Search results

  1. S

    Ninachojifunza uchaguzi wa Arusha kwa faida ya walioshindwa

    Well Said! Minazani ukishalijua Tatizo ni rahisi kulitatua! Tatizo ni akina mwiguli hawashauriki na siasa zao za mitaroni! Coz ndio zinawaweka mjini! Chukueni maamuzi sahihi kbla hamjachelewa! Sent from my BlackBerry using JamiiForums
  2. S

    Eti CCM 'B' Kumbe wenyewe ni CCM 'A'

    Minazani kue na option yakumblock mtu anaepost matango pori maana naona kunawatu wanashindwa kuutumia ipasavyo uhuru wao wakuongea!.. wanakalia kuubiri udini na uchochezi..vitu ambavyo havina tija..minazani wote humu tunaakiri timamu( it's a home for great thinkers) tusitishane na siasa za maji...
  3. S

    Meya wa Bukoba si raia wa Tanzania

    Kagasheki alikua wapi siku zote kumuanika Diwali/MEYA. Adi alipokua tishio kimaslai.. Waache danganya toto tushawazoea hata bashe nae walisemaga sio raia!...
  4. S

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    kweli kabisa hoja ya udini apo aijakaa vizuri!..mtafutie tuhuma nyingine kama kuna ulazima wa wewe kumnanga JK..bora hata ungemuita holiday maker!!:rain:
  5. S

    Mahakama: Rostam anakamatika

    wananchi wengi wangependa kuona mtu akitiwa kikaangani juu ya swala la dowans pasipo kuzingatia if rostam goes down many society highlly influencial people (vigogo) will follow!..so kuna nguvu nyingi sn inayotumiwa na watu hao wenye pesa kufichia makucha swahiba wao uyo!..tusitumie nguvu nyingi...
Back
Top Bottom