Search results

  1. M

    Painting company

    Mkuu alex50 hao wapo wapi??
  2. M

    Kipindi gani cha redio na mtangazaji wake ilikuvutia sana?

    ezekieli malongo.... Sijui yupo wapi huyu
  3. M

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Mkuu hua unachukulia wapi kwa bei hii? Na pia za aina gan? Za watoto, kike au kiume au hiyo bei ni constant kwa mabaro ya nguo ya aina yeyote?
  4. M

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    ahsante sana mkuu kwa mchanganuo mzuri mungu akubariki naitamani sana hii kitu na inaniumiza kichwa kweli kweli
  5. M

    Natafuta line ya tigo pesa

    wakuu ahsanteni sana kwa ushirikiano mliouonesha na nimefanikiwa kuipata na sasa narudi tena kwenu nikiomba ambaye anaya m pesa au anajua naweza kupata wapi anijuze...!!!!
  6. M

    Natafuta line ya tigo pesa

    nipo dar mkuu
  7. M

    Natafuta line ya tigo pesa

    wakuu habari zenu..!! Natafuta line tigo pesa kwa ambaye anajua wapi naweza pata na kwa bei gani tafadhali naomba anijuze.
  8. M

    msaada wa hp desktop

    asanten kwa michangu wadau naifanyia kazi
  9. M

    msaada wa hp desktop

    wakuu habari zenu?? Naomba kwa mwenye kujua ni wapi nitaweza kupata hp destop used yenye ubora mzuri with reasonable price na ambayo haitakuja kunisumbua!! Mimi nipo Dar
  10. M

    msaada wa hp desktop

    wakuu habari zenu?? Naomba kwa mwenye kujua ni wapi nitaweza kupata hp destop used yenye ubora mzuri na ambayo haitakuja kunisumbua!! Mimi nipo Dar
  11. M

    Uhamiaji

    mkuu hiyo website uliyoona hayo majina ni ipi????? Maana nimeingia sijaona kitu kama icho au ndo kuwarusha watu roho???
  12. M

    Msaada juu ya mafunzo ya udereva!!

    asante mkuu ila unaweza kujua gharama zake?
  13. M

    Msaada juu ya mafunzo ya udereva!!

    wakuu poleni na pilika pilika za za hapa na pale!! Wakuu naomba msaada ufuatao kutoka kwenu!! 1. Nahitaji kujua chuo mahiri kinachotoa mafunzo ya udereva kwa dar es salaam!! 2. Gharama ya mafunzo!! 3. Muda wa mafunzo!! Na hii ni kwa ajili ya kupata uelewa wa kuendesha magari ya kawaida si...
  14. M

    Biashara Gani Ina faida Nzuri?

    mkuu jamaa yupo sawa kabisa hapo anamaanisha kwa wale wanakatisha tiketi za kwenda mikoani na kitu cha ukwl kabisa maana hata mm nimeshuhudia kabisa kwa macho yangu na nilishawahi kupeleka wateja wawili nikapata zangu buku nne!! Na hapo nilikua mwanza pale nyegezi stand yan hawa majamaa wanapesa...
  15. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    daaah naona tbc taifa nao wamekata lisu alikua anatoa vitu adimu !! Hichi ndo cho kinachotoa habar kwa umma
  16. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    au fungulia tbc taifa ata huku wamechukua kaumeme kao lakini ninakasim kangu apa napata yote yanayoendelea
  17. M

    Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

    mkuu lucky sabasaba nimependa sana maelezo uliyoyatoa upo smart sana straight forward ata kwa wengine ambao hatujafikia level hizo ila inatupa mwanga mzuri wa kujua kinachoendelea na hapa ndio umuhimu wa jf unapoonekana huwezi kupata mtu kirahisi akakupa info za kutosha na kueleweka kama zako...
  18. M

    vodacom washituka

    wakuu huko airtell kuna nini mbona mnakusifia sana?? Mim nipo tigo na maisha yanaenda kwa hawa voda hawana jipya hata mm nakubali kwanza saiv wanakatam kwa dakik na si seconds
  19. M

    Fursa za biashara nchi ya Thailand

    vitu adimu sana hivi mkuu asante sana kwa moyo wa kipekee ulionao kwasababu wapo wengi wanajua mengi lakini hawataki kuwaelekeza wengine!! Mungu akubariki sana umetufungua na wengine sikuwahi kuiwazia hiyo nchi!!!
  20. M

    nashindwa ku download IDM kwenye lap top yangu MSAADA TAFADHALI!

    aisee hata mm nina hiyo shida nasubiri majibu na mm yatakua na msaada sana
Back
Top Bottom