Search results

  1. Mtoto wa Kishua

    Msaada wa kupata hizi nyimbo za miaka ya tisini.

    HAJARI ZENU WANA JAMVI? Msaada kidogo, kuna nyimbo fulani za kipindi cha miaka 90 huko , ninazitafuta ila nime sahau majina yake, kama utaweza tambua lyrics nitakazo weka nitashukuru kama utaweza nitajia ni nyimbo gani na nani kaimba . 1 . Nadhani nyimbo inaitwa "Happiness" ,sikumbuki...
  2. Mtoto wa Kishua

    Savings accounts je ipi ni bora?

    Wandugu ningependa kujua kama nita deposit kiasi cha millioni 50 na nataka niwe napata kipato kutokana na interest kw amwezi je , ni savings account au fixed deposit ipi ni bora na je naweza chukua mkopo kutokana na ku weka kiasi hicho na je intrest zake zikoje? ,wasanteni
  3. Mtoto wa Kishua

    Matumizi ya Detol kama mouth wash

    je kuna madhara yoyote yakutimia detol kama mouth wash?
  4. Mtoto wa Kishua

    Asha Rose Mingiro na Ruge Mutahaba

    Hivi kutakua na usalama kwa harakati za kukomboa wasanii ikiwa huyu mama ataingia madarakani? . Navyotambua huyu mama ana social life fulani na je uswahiba na kina Ruge haupo , ukizingatia Ruge anavyojua kujipendekeza.kwa mtizamo wangu kina Ruge watapeta kwa miaka 14 mingine ijayo.
  5. Mtoto wa Kishua

    Msaada wa Fiber Optic cable, Sea Com

    HUwa ina maana gani wanapo sema , Connectivity price was $3,000 - 4,000 per mega bit to now $50 - 60 mega bit Hizo ni price za Fiber Optic cable , Huwa ina maana nisha nini haswa na imepunguzanje be? Thanx
  6. Mtoto wa Kishua

    Msaada wa banjuka TTCL broadband

    Kufuatia lile tangazo lao la Banjuka na TTCL nime nunua Modem pamoja na kununua vocha ya sh 50.000 , sikwenda na laptop yangu, walicho kifanya ni kuni ingizia vocha , na kujaribu kuhakikisha kuwa imeingia kwa ku nipigia simu yangu hapo hapo, sikupokea nikakata. Ajabu kufika home kucheki...
  7. Mtoto wa Kishua

    AY kupambana na Ruge Mutahaba

    Msanii anayepata mafanikio ya kimataifa katika muziki wa kizazi kipya hapa nchini Ambwene Yessaya aka AY amewataka wasanii kugoma kulipwa fedha kidogo kwenye maonyesho na badala yake wawe na msimamo mmoja katika kupanga viwango vya malipo yao. AY aliyasema hayo wakati akiwasilisha mada kuhusu...
  8. Mtoto wa Kishua

    Ushahidi wa kesi ya babu Seya

    IN THE RESIDENT MAGISTRATE’S COURT OF DAR ES SALAAM AT KISUTU CRIMINAL CASE NO. 555 OF 2003 REPUBLIC Versus NGUZA VICKING @ BABU SEA & 4 OTHERS JUDGEMENT A. Lyamuya PRM The four male accused persons: Nguza s/o Vicking @ Babu Sea 50 Years, Papii s/o Nguza 22 years, Nguza s/o Mbangu 27...
  9. Mtoto wa Kishua

    Mchango wa Babu Seya na Papii Kocha

    Napenda kusema , kume kuwa na tuhuma nyingi , dhidi ya uendeshaji wa kesi inayo mtuhumu babu Seya na mwanawe kuwa hakukuwa na uangalizi mzuri kwnye ushahidi ,kitu ambacho kimepelekea wako kukataliwa rufani yao. Nimetoka kuangalia blog moja na imeoneysha ile barua ambayo Papii Kocha...
  10. Mtoto wa Kishua

    Ali Kiba uko juu

    Nampa bonge la support Ali kiba kwa kutofanya album review na hao presenters wa clouds fm. Hao jamaa ni mafisadi wakubwa kwenye game la mziki Tanzania na kutopeleka cd yake ni ujasiri mkubwa. Tunajua Ali Kiba ,utabaniwa sana tuu na hao ila usikonde tuta ku support tuu ,maana...
  11. Mtoto wa Kishua

    Ni Dar-es-Salaam or Dar -El-Salaam?

    Nakumbuka nilipo kua primary school ,tulikua tunaandika mji wa Dar kama Dar-EL-Salaam , ila na shangaa baadae inakuja kuandikwa Dar-es-Salaam ipi ni sahihi wadau ?
Back
Top Bottom