Search results

  1. M

    ZITTO: Serikali 3 zitaleta uwazi zaidi

    Mbunge wa kigoma kaskazini kupitia chadema mheshimiwa Zitto kabwe amesema kwamba serikali tatu zitaleta uwazi zaidi kwani hata sasa serikali ziliizopo ni serikali tatu kwani kuna wizara nyingi tu kama kilimo na tamisemi ambazo ni za Tanganyika pekee. Zitto anasema serikali 2 hazina tija kwa...
  2. M

    DK Kitila Mkumbo:Watawala wa nchi hii hawana tabia ya kusililiza maoni ya wananchi.

    Katika mdahalo wa Muungano ulioandaliwa na UDASA chuo kikuu cha Dar es salaam ,Dk kitila mkumbo amesema kwamba nchi hii watawala wa ccm hawana sifa wala tabia ya kusikiliza maoni ambayo siyo matakawa ya Ccm. Anasema kwamba kwenye tume ya Nyalali kuingia kwenye vyama vingi maamuzi yalikuwa...
  3. M

    Mzirai ni mnafiki na mwanaccm aliyeficha sura yake

    Mzirai ni mnafiki wala si mpinzani.Amekubali kuwa mtumwa na mfuasi wa watawala yaani ccm.Huwezi kuhubiri serikali 2 zilizoboreshwa wimbo wa maccm ili yaendelee kutawala nchi hii. Hongereni sana ukawa.Mapambano yaendelee tu posho hazina maana sana kuzichukua kama mnakwenda kuandaa katiba ya...
  4. M

    Aliko Kibona, Mbunge wa Ileje tumechoshwa na uzembe wako

    Mbunge wa ileje mkoa wa mbeya ( Ccm) ametuchosha wananchi wa jimbo na wilaya ya ileje. Hukuchaguliwa kugawa nguo,kugawa sahani misibani, kugawa pesa makanisani nk..Ulichguliwa kupigania Ileje ipate maji,barabara ya lami,Madawa hospitalini,vitabu mashuleni,masoko ya mazao nk Kugawa sahani...
  5. M

    CHADEMA Ileje kupotea kama upuuzi huu utafumbiwa macho!

    Wapenda mabadiliko wote Tanzania, chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) ni chama pekee kilichobeba matumaini na matarajio makubwa ya watanzania ili kuleta ukombozi wa pili wa taifa hili. Hata hivyo CHADEMA kama chama kinachopendwa na kutegemewa kimpelipuuza kabisa jimbo la ileje kwa...
  6. M

    Sauti ya wanaileje inayolia nyikani juu ya CHADEMA

    SAUTI HII YA WANAILEJE inalia toka nyikani mbele ya CHADEMA. Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kimezindua operation maarufu kama "OPERATION M4C PAMOJA DAIMA" inayofanyika nchi nzima. Katika Mikoa ya Nyanda za juu kusini hususani Kitovu cha mabadiliko Mkoa wa Mbeya operation hiyo...
  7. M

    Wilaya ya Ileje mkoa wa Mbeya na wilaya ya Chitipa nchi ya Malawi zaimarisha ushirikiano

    Wilaya Ya Ileje mkoa wa mbeya na wilaya ya CHITIPA nchini Malawi zimeimarisha uhusiano na ushirikiano mzuri ili kudumisha urafiki na ujirani mwema. Pamoja na kwamba Tamzania na Malawi zipo katika Mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa, wilaya hizo zimekubaliana kuweka kando tofauti hizo kwa...
  8. M

    CHADEMA Tumpe uenyekiti Prof Safari Na ukatibu mkuu apewe Mh John Mnyika.

    Kheri ya mwaka mpya mwaka 2014. Ninaomba kupendekeza safu mpya ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mkuu ndani ya Chama. Napendekeza wafuatao na nyadhifa zao 1/PROFESSOR SAFARI-Napendekeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimchague...
  9. M

    Silinde timiza Ahadi yako ya kufungua matawi ya CHADEMA jimbo la Ileje Mbeya.:!

    Wananchi wa jimbo/wilaya ya ILEJE tunasubiria ahadi ya mbunge wa Mbozi Magharibi mh DAVID Ernest Silinde (CHADEMA) kuungana na makamanda wa Ileje kufungua matawi mapya wilaya va Ileje kama ulivyo ahidi tarehe 22/8/2013 mbele ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa mheshimiwa Freeman Mbowe na wananchi...
  10. M

    chama cha mapinduzi, ccm kinaliangamiza taifa.

    CHama cha mapinduzi yaani ccm ni chama kinacholiangamiza taifa letu. Chama hiki tawala kimebeba majangili, wezi na mafisadi wasio na huruma na taifa letu. Chama hiki ndicho kilichounda serikali inayoamurisha polisi kupiga raia wake na hata kuua na mifano ni Mingi. Hujuma na mabavu kwa...
Back
Top Bottom