Search results

  1. K

    Anahitajika mtu mwenye cv ya hivi

    Mkuu unachotaka ni jib ndiyo au Hapana au maelezo? Ndiyo ... Reference should biodata you!
  2. K

    mafunzo mafupi ya ualimu kwa graduate wa vyuo

    Mkuu kwa kweli hata hili kwa Serikali yetu bado litakuwa gumu kwani hata walimu wenyewe waliosomea fani hiyo wanasoteshwa mitaani na wengine wanahangaika na mibahasha mijini wakitafuta kazi kwenye mabenki na makampuni... watu siku hizi bana ni ma master key na mbaya zaidi wanatafuta ma simple...
  3. K

    office Administrator

    :lol: Thanks for the post but the email seem to contain errors, please correct them if any or give us another means... please Sifuny
  4. K

    List of shortlist - nao & necta

    Downloads the attachment, and use Search Function To minimize time and increase possibility of knowing what is goiing on easilier ( Ctrl +F) Then enter the name
  5. K

    Kuitwa kwenye Usaili na Sekretarieti ya Ajira

    http://www.nao.go.tz/files/vacancy/TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAILI NAFASI ZA NAO NA WENGINE - 25 JULAI, 20111.pdf
  6. K

    Kuitwa kwenye Usaili na Sekretarieti ya Ajira

    Thanks Mkuu Mungu awasaidie Waliochaguliwa......
  7. K

    Wadau changamkieni hapa....."exciting vacancies = plus finance ltd"

    mmmhh.. mkuu kuwa na kazi kisiwe kigezo cha kutoa komenti bila utafiti, kumbuka kuna njia nyingi za kusearch uwepo wa kitu, na hata hivyo kuna njia zenye upekee katika kukupa sababu na uwezo wa kukomenti, kwa mfano ungeweza kupiga simu kama sehemu ya utafiti ili kujua uhalisia, pili unaweza...
  8. K

    Wadau changamkieni hapa....."exciting vacancies = plus finance ltd"

    PLUS FINANCE LTD EXCITING VACANCIES A: BUSINESS CONSULTANT (1) - First Degree or above with specialization in Business Administration. - Able to demonstrate high capability in marketing of company services - Capability in preparation of business plan and proposals -...
  9. K

    kutapa taarifa sahihi ni hatua kubwa, usijidharau .. unaweza!, jaribu!

    PLUSFINANCECOMPANYLIMITED "Business Consultancy and Credit Services" It is Possible to move from Zero/ Business Idea To Great Success Quality Of Our services, Timeliness, Affordability, Reliability, Truth and Honest is our Key factors we prepare a Bankable business plan We Prepare Project...
  10. K

    kutapa taarifa sahihi ni hatua kubwa, usijidharau .. unaweza!, jaribu!

    PLUS FINANCE COMPANY LIMITED ”Business Consultancy and Credit Services” It is Possible to move from Zero/ Business Idea To Great Success Quality Of Our services, Timeliness, Affordability, Reliability, Truth and Honest is our Key factors we prepare a Bankable business plan We Prepare...
  11. K

    Okoa muda, ongeza ujuzi, panua network - pata ama fanya kwa wepesi zaidi.

    mkuu rejea kichwa na huduma "we facilitate masters and undergraduate students preparing research proposal and report writing on their own" .. tunamuwezesha mhusika kuvua samaki yenye mwenyewe na hatumpi samaki. =================karibu========================
  12. K

    Okoa muda, ongeza ujuzi, panua network - pata ama fanya kwa wepesi zaidi.

    mkuu nashukru kwa kuwa una hoji na kujijibu, na pengine kuhisi umetukosea.. ukweli ni kwamba hakuna huduma inayoanzishwa kimantiki bila hitaji - wapo wahitaji ambao hawayajui hayo na hao ndo wahitaji tunaowalenga... hatuna namna ya kumfanya mtu asiye mhitaji kumzuia asisome ila tunapenda pamoja...
  13. K

    Okoa muda, ongeza ujuzi, panua network - pata ama fanya kwa wepesi zaidi.

    Thanks Tutorial of Research.... ni utafiti uliobaini mapungufu katika mafundisho juu ya hili... Kuna watu wanahangaika wapi wapate ujuzi wa kufanya kazi hizi either kutokana na kutokuwa kwenye mkondo rasmi au mengineyo mengi... mkku kila mtu ana upekee wake na sikwamba unalolifikiria ndilo hasa...
  14. K

    Okoa muda, ongeza ujuzi, panua network - pata ama fanya kwa wepesi zaidi.

    ni kweli mkuu, ila kinachofanyika ni kumuwezesha mhusika kufanya kazi hizo kwa ufanisi zaidi... kwani kutokana na utafiti wetu tumegundua kuwa wahusika huwa hawawezeshwi kufanya mambo kikamilifu... mkuu karibu ili ugundue utofauti, si lazima uwe mhtaji directly ila unaweza kujua nini hasa...
  15. K

    Okoa muda, ongeza ujuzi, panua network - pata ama fanya kwa wepesi zaidi.

    PLUS FINANCE LTD RESEARCH UNIT We facilitate preparing Research Proposal and Report writing on your own. We enhance you acquire the following practical techniques:- 1. Problem formulation 2. Research Methodology (a) Research Design (b) Sample Design (c) Data collection methods both...
  16. K

    Vicheche ni Soln ya kwenye ndoa??

    penny acha uvivu wa kufikiria ama usikimbizane na muda ukapoteza majadala, matatizo ya ndoa tutofautishe na matatizo ya familia, ila uchoyo wa kuelimishana na kuingia kwenye mahusiano kwa mitazamo tofauti kwa walengwa wenyewe, muda wa ndani anaweza kufanya na kukupa vitu adimu endepo kama...
  17. K

    First lady naomba nafasi ya firstman kama iko wazi

    hiyo kali, ila nawe umezidi kama ndo hivyo basi utapata unayempa kwa sasa
  18. K

    First lady naomba nafasi ya firstman kama iko wazi

    ila nami nakuunga mkono kwani huyu dada anaonekana ana bidii kweli pande zote, ukimpata huwezi kujutia- ila umetuwahi wengi kusema hivyo. kama hupo kikazii zaid katika kamchezo hako basi kumbuka kunipa pasi akiwa kimapenzi zaidi
  19. K

    Natafuta kazi inayohusiana na mambo ya Nutrition

    hongera kwanza kutambua msaada na mchango wa jf katika kupunguza labor market imperfections. Hongera kwa kuwaamin wana jf katika hili mimi mwenyewe naikubali familia hii ya jf usichoke kuapply na kizuri zaidi all info in one roof-jf. Just to thank yo and to encourage all jf members to...
Back
Top Bottom