Search results

  1. U

    Ufugaji wa kuku saso na ufugaji wa nguruwe

    wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani. NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
  2. U

    Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

    si heri yako Mimi nisipokunywa kvant Kwa usiku nateseka na mwisho hata saa Saba usiku nitatoka nisikilizie penye kelele za bar naenda chukua naipiga najisikia Raha sana ILA NATAKA KUACHA NASHINDWA
  3. U

    Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Mtu mmoja alikuwa anaoga basi kichaa akapita na kuzichukua nguo zake naye mtu yule akatoka na kumkimbiza huku akiwa uchi .je wadhani wapita njia watasemaje
  4. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Wewe acha tu ni kutokujua na hawa jamaa walikuja kwa lugha soft na ya kijanja sana ndo wakaniingiza mkenge zola yenyewe watt 40 kwa laki 9
  5. U

    Polisi wafuata ushauri wa Kinana bila shuruti

    Hawa jamaa kwakweli we acha tu
  6. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Nina UMEME mbona halafu hiyo laki tatu wanayotaka ni bora niifanyie kitu kingine hata kutoa Kwa Yatima
  7. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Laki 9 sola inawasha taa nne hapana NIUENI SILIPI AISEEE
  8. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Kweli kabisaaaaa natafuta pa kuanzia tu
  9. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Thanks for the great idea 💡 be bless
  10. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Wewe ni mwenzao nini yaani sola inawasha taa nne niwe nimeinunua karibia laki 9 na ushee halafu wewe unaona sawa kweli
  11. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    UMEME nishaweka kitambo sana
  12. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Inawezekana kwani kufanya hivyo ?
  13. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Kwenye makubaliano Walinichezea sana walinilaghai Kwa kuniambia JUMLA 500000 jumla ila baadae ndo zikaanza kasheshe ndo zinanitesa mpaka leo
  14. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Asante naendelea kujifunza
  15. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Aiseeee kumbe Asante kuniongezea points
  16. U

    Naomba ushauri kuhusu kampuni ya Zola

    Ila umeme ninao na ni wa uhakika Kwa kweli walinichanganya sana awali waliniambia 500,000 BADAYE nilipoongea na makao makuu wakaniambia 780,000 leo wananiambia 890,000 kumbuka zola yao inawasha taa nne haiwashi tv wala redio NB NINA UMEME
Back
Top Bottom