jamani wana ICT tuko wapi.Tunapaswa kuchangamkia haya mambo kwa kuingia kwenye mtandao huu ili kuona wenzetu wanasemaje.Tunahitajika wengi tujifunze Linux.Unajua mfano aliyejifunza linux na akaweza kuandika program mbalimbali na zinazowasaidia wengi Mfano TCU leo ni mkombozi wa wengi na ile ni...
hii ni njema jamani sema kwa vile watanzania wengi hatupendi kujielimisha kwa kuthubutu kupata vitu vipya tunabaki nyuma.Mwezi wa tano kulikuwa na e-learning for africa na watanzania hatukushiriki kabisa.Walikuwa wengi ni wakenya wanaigeria,waghana n.k na wazungu tu na mwenzetu Generali...
Nina shamba langu ambalo ninaliuza liko nje kidogo na Dar es salaam.Mkoa ni Pwani wilaya ya Kibaha.Sio mbali na barabarani.Sehemu lilipo Shamba hili ni eneo linajulikana sana kama Kwa Mbago.Lina ukubwa wa eka tatu.
Kama uko na basi unashukia Visiga kwa kipofu.Ni sehemu ambayo kuna kuwa na...
Nasikia kupata uwwakala wa MPESA ni issue hebu utujuze jamani
mimi nataka hata kesho lakini kupata hiyo number nasikia sasa hivi ni issue nikuone wapi themankind ili ikiwezekana nianze kabla ya tarehe 15 nimedhamiria
nimefurahi sana kukutana na wafugaji hapa.Mimi pia ni mfugaji na kama kweli ndugu huyu ana nia ya kufuga kuku wa kienyeji nampa shauri aendelee.Mimi ni mjasiriamali ambaye pia ni mwalimu wa ujasiriamali.
angalia hapa Home - ICT4TD Learning Centre
hapa tunawafundisha watu kujifunza...
Nadhani kuna dhana potofu kwani kama mtu anania ya kusaidia umma kuelewa mustakabadhi wa nchi yao na hatimaye dola kumwonea nadhani ni ukiukwaji wa sheria.
Dola ingefurahia kupata taarifa kama ambavyo walikuwa wanapewa fedha za ujambazi ili mtu akitoa taarifa basi alipwe sasa malipo ya huyu ni...
Mara nyingi utakuta mwanamume mwenye umri wa zaidi ya miaka sitini anaoa na kuzaa na mwanamke wa umri wowote ule na mara nyingi wanaume wenye pesa ndio wanafanya hivyo na wanawake wanawakubali.Je kwa mwanamke inakuwaje?
utakuta mwanamke huyu anajua kupenda na kuwa na hamu ya kuwa na mume lakini...
ndio maana nimesema hadi uwe na ufahamu wa kutosha hasa kwa namna ya roho na si kwa namna ya dunia hii.Ndipo utaelewa.Kufanya biashara ya matangazo sio msingi na huwezi kurusha kila tangazo.ni vigumu sana kurusha tangazo la TBL au Sigara ndugu yangu ni bora usiwe na hiyo TV kuliko kurusha...
Unajua kueneza injili sio swala la kueleweka.Bwana Yesu alisema enendeni kote ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu.
Hii ni biashara na Bwana Yesu sio na wanadamu.Kwa hiyo hapa unatakiwa uwe na akili pia uwe na ufahamu si kwa namna ya ulimwengu huu.Wengi huwekeza hazina zao hapa...
Kuna workshop nzuri sana inaendelea kwa wiki mbili pale National Institute of Transport -Dar es salaam.Mabibo Kinondoni.Chini ya Coordinator Mzuri sana anaitwa Edger Telesphory.Hutachoka kusikia na nitakuwa nawaletea baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Semina hii.
nadhani kaka yetu anayesema kuwa Bajaj zinauzwa shs hamsini elfu hakuelewa na hakujua jinsi ya kuzitofautisha.Alimaanisha maybe Baiskeli za mtumba. lakini Bajaj zinarange ya 4M to 5m
nadhani kuna umuhimu wa kwenda ndani zaidi na kuona lipi la kumfaidia mtanzania na sio mgeni lakini tuwe na udadisi yakinifu ili tujue lipi la kushika na sio kurupuka tu
Yaani kambale ni samaki mtamu ajabu Malila umesema.Yaani usipime.
Umenikumbusha pasaka nilienda kwetu toka nimefika hadi naondoka ni supu ya asubuhi chakula cha mchana ama jioni lazima kambale pia awepo pembeni tena ukimpata mwenye mayai yake yaani we acha tu.Tulikula na ndugu zangu hata Nyama...
Kuna wakati nilieleza kuwa nilihudhuria semina ya ufugaji wa samaki kwa kweli nami nilivutiwa sana na waalimu ambao walikuwa wanatoa mada. Kweli kama mtu unataka kufanya biashara ya samaki lazima kweli uwe umedhamiria sana na kuipenda biashara hii (INTEREST).
kwani kama unataka kufuga samaki...
Nashukuru sana kupata nafasi hii ya pekee mimi nami kuweza kujikaribisha humu kwani kabla sikuelewa nikaingia kabla ya kupiga hodi.Jamani ndugu zangu kwanza nisameheni kisha mnikaribishe .Naamin nami nitajifunza mengi kutoka humu na zaidi sana kupata kuchangia mengine ambayo naamin ni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.