Search results

  1. Mom

    Nyumba inauzwa, mil 95

    Nyumba ina3bedrooms Kimoja ni master bedroom, living room, dining, jiko na store. Ipo uru west, 3 kilomita kutoka Moshi mjin
  2. Mom

    Ushauri wa gari Nissan Wingroad

    Habari wanajf, ninaomba ushauri wenu kuhusu gari hii, nimeipenda lakini ningependa kujua ubora, utumiaji mafuta na upatikanaji wa spare kwa gari hii. Naomba mwenye uzoefu nayo atoe ushauri.
  3. Mom

    Mume wangu na x-gf wake

    Jamani najisikia wivu sana huyu x anavyozoeana na mume wangu, ameolewa ana mtoto, akihitaji ushauri lazima amconsult mr kwanza, hata kuapply kazi mr amsaidie kuandika barua. Ni wivu tu unanisumbua jamani
  4. Mom

    Home work!

    hivi ikitokea mtoto wako mdogo, lets say 4yrs ameingia chumbani kwako gafla wakati mkicheza mchezo wa baba na mama, anashituka na kuondoka. lakini later anaukuuliza baba ulikua unafanya nn ana mama? utaexplain vipi?:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
  5. Mom

    Ikitokea kwako utafanyaje?

    wewe ni mwanamke/mwanaume una rafiki ambae mlipatana sana na kuheshimiana. wewe umeoa/kuolewa nae pia ana mwenzi wake, sasa inatokea kwenye ndoa yako kuna migogoro mingi inayopelekea hata kuiona ndoa chungu. rafiki yako huyu humshirikisha katika maamuzi shida zake na ni mshauri wako mzuri...
  6. Mom

    Wanaume na ndoa!

    wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je anakua hana mapenzi na mwenzi wake lakini anaendelea kudanganya kuwa anampenda?
  7. Mom

    Kuna jinsi ya kumfanya mwanaume huyu amhudumie mtoto wake?

    Mwanzoni walipendana sana na kupeana ahadi za ndoa, ikaja tokea dada akapata ujauzito ambao mwanaume alishauri atoe na dada alikataa, akamwacha na kumwambia si mimba yake maana yeye alishakuwa diagnosed kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba. Mwanaume hakuwahi kuokea mpaka mtoto alipozaliwa...
  8. Mom

    natafuta shule ya msingi boarding mkoani kilimanjaro

    Naomba kwa wenyeji wa mkoa huu wanisaidie, ninatafuta english medium primary school yenye mazingira mazuri ya boarding, ninawahamishia watoto wangu moshi na ningependa wawe boarding kwa sababu nitahitaji kusafiri mara kwa mara. wako std2 na std 1.
  9. Mom

    Namtafuta ndugu BARAMPAMA

    Namtafuta ndugu mwenye jina hili BARAMPAMA wa nchini Tanzania. pse kwa yeyote mwenye usefull information naomba aniPM.
  10. Mom

    allergic to sulphur?

    Naombeni msaada wenu, hivi majuzi nimetumia dawa ya malaria aina ya Malafin. Ndio dawa niliyozoea kutumia, baada tu ya kumeza ile dawa kama dk3 au 5 hivi nikaanza kuhisi kuwashwa mdomo na ukavimba sana kwa kuwa ilikua usiku niliamua kumuuliza rafiki yangu doctor kwa simu akaniambia huenda una...
  11. Mom

    Homa za usiku kwa watoto wadogo chini ya miaka 5

    Nini hasa kina sababisha homa za usiku kwa watoto wadogo (infants). homa hizi huanza muda wa jioni sa1 na mara nyingi inakuwa kati ya 38C - 38.4C degrees lakini ifikapo asubuhi mtoto anakua normal but very tired! hospital wanasema ni meno yanaota lakini naona inachukua muda mrefu nearly two...
  12. Mom

    Naomba msaada wenu!

    Naomba yeyote anaeweza kupost vacancy suitable for people with disabilities (Deaf na wheelchair users) anisaidie. Nafanya kazi na wahitaji wengi ambao wangenufaika na information hizo
Back
Top Bottom