Search results

  1. M

    Natafuta line ya tigo pesa

    wakuu habari zenu..!! Natafuta line tigo pesa kwa ambaye anajua wapi naweza pata na kwa bei gani tafadhali naomba anijuze.
  2. M

    msaada wa hp desktop

    wakuu habari zenu?? Naomba kwa mwenye kujua ni wapi nitaweza kupata hp destop used yenye ubora mzuri with reasonable price na ambayo haitakuja kunisumbua!! Mimi nipo Dar
  3. M

    msaada wa hp desktop

    wakuu habari zenu?? Naomba kwa mwenye kujua ni wapi nitaweza kupata hp destop used yenye ubora mzuri na ambayo haitakuja kunisumbua!! Mimi nipo Dar
  4. M

    Msaada juu ya mafunzo ya udereva!!

    wakuu poleni na pilika pilika za za hapa na pale!! Wakuu naomba msaada ufuatao kutoka kwenu!! 1. Nahitaji kujua chuo mahiri kinachotoa mafunzo ya udereva kwa dar es salaam!! 2. Gharama ya mafunzo!! 3. Muda wa mafunzo!! Na hii ni kwa ajili ya kupata uelewa wa kuendesha magari ya kawaida si...
  5. M

    mwaka mpya ndo huooo....

    hakika tuliungoja kwa hamu saana hatimaye huu hapa!! embu wanajamvi tupeane vitu vya msingi vya kuzingatia kwenye huu mwaka ili uwe na amani na mafanikio... nawasilisha
Back
Top Bottom