Search results

  1. Dr Shekilango

    Serikali ibadili mchoro wa Daraja la Jangwani mto msimbazi

    Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi; Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...
  2. Dr Shekilango

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Kinana anauma na kupuliza kuhusu maendeleo ya Mkoa wa West Lake (Kagera)

    Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera). Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake (Kagera) kuzalisha. Nadhani hasikwepeshe wajibu wa serikali kwa walipakodi wa West Lake (Kagera) kwa...
  3. Dr Shekilango

    Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha. Lakini kwa maoni yangu kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa CCM iachane na Rais Samia tu hafai kuongoza chama hicho na Nchi...
  4. Dr Shekilango

    Iko hivi kuhusu James Mbatia na NCCR-Mageuzi!

    Baada ya Mbatia kutimuliwa jana September 25 2022 ndani ya NCCR-Mageuzi pamoja na Vijana wake wakiwemo Edward Simbeye na Nicolas Clinton, Iko hivi; Hii inakuja baada ya Makundi yanayonyukana ndani ya chama cha mapinduzi CCM, ikumbukwe makundi haya ni yale yanayomuunga Mkono Rais Samia na...
  5. Dr Shekilango

    NCCR-Mageuzi hali ni shwari mpaka muda huu

    Baada ya kile kilichoitwa mapinduzi yaliyomuondoa Mbatia kwenye chama, hali imerejea kuwa shwari Baada ya ofisi kurejea kwenye mikono ya chama. Mapema Katibu mkuu wa chama hicho ilifunga ofisi hizo na kuzuia asingie mtu mpaka jumatatu. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Bwana Nicolas Clinton...
  6. Dr Shekilango

    Kamati Kuu ya moto NCCR-Mageuzi inakutana kesho 15 May 2022

    Kamati kuu ya NCCR-Mageuzi inakutana kesho, huku pia Halmashauri kuu ya chama hicho ikitarajia kukutana 21 May 2022. Wakati Kamati Kuu ikikutana, hali ya mambo ndani ya chama hicho siyo shwari baada ya mtifuano wa katibu mkuu na Viongozi wanzake. Nicolas Clinton ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya...
  7. Dr Shekilango

    Tetesi: Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi kung'olewa

    Hali ya mambo ndani ya NCCR-Mageuzi imemgeukia Katibu Mkuu wa chama hicho Martha Chiomba, baada ya Jumuiya ya Vijana na baadhi ya Vigogo wa chama hicho kuaziamia kumg'oa. Taarifa za hivi punde ni kwamba tayari hoja ya kumg'oa imewasilishwa katika viunga vya Ilala Makao Makuu ya NCCR-Mageuzi...
  8. Dr Shekilango

    NCCR-Mageuzi naona ni bora kuachana CHADEMA tu

    Siasa inabadilika kila wakati kulingana na maitaji ya wakati husika, lakini moja ya vitu vinavyotisha na kusononesha ni vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kuishambulia NCCR-Mageuzi! Mbatia amekuwa bega kwa bega na CHADEMA hasa katika mapito ya chama hicho, kesi Mbowe NCCR-Mageuzi imeweka mawakili...
  9. Dr Shekilango

    NCCR - Mageuzi, mguu sawa yajipanga tena baada ya miaka 30 ya Mageuzi

    Ni wazi chama cha NCCR-Mageuzi kinajipanga kufanya kazi kubwa katika siasa za Tanzania baada ya miaka 30 ya Mageuzi ya kisiasa Tanzania. NCCR-Mageuzi ni mwasisi wa siasa za vyama vingi na Mabadiliko ya katiba mpya, wao wanajita THE SUPER OLD PARTY (SOP) Taarifa za ndani ya chama hicho...
  10. Dr Shekilango

    NCCR Mageuzi na wafuasi wake, Mbatia anatakiwa kuwa makini sana na waliyo karibu naye

    Moja ya vyama vikubwa vya sisasa hapa Tanzania ni NCCR Mageuzi, hiki chama pamoja na ukongwe na ukubwa wake kimeshindwa kulea Vijana na kuwaandaa kuwa viongozi wazuri hapo baadaye kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye vyama vingine. James Mbatia ni miongoni mwa Wanasiasa wa muda mrefu na...
  11. Dr Shekilango

    Tundu Lissu na Membe waende NCCR-Mageuzi ili kuwa na chama kingine cha upinzani hawa CHADEMA na ACT-WAZALENDO wanatuchanganya tu

    Imeonekana NCCR-Mageuzi ndiyo chama pekee chenye kuamua kwa niaba ya Taifa. Kwa siasa za chama kile za kidiplomasia na za kipadre ni wazi hatuwezi kuwa na vyama vya harakati ngumu kwa mazingira ya sasa! Tunataka chama chenye Itikadi na falsafa unganishi na kinachotanguliza maslahi ya watu...
  12. Dr Shekilango

    Seneti ya NCCR-Mageuzi inaketi leo Makao Makuu ya Chama

    Seneti ya viongozi wakuu wa chama cha NCCR-Mageuzi leo inakaa makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutafakari yaliyotokea katika uchaguzi mkuu October 28, ikumbukwe mkuu wa Idara ya Uenezi Bw Edward Simbeye alitoa msimamo wa chama hicho kuwa hakitambui katu matokeo ya...
  13. Dr Shekilango

    Uchaguzi 2020 Nicolas J Clinton na Mussa Azan Zungu Ilala kumekucha Ubunge

    Jimbo la Ilala ni kati ya Clinton wa NCCR-MAGEUZI na Zungu wa CCM. Wakati tunaendelea na dakika za lala salama za kampeni Jimbo la Ilala lina mtifuano mkali kati ya hawa watu wawili, huku wa ACT WAZALENDO akifuatia, Ikubukwe Zungu kawa mbunge wa Jimbo hilo kwa miaka 15 mpaka sasa na hivyo watu...
  14. Dr Shekilango

    Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ilala hapatoshi huku Clinton (NCCR-MAGEUZI) kule Zungu (CCM)

    Jimbo la Ilala linatajwa kuvamiwa na mwanasiasa Mpya na Kijana mwenye umri wa miaka 27 kutokea NCCR MAGEUZI. Nicolas Jovin Clinton ambaye pia ni Mwenyekiti wa KITENGO cha Vijana NCCR-MAGEUZI Taifa, amepitishwa na Tume ya Taifa ya uchaguzi kugombea Ubunge Jimbo la Ilala hivyo anapambana na...
  15. Dr Shekilango

    Ushauri kwa Tundu Lissu aende NCCR - MAGEUZI ili abaki salama katika harakati zake kisiasa

    Ni wazi watawala hawapendezwi na aina ya siasa za CHADEMA liko wazi hilo. Tundu Lissu ni kiongozi aina ya Rais Magufuli hawa wawili wana hulka moja tu pamoja na Tundu Lissu kutumia muda wake mwingi kuikosoa serikali ya Rais Magufuli. Shida ya Lissu ni kuuchokonoa Muungano wetu bila kujua, kwa...
  16. Dr Shekilango

    Nasaha za Nicolas Jovine Clinton kwa Vijana wa NCCR-MAGEUZI

    MISINGI YA UTU YA NCCR-MAGEUZI "PAMOJA TUTASHINDA" SALAAM ZA KAIMU MWENYEKITI WA KITENGO CHA VIJANA WA NCCR-MAGEUZI TAIFA. Ndugu; Nicolas Jovine Clinton. Nawasalim sana Vijana wote Nchini ambao mnaendelea kujiunga na NCCR-MAGEUZI na wengine tiari mmejiunga na Chama chetu katika maeneo yote...
  17. Dr Shekilango

    Hawa hapa Vinara wa Vijana Kutoka Tanzania.

    Mwalimu John Justin Pambalu, Kinara wa Vijana (BAVICHA) CHADEMA kutoka Mwanza. Nicolas Jovin Clinton, Kinara wa Vijana (KITENGO) NCCR-MAGEUZI kutoka Mwanza. Kheri James, Kinara wa Vijana (UVCCM) CCM kutoka Mwanza pia. Abdul Nondo, Kinara wa Vijana (NGOME) ACT WAZALENDO kutoka Kigoma...
  18. Dr Shekilango

    NCCR-Mageuzi, Nicolas Clinton akalia moto kasi ya wanaohama!

    Katika wimbi la Vijana wa vyama vingine vya upinzani wanaohama Kutoka ACT Wazalendo na CHADEMA kwenda NCCR-MAGEUZI wanaonekana kuwa na nguvu kubwa hivyo kumuyumbisha Mwenyekiti wa Kitengo cha Vijana NCCR-MAGEUZI Nicolas Clinton, wengi wanaonekana kuwa na moto wa kukitumikia chama hicho...
  19. Dr Shekilango

    Kizazi cha wanasiasa vijana na wenye nguvu zaidi Tanzania

    Wakati tunaelekea kwenye Utawala wa kidikteta wa Rais Magufuli naona kuelekea miaka ya huko mbeleni kipo kizazi cha wanasiasa vijana ambao watakuwa msaada mkubwa kwa Taifa letu. Rais Magufuli atatawala kwa mkono wa chuma na anaweza kukaa madarakani kwa muda mrefu zaidi, hizo Dalili zipo wazi...
  20. Dr Shekilango

    Tafadhali naomba msaada wenu ushauri na tiba nateseka sana

    Habari ndugu zangu, pole sana na majukumu. Ni matumaini yangu nitapata msaada hapa kutoka kwenu. Nafanya kazi katika Kampuni kubwa ya michezo ya bahati nasibu, hivyo basi huwa kuna shifti kama sita hivyo kwa siku na mara nyingi zinakuwa za usiku. Mfano, naweza kuingia kazini saa mbili usiku...
Back
Top Bottom