Search results

  1. L

    Hili la Joshua Nassari ni moja mapito magumu watanzania wanayopitia kwa kuchagua upinzani

    Nasari malipo yake atayapata hapahapa dunian. Ni suala la muda tu
  2. L

    Raphael Chegeni(CCM): Tusidanganyane, makusanyo ya TRA yanashuka kwa sababu biashara zinafungwa kila siku

    Tatizo lingine Ni watumishi tra! Wangewapunguzia maslahi kidogo! Maana yanawapa kiburi hata ukijieleza hakusikilizi kisa yy mshahara wake mkubwa.
  3. L

    Mwigulu Nchemba ampa shule Ado Shaibu

    Ukwel Mwigulu ndan ya moyo wako unaujua. Kua ccm bila msaada wa polsi na nec Ni ngumu kushinda.
  4. L

    MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

    Unatetea upumbavu tu... Rais na mawziri ndo hawana kazi za kufanya. Huwajui ww hao wanaojiita waarabu au wahindi hata huku mitaan tunakoishii nao hawhudhuriaga kwenye misiba yetu.-
  5. L

    MTWARA: Polisi na Askari Magereza wapigana makonde hadharani, mabomu na risasi zarindima stendi ya mabasi

    Hiyo Trafik Ni pumbafu anamkamataje poti mwenzake ndo alivyofundishwa hivyo?
  6. L

    Ushauri : Mdude achunguzwe kama kalishwa sumu

    Kaka ninyepesi kuandika Kama ww. Ungekua field ndo ungejua kua upinzani umepigwa pin ya hatar tz.
  7. L

    Askofu Gwajima: Nimeshatoa taarifa TCRA, nimewataka wamkamate aliyenichafua kama wanavyowakamata wengine, La, Jumapili patachimbika sababu namjua

    Angekaa kimya mngesema...ohh ni kwel mbona hakanushi..kajitokeza mnasema. Ukikaa kimya usubiri jeshi la Polisi likukanushie umekwisha.
  8. L

    Mali hizi Makonda anazitoa wapi? Anatembelea magari ya kifahari kuliko mshahara wake kwanini wakuu wa mikoa wengine hawana?

    Mi bashite nikiona hayo magar yake kwa kwel anaumiza Sana moyo wangu.Hasa ukizingatia hali za uchumi kwa wa tz sasa zilivyo.
  9. L

    Tukipata tume huru ya uchaguzi Yatosha

    Pole. Kama hujui kitu Kula ukalale
  10. L

    Tukipata tume huru ya uchaguzi Yatosha

    Ni kwel lkn kungekua na tume guru ingekua zaid ya Mara 2 ya hao unaosema wengi. Huenda hata pale juu kabisa asingekuwepo tulie nae Kama time guru ingekuwepo.
  11. L

    Mbowe: Yanayotokea ni hofu ya watawala kushindwa kwenye uchaguzi mkuu ujao.

    Itakua na hofu vp wakat nec Ni Mali Yao.
  12. L

    Nasimama na CHADEMA kwenye kufuatilia ziara za Rais Magufuli kupitia TBC bila kuchoka

    Hivi huna chochote cha maana cha kuandika kwa maendeleo ya nchi Zaidi ya chadema na mbowe? Badilika
  13. L

    Ijue ‘ thamani ‘ ya ‘ PhD ‘ ya Ulaya ya Waziri Mwakyembe

    Huwa najiuliza Sana kwanini dk mwakiyembe huwa hajiamin, mtu mwenye papara ktk kujibu kitu, mtu mwenye hofu flan iv, mtu mwenye jazba hivi.
  14. L

    Waziri Mwakyembe ujue maisha ya Azory Gwanda yana thamani kama yalivyo maisha yako

    We kwel kichwan kumejaa makamasi tu...wale watumishi wa serikal inafahamika waliuwawa na kikundi cha wahalofu ambacho jeshi letu la polis walikifyeka. Je azory aliuwawa na nan? Na je yupo wap? Ndo wadai wanachotaka kujua.
  15. L

    Tofauti na wengi wanavyopotosha, ripoti ya IMF inaonesha tuko vizuri!

    Mbona Kenya wana ukosefu wa mvua kuliko sie na uchumi wao upo imara Zaidi yetu?
Back
Top Bottom