Search results

  1. BURUDIKA

    Logo

    Tunatengeneza LOGO za makampuni, biashara binafsi, camps, teams, shule, vikundi vya ujasiliamali, tunaprint t-shirt kwa logo uipendayo na vinginevyo, BEI ZETU NI RAHISI SANA. Mawasiliano zaidi piga 0714442267.
  2. BURUDIKA

    Tenda ya kufundisha elimu ya kujitegemea

    Nataka nami niwe nafundisha jamii mambo ya biashara na ujasiliamali. Je, naweza pata nafasi hapo kwenu tuwe tunashirikiana? My profession is bachelor of Business Administration and Graphics Design.
  3. BURUDIKA

    Interview-PWC

    Duh! Au ndo kimya kimya wadau?
  4. BURUDIKA

    Ma-HR hamna huruma kabisa

    Mmh! Iyo NGELI mdau kama ndo unapeleka kwa interview hata kama walikuwa wanagawa nauli cjui kama utapewa.
  5. BURUDIKA

    Nafasi za Kazi

    Nilikuwa napita tu mdau kumbe ulishawai kumulikwa na camera ya wadadisi? Mmh! Kwaheli.
  6. BURUDIKA

    Anayefahamu Mishahara ya FINCA International

    Kama ni loan officer nenda ukiwa tayari kufanya simple logical calculations na kama sales basi jua ni jinsi gan utamuaproach mteja na utatusaidia vp ili tuweze kuuza zaidi. UMEPIGIWA SIMU LINI MDAU?
  7. BURUDIKA

    Interview-Puma Energy Graduate Trainee

    Hawa jamaa nao PASUA KICHWA coz kuna washikaji waliapply na wana sifa zao but hata kubipiwa hakuna. Mh!????
  8. BURUDIKA

    Urgent: Natafuta Researcher for Data Collection

    I am competent in research but i have a bachelor degree in business administration. Twaweza apply wadau?
  9. BURUDIKA

    Rushwa ya kupata ajira Tanzania

    Jamani naombeni mnisaidie TRA niliapply na refference namba nilitumiwa ila nashindwa pakuanzia na million 3 sina. NIFANYEJE WADAU?
  10. BURUDIKA

    Majibu kutoka kwa HR wa Viettel Global Investment (Viettel Tanzania)

    Nawasalimu wana jf, samahani vipi hawa jamaa na usaili wao wa kuanzia tar 15 may au gelesha?
  11. BURUDIKA

    Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

    Umeitwa kwenye usaili ndugu?
  12. BURUDIKA

    TTCL and TRA UPDATES

    Nawasalimu ktk jina la bwana wanajamvi. Samahani vipi kuhusu hawa jamaa wameita watu kwenye usaili?
  13. BURUDIKA

    Tatizo la ajira - mbinu mpya ni kufanya internship

    Kwa uzoefu wangu INTERNSHIP nayo kupata ni kusafa dhidi ya ajira.
  14. BURUDIKA

    Usaili Tanzania Postal Bank(TPB)

    Nahisi bado wapo kwenye mfumo wa chama kimoja hawa.
  15. BURUDIKA

    Nafasi za kazi NMB Plc Lake Zone: CLOSING DATE: 23rd May, 2014

    Haya jamaa nao pasua kichwa. Sasa zile walizotoa zimeishia wapi wadau?
Back
Top Bottom