Search results

  1. MorTimer

    Huwa unamjibu vipi mpenzi wako kumpa moyo pale anapokuomba hela na wewe huna?

    Hii inatukuta wanaume wengi unakuta huna hela na demu anakuomba ila hutaki tu kumjibu kama huna hela..na hii kuhofia tu ndege ataponyoka mikononi au labda anaweza kukuona "mwanaume suruali" kama wenyewe wanavyosema...!! Mimi huwa nakuwa na majibu haya...! "Wait kuna jamaa nimemuazima ila...
  2. MorTimer

    Unajizuia vipi na hisia za kufanya mapenzi hasa pale unapokuwa mbali na mpenzi wako?!!

    Wakuu tupeane njia hapa hivi unawezaje kujizuia na haya majaribu...Hasa pale unaposafiri kikazi au semina...!!
  3. MorTimer

    Tuambie somo gani ulikuwa unalipenda sana sekondari na sisi tutakuuliza swali kulingana na hilo somo

    Wakuu, Tujikumbushe enzi nzetu kidogo na tuone nani alikuwa nondo na nani alikuwa kilaza enzi zake akiwa sekondari. Tupia somo lako pendwa hapa tukudunge swali. Au weka swali la somo lolote la sekondari tupime uwezo wa watu humu.
  4. MorTimer

    Kama bongo kuna baba mwenye nyumba kama huyu niambieni

    Nataka nihamie kwenye nyumba yake alafu yangu nipangishe...!
  5. MorTimer

    Video vixen, PoshyQueen adai hawezi kutokea kwenye video ya msanii wa Bongo bila milioni 5

    Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii adai hawezi kutokea kwenye video yeyote ya Msanii wa Bongo yaani (video vixen) bila Shilingi Million 5 .Hii amekuwa akisikika kwenye baadhi ya interview za media mbalimbali. Kutokana na muonekano wake unadhani anastahili hilo dau...
  6. MorTimer

    Wanawake mnapotuuliza hili swali huwa mnatukata sana stimu

    Unakuta umefukuzia namba kitaa,unakuja kumcheki ili utengeneze mazingira ya kuonana nae ili upige voco unakutana na hili swali. "NAMBA YANGU UMEIPATA WAPI AU NIAMBIE NANI KAKUPATIA NAMBA YANGU" Unajifanya kupotezea lakini yeye kasimamia hapo hapo anakwambia sikujibu wala siwezi kuonana na...
  7. MorTimer

    Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?

    Eti wapenzi wenu huwa wanaweka nini...Nimeshawahi kukutana na couple moja eti mwanaume kabeba kimkoba na mwanamke kabeba pia....!! U Gentlemen unaanza kupotea sasa hapa nani atambebea mwenzie mkoba...!! Kweli yajayo yanashangaza.
  8. MorTimer

    Tabia za wanaume baadhi wa Dar zinaendana na dalili za ushoga

    ------------------------- 1. Kutia kalikiti nywele 2. Kujichubua 3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo. 4. Kutoboa pua/sikio. 5. Kupaka lip shine. 6. Kuvaa nguo za kuacha mapaja nje. 7.Umbea. 8.Kupigana vijembe. 9.Kupenda taarabu. 10. Kurembua macho/Kulegeza sauti hapa akiongea na mpenzi...
  9. MorTimer

    Tusiwatese na kuwaonea wanawake kiasi hiki

    Wanaume tumejisahau kama....: 1.Mwanamke ni pambo au ua ambalo muda wote linahitaji uangalizi na maji ili lichanue na kustawi. 2.Mwanamke anahitaji kubembelezwa/kudekezwa vijana wanaita kupet pet. 3.Mwanamke ni sawa na Mungu wa pili bila yeye kukuweka tumboni miezi tisa leo usingejiita...
  10. MorTimer

    Mwanaume anayejielewa hawezi kuruhusu hiki kitu kwa mwanamke wake!!

    Wavulana hamuwezi kutuelewa najua akirudi demu wako na tattoo utamsifia kapendeza ila ujue wakati anapata maumivu ya kuchorwa jamaa anampoza na dushelele...!!! Au mkono unacheza na papuchi...!!!
  11. MorTimer

    Leo Mei 9 kazaliwa Maxence Melo, tumtakie maisha marefu

    HAPPY BIRTHDAY BOSS Maxence Melo
  12. MorTimer

    Kwanini wanawake mnapenda kujihusisha kimapenzi na wanaume waliooa?

    Hivi kwanini wanawake wanapenda kudate na wanaume waliondani ya ndoa na wana kauli zao utasikia "MUME WA MTU MTAMU" Ni kipi kinawafanya kuwa na wanaume ambao tayari wako ndani ya ndoa..!!
  13. MorTimer

    Nay wa Mitego ndio msanii aliyewahi kumiliki watoto wakali kuliko msanii yeyote wa kiume unayemjua Bongo

    Nadhani wanaume wenzangu hakuna atayepinga hapa watoto wakali full hips vyura usiseme..Ila huwa najiuliza kwanini huwa wanamkimbia huyu jamaa....!!!
  14. MorTimer

    Naomba kujua maana za maneno haya yanayotumika sana Instagram

    Moja ya maneno ninayoyaona sana yakitumika na baadhi ya watu mitandaoni hata baadhi ya wasanii pia...!! DAMSHI PAMBE TUNUNU CHUCHUNGE TUKINAO
  15. MorTimer

    Ona kiburi cha pesa Floyd Myweather

    Anakwambia alijisikia bored akaona aende zake Singapore alafu anasema mkae mkao wa kula kesho anaweza kuwa nchi nyingine yeyote....!! (isije ikawa TZ) Wewe ukiwa bored unafanya nini...?!
  16. MorTimer

    Kutokana na hali ya kiuchumi natamani Tanzania tupate gari kama hizi

    Hii ingetufaa inaonekana haili mafuta sana...Hapa mafuta ni ya kupaka sio kuweka...!!
  17. MorTimer

    Faida za kumeza (shahawa) kwa mdomo wakati wa kufanya mapenzi

    SHAHAWA ZA (KIUME) ZINA FAIDA NYINGI KIAFYA KWA MWANAMKE Kumeza shahawa kupitia mdomo wakati mnapofanya mapenzi kutakusaidia uweze kupata usingizi mzuri usiku kwasababu biochemically, Shahawa zina homoni ya Melatonin ambayo inamsaidia binadam kupata usingizi. . Shahawa pia zina homoni ya...
  18. MorTimer

    HAHIKA SHEREHE YA MEIMOSI ILIFANA HUKO IRINGA (MATUKIO KATIKA PICHA)

    [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
  19. MorTimer

    Huyu ndio shemeji/wifi yetu 'mkali' kwa Nikki wa Pili

    "Kila nikiona kibinda nadinda nakitia mimba" Moja ya mstari kwenye ngoma zake.Je unadhani kuna demu yeyote wa kumzidi msambwanda na mahips huyo demu wa Nikki kama yupo weka picha yake humu...!!
Back
Top Bottom