Search results

  1. Ngadu

    Ni nani huyu Oumilkheir wa DW!!?

    Ni raia wa Commoro.
  2. Ngadu

    Mpiga gitaa wa Ali Kiba ni the best guitarist in Bongo

    Studio pruduction ya Mani Walter. Sidhani kama anaweza pata wa kupiga the same melody akiea live.
  3. Ngadu

    Huu uonevu wa wanajeshi Ikulu usifumbiwe macho

    Wale si jwtz. Ni vijana wa tiss.
  4. Ngadu

    Upinzani unakufa kila kona ya Tanzania - NAPE

    Shule za upe ni historia tu. Hiyo hoja haina mashiko kwa sasa. Zungumzieni hali halisi ya elimu ya sasa.
  5. Ngadu

    Tommy diary

    Sawa mkuu
  6. Ngadu

    Tommy diary

    Dairy. Siyo diary.
  7. Ngadu

    Rais wa Tanzania na Kiingereza, wa Ujerumani na Kijerumani!

    Safi. Naunga mkono hoja. Kwani kuna ubaya gani kutumia kingereza! Ni lugha ya kimataifa.
  8. Ngadu

    Rais Kikwete amemteua Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha

    Jamani. Naibu Katibu Mkuu wa nini? Wizara inakuwa na mawaziri wawili makatibu wakuu wawili. Kwa nini serikali hii inapenda kuwa na utitiri wa viongozi? Hawaoni gharama za uendeshaji zinakuwa kubwa! SERIKALI HII IMESHINDWA KABISA KUBANA MATUMIZI. Tayari hapo shangingi jipya na marupurupu kibao.
  9. Ngadu

    Adios amigo

    Kihispania. Maana yake Kwaheri rafiki.
  10. Ngadu

    Je! huyu ni team Lowassa?

    Photoshop hiyo!
  11. Ngadu

    Rangi nyeusi kwenye bendera ya taifa ni kiashiria kikubwa cha ubaguzi wa rangi!

    Hakuna bendera ya nchi ya kizungu ikawekwa rangi nyeupe kutanabaisha kuwa inawakilisha uzungu. Mara nyingi utasikia black is beauty lakini huwezi sikia white is beauty.
  12. Ngadu

    Jeshi la Cameroon laua boko haram 143 kwa mpigo

    Cameroun koloni la Wafaransa. Inawezekana wamepata msaada wa kijeshi toka Ufaransa. Maana Ufaransa wanakuwa na military bases kwenye mengi ya makoloni yao.
  13. Ngadu

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Ooh mimi mtoto wa mkulima! Kumbe watoto wa wakulima ndivyo mlivyo!
  14. Ngadu

    Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

    Kumbe yuko hivyo. Mimi nilidhani jembe. Basi kuanzia leo nimeacha kumshabikia.
  15. Ngadu

    Kikao kilichofanyika ikulu

    Vasco da Gama noma
  16. Ngadu

    NANI KAMA MUNGU? Mzee wa upako!

    my people are destroyed from lack of knowledge. “Because you have rejected knowledge, I also reject you as my priests; because you have ignored the law of your God, I also will ignore your children.
  17. Ngadu

    Nyerere kuridhia mipaka ya wakoloni

    Obasanjo likely to mediate L. Nyasa rowFormer Nigerian President Olusegun Obasanjo could be angling for a mediation role in the Lake Nyasa border conflict between Tanzania and Malawi. Mr Obasanjo is reported to have gone to Lilongwe in early June to meet President Joyce Banda...
  18. Ngadu

    Kipimajoto ITV: Green Guard, Red Brigade na Blue Guard katika vyama vya siasa

    Wapunguze basi simu za watazamaji hadi mwikwabe amalize
Back
Top Bottom