Search results

  1. BARIADI-KWETU

    Kwanini wanawake wa mjini mnapenda kuyanyanyua matiti juu na kuyabana?

    Nijuzeni Jamaniiiiiii........ zaman mwanamke mwenye matiti makubwa alikuwa anachekwa kweli, leo Ni Dili, tena yanabanwa na kupandishwa juuu huonekana kifuani kila mwanamke hapa mjini why?
  2. BARIADI-KWETU

    Huyu Baba Ni Shetani, Soma hii imetokea jana - MZA,Lazima Utoe Chozi.

    HII DUNIA INA MENGI;- Piyia Hii True Story, Mwanza Huko: Niliwahi Kupost Story Ya Yule Binti Aliechomwa Moto na Baba Yake Kisha Kulazwa Bugando[Cortesy of StatTV] In Summary;-Yule Binti alikuwa Form 3 Kama Sikosei, walikuwa wakiishi na Baba yake Wawili Tu kwa Nyumba, Hawakuwa na Amani...
  3. BARIADI-KWETU

    Wanawake: Kwanini mnapenda kuvaa chupi na khanga pekee yake?

    Yaani kila unapopita hapa mtaani, kila mwanamke awe M-mama ama binti, awe mke wa mtu au dada poa ni Mwendo wa C.h.u.p.i ndani na khanga nyepesi juu, halafu kila akitembea anakuwa anaifungua fungua khanga kama anajifunga vile, maksudi tu..... na upande mmoja wa paja/hips kuonekana kwanini? Muda...
  4. BARIADI-KWETU

    Airtel huu ujinga vipi tena?

    Nilikuwa na Dharura, nikahtaji Nitoe Vijisenti Vyangu Toka Akaunt yangu aitelmoney, nili-dial fasta *150*60# na Nika-opt kuwithdraw hela, Nilipoingiza Namba yangu ya Siri ambayo ndo huwa natumia Miaka yote, Jamaa Wakasema It is Wrong, nikafanya Kwa Mara Ya pili nikaambiwa Wrong, mara ya 3...
Back
Top Bottom