eti wanatoa semina kwa vijana kuhusu fursa alafu wanapojituma wao ndio wanawafanyia fitna. Ila hii dhana ya wasanii chipukizi kuamini bila Clouds hawawezi kutoka kimziki imepitwa...
  11. Mama Nim

    Mwanamke: Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanaume asikuone una mvuto pamoja na uzuri wako...

    Huu uzi umenifurahisha sana ila it goes both ways ila wakaka mmezidi. Wengi wenu kuoga ni kujimwagia tu maji dakika 2 mmetoka. Wengi wenu mnajipulizia perfume kali mno ambazo zinachangia kukufanya unuke badala ya kunukia. Usafi wa mdomo pia ni tatizo kwa wanaume wengi, hampigi mswaki vizuri...
  12. Mama Nim

    Diamond na Wema, Full drama!

    Wema got a taste of her own medicine. Siku zote mnaambiwa stay in your lanes hamsikii. Maybe now she's learnt her lesson. Kijitonyama na Tandale wapi na wapi? Aisee!
  13. Mama Nim

    Precision air maji shingoni

    Siamini hadi itakaporipotiwa na vyombo vya habari. This source is very unreliable. Kashindwa kujieleza vizuri nahisi katumwa kuandika hii thread. A PR stint, it happens.
  14. Mama Nim

    Bungeni: Serukamba aomba radhi

    Hamna cha bahati mbaya. Wamezoea kujichanganya na watu wanaopenda matusi ndio maaana yapo nje nje.
  15. Mama Nim

    TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

    May her soul rest in eternal peace. She did our country proud and she shall be greatly missed. Amen.
  16. Mama Nim

    Bastola ya Aden Rage na CCM

    Somehow sikubaliani na wewe. Mambo mengine inabidi utumie akili ya kuzaliwa. Whether anaruhisiwa kisheria kubeba silaha au la huwezi kuonyesha umati bastola hivi hivi unless una nia ya kuwatia woga. Sidhani kama usalama ulikuwa mdogo kumfanya aonyeshe silaha yake hadharani. He's trying to prove...
  17. Mama Nim

    Qaulity Plaza/Shopping Mall

    We get the point you had to write something. Next time take time and think before posting anything.
  18. Mama Nim

    Zantel High Life Club SUCKS

    I wish someone from Zantel will respond to this post so that we get their side of the story. Mimi sio mteja wao natumia TTCL ila kutokana na posts nilizosoma nahisi wanahitaji kuwapooza wateja wao.
  19. Mama Nim

    Kulikoni Precisionair?

    It will be so sad if airline was to go down. It is currently our national Carrier since what is left of Air Tanzania is the name. I'm sure they'll find a way to pay the debt.
  20. Mama Nim

    Ridhwani aachia ngazi IMMA?

    Sasa huu ni uchokozi na umbea. We need to act like great thinkers that we are and not rumour mongers and gossipers.
Back
Top Bottom