Pana utundu wa sure boy pana utundu wa faisal pana ufundi wa aucho pana harakati za tibazonkiza pana kashkash za mayele unaponaje hapo?ukipata sare shukuru. Na bado utatu huo wa fey sure boy na aucho haujakolea ukitulia huo ni ushindi tu.
Nyembe za kutosha zimeng'oa visiki kidevuni kisha unambie ana 15 labda ndevu za ukoo. Jambo hili pana waqt hivi under under za Ghana zilitisha katika mashindano ya kombe la dunia la under under lakini ikaja bainika ni vijeba na nadhani walifungiwa kwa muda flan.
Yaah pana sintofahamu kubwa kuhusu umauti wake pana jirani alisema aliwaona nduguze wakimchukua mkuku mkuku na baada ya siku chache ikatangazwa amefariki. Unapo zungumza natural striker kwa afrika huwezi muondoa ingawa alikuwa na uchoyo flan tizana game ya fainali 1994 dhidi ya Zambia bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.