Search results

  1. G

    Mkewe hana amani.

    wewe usichoke kumhauri naamini wakishatoka kimaisha huyo mama atakuwa na amani na kukuamni,keep on advising him na usiwe mchoyo hata kidogo wa ushauri
  2. G

    Siridhiki ila ninampenda

    mwambie Upendo wake ni wa maneno tu hautoki moyoni. Kama kweli alikuwa anampenda uwepo wake tu katika maisha yake ungenridisha kabisa hata bila UZINZI
  3. G

    Msaada tutani jamani.

    Sasa anaomba msaada gani? khali si kaiona? mwambie atambue hii ni Africa Si uliona SEMENYA alivyopigwa vijembe?angekuwa Ulaya Au US angeweza akajipongeza lakini kwa kuwa yupo Bongo plz mpe pole
  4. G

    Gunfire and Bombs explode in Kigali

    kagame kawageuka wenzake, yale yale, labda anatakiwa aende tuition kwa Baba M7 ajifunze alifanya nini??
  5. G

    Marekani yatuhumiwa kuchochea vita

    kwani ulitarajia aseme nini sasa??? nyie si wamoja na huyo Ayatollah???kila siku ananyonga watu yeye hajioni, wale walioandamana mbona walinjongwa mbaina hakuwatetea????
  6. G

    Rais wa Niger na Wabunge washikiliwa na Jeshi

    kama wewe hujijui???????anza kutoa neno? jamaa kwakuwa muumini mbona humtetei??? au jeshi limetumwa na wamarekani, nafurahiya saana uwepo wako huku jamvini
  7. G

    Mkapa: Kuna mtu kanizomea?

    Ndugu wanaogopa Hukumsikia Lowasa, miongoni mwao hakuna msafi hata moja, kikubwa nani atadhubutu kuanza kumfunga paka kengele????? ukianza kuwapeka mahakamani hutawamaliza, naamini wanaambiana wewe bwana ukingia nilinde mie nilimlinda aliyenitangulia, Hatujawa na huo uthubutu hata kidogo ndugu...
  8. G

    Why do women cheat...

    solution nini sasa????????
  9. G

    Mzee wa upako

    hawa wanajuana wenyewe
  10. G

    Ndugu Rais Kila siku safari?

    Mbona anachokiomba hatukioni???????? mie nawalaumu saaaana wasomi waliomzunguka kwani hamumshauri hata kidogo, hivi kabla hajaondoka mlimjulisha kuna wapiga kura wake wamechinjwa huko MOSOMA?????????
  11. G

    Rais Kikwete: Nabii asiyekubalika nyumbani kwake?

    waungwani safari moja ya MZEE huko ugaibuni inagarimu kiasi gani cha dola???????????
  12. G

    Mkapa: Kuna mtu kanizomea?

    Wewe muibie au mhujumu muajiri wako uangalie kama atakusamehe??? waliomchagua wameibiwa sasa wasilalamike? wasidai haki yao? hatukumtuma kuiba, kulinda mafisadi; kufanya biashara kwenye ile nyumba takatifu aka IKULU, kama wewe ni muumini nenda kanisani au msikitini then toa sadaka baadae rudi...
  13. G

    Israel wamuuwa Kamanda wa Hamas ndani ya Dubai

    sahau kama unasubiria hilo hujui unenalo,
  14. G

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    naona umeshaligeuza hili jukwaa sehemu ya kusambaza chuki zako, it seams like you are a big looser,kama hao babu zako walitimuliwa si uwafuate huko Oman, waache wazanzibari wandelee kudumisha mapinduzi yao,
  15. G

    MKUKUTA Phase I: Maoni yako

    nyie hakuna lolote mnalolifanya,huo umaskini utaondolewa kwa maoni?????????????Mfumo bomu? hata mkiandika maproposal mazuri bila kubadilisha mfumu hakuna kitu, nyie endeleeni kupiga domo ili walau mwisho wa mwezi mpate cha kuweka kinjwani, hakuna kingine, mkapa aalimleta yule prof SATO mbona...
  16. G

    Tanzania Ina Nini cha Kujivunia?

    tunajivunia kasi yetu ya kutaka utajiri, kila mtu kuanzia huko juuuuuu mpaka kwa mwenyekiti wa mtaa tunataka kuwa mabilionea kama R al azzz, lowasa, kingunge, mramba, Mkapa nk
  17. G

    MD mpya wa Tanesco

    anakuhusu nini kwani umeme kwako umekatika????? tuko very busy na mambo maandalizi ya uchaguzi na budget bado haijakaa sawa, thanks 4 concern nakumbuka saana wako ???????????????????
  18. G

    Mkapa: Kuna mtu kanizomea?

    sisi wapiga kura ambao hatuna elimu, njaa, tunajua hujazomewa hata kidogo mheshimiwa Rais Mstaafu, ila tulisikiwa huko Da es salaam vijana pale Kawe walikushangilia saaaaaana ulipokuwa unapita, eti ni kweli Mzee??Tumefarijika sana kwa kutuletea chenji walau kidogo ya keki yetu ya taifa ambayo...
  19. G

    Mke wangu ananinyima uroda! Nifanyeje?

    Na ulaaniwe kabisa, ushindwe na ulegee, huyo shetani anayekutuma nenda kwa watumishi wa Mungu wakamkemee,,,,, watu kama nyie ndo mnaifanya dunia inaadhibiwa kila siku na majangwa,
  20. G

    Gay pride in Ghana

    Ole wenu
Back
Top Bottom