Search results

  1. leop

    Nasikia kelele masikioni na kichwani

    Jmb mi naomba bisaidiwe mm nakuwa nasikia kama mishipa ya damu inasukuma damu ivi, yani nasikia ti ti ti sikio moja sioati hata usingiz yan
  2. leop

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Jamn kwa tuliopata tupeane mbinu za kwenye usaili
  3. leop

    Uzalo Special Thread

    Kuna nn tena, wamefanyaje
  4. leop

    Uzalo Special Thread

    Mi pia nimekwazika. Kwann tusizame wengi huko dm za itv tukalalamika jmn
  5. leop

    Uzalo Special Thread

    Nilicheka juzi, mamlambo alivyompandisha presha sma akajua anataka amtabilie kwamba hana mimba. Nae ayanda jana angepunguza haraka angejua kwamba sma si mjamzito labda
  6. leop

    Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI

    Kwan docta hakukuambia hicho ni nn jamn
  7. leop

    #COVID19 Hivi Covid-19 bado ipo Tanzania?

    Kwan Azuma ndo doz ya kovid
  8. leop

    Uzalo Special Thread

    Wanarudia tu
  9. leop

    Uzalo Special Thread

    Jmn kwann wanatufanyia ivi itv
  10. leop

    Tuache siasa kwa maisha ya watu, Rais Samia hajaondoa tatizo la maji Dar na Pwani

    Hii korogwe kuna sehemu maji mara ya mwisho tumeona mwezi wa nane mwanzoni mpka leo
  11. leop

    Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Nawa tu ivi usiku ntalala kweli au ntakuwa nageuka geuka kitandan
  12. leop

    Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

    Ahmed linaenda jamn. Imagine saa kumi liko morogoro akati lenzake mbeya city linaingia moro kwenye kumi na moja ivi. Naumia sana koz mbeya to tanga ndo trip zangu, na ahmed ndo gari langu
  13. leop

    Uzalo Special Thread

    Yan na mm niliwaza ivo ivo kwamba waliozaa hawaachani, yani ukitaka ujitie stress ingia kwenye mapenzi ya watu waliozaa
  14. leop

    Usije ukalogwa wanamaombi wakajua jambo lako

    [emoji3][emoji3] unafanya kazi upendo nn
  15. leop

    Usije ukalogwa wanamaombi wakajua jambo lako

    Ivi kamara ndo hao hao tunaowaangaliaga mara kwa mara upendo tv?
  16. leop

    Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

    Yah koz najua inavyouma ukiwa unapitia hali hiyo
  17. leop

    Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

    Yani nakushauri kama mwanamke mwenzako, hapo hamna wahusiano hiyo ni one side love. Hakuna mtu yuko bize kwa anaempenda. Yuko bize kwako lakn ana muda kwa wengine. Kwan wewe oficn kwake hujawahi enda kwamba ukajionee mazingira kama kweli yanamkeep bize? Ila all in all hauko pekeako
Back
Top Bottom