Search results

  1. arnolds

    Ubinafsi na Dharau ya Washkaji/Machalii wa Arusha kwa WanaDSM

    Ukiskia Paa....ujue upo chuga. wote wanajeshi migambo hakuna
  2. arnolds

    Namuhitaji Fundi wa Subaru kwa hapa Dar

    ntashukuru sana mkuu nikipata hizo contacts...
  3. arnolds

    Namuhitaji Fundi wa Subaru kwa hapa Dar

    Habari wadau, ebana natafuta fundi wa subaru hapa dar, kuna spares natafuta. kwa yoyote anayeweza kunisaidia nitashukuru sana. asante
  4. arnolds

    Mashine ya Kuprint Tshirts (screen printing)

    nashukuru kwa ushauri.. any ideas jinsi wanavyo-calculate ushuru bandarini?
  5. arnolds

    Mashine ya Kuprint Tshirts (screen printing)

    Habari ya asubuhi wadau, natumaini mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku. kwa yeyote mwenye information wapi naweza kupata mashine na vifaa vinavyotumika katika screen printing business hapa Dar naomba anijuze. vifaa/materials kama squegees, mesh, colors nk. asante
  6. arnolds

    Mashine ya Kuprint Tshirts (screen printing)

    Habari ya asubuhi wadau, natumaini mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku. kwa yeyote mwenye information wapi naweza kupata mashine na vifaa vinavyotumika katika screen printing business hapa Dar naomba anijuze. vifaa/materials kama squegees, mesh, colors nk. natanguliza shukrani na...
  7. arnolds

    Biashara ya Kuprint Majina kwenye Jerseys

    Habari za asubuhi wadau, nahitaji msaada wenu tafadhali, kwa yeyote anayeweza kunipa information juu ya hii biashara ya kuprint majina kwenye jerseys nitashukuru sana. nafikiria kuanzisha hii kitu huku mkoani, nina baadhi ya vifaa kama heat press nk. ningependa kujua vifaa gani vingine...
  8. arnolds

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Mkuu please be so kind kuntumia huo mchanganuo na maelezo yoyote ya ziada kwenda arnoldmsoffe@gmail.com ntakutafuta soon big up sana kwa haya mapinduzi.
  9. arnolds

    kwa anayekodisha magari ya harusi - Arusha

    Amani kwenu wadau.. kama wewe unafanya biashara ya kukodisha magari ya harusi, na kama upo arusha tafadhali naomba uni-pm shukran.
  10. arnolds

    kwa anayekodisha magari ya harusi - Arusha

    Amani kwenu wadau.. kama wewe unafanya biashara ya kukodisha magari ya harusi, na kama upo arusha tafadhali naomba uni-pm shukran.
  11. arnolds

    Dedication kwa woote waliopo kwenye mahusiano..

    bado cjakubaliana na wewe mkuu..embu fafanua!
  12. arnolds

    Dedication kwa woote waliopo kwenye mahusiano..

    vipi ule wa "dont buy me diamonds"??..
  13. arnolds

    Dedication kwa woote waliopo kwenye mahusiano..

    itategemea na ufafanuzi utakaoutoa mkuu!!
  14. arnolds

    Dedication kwa woote waliopo kwenye mahusiano..

    hahaa, kama ulishawah kuwa kwenye mahusiano unatupia xperience yako hapo!..
  15. arnolds

    Dedication kwa woote waliopo kwenye mahusiano..

    Amani kwenu wadau!..its a lovly friday pande hizi, hop mko poa. ktk pita pita zangu nmekutana na haka kawimbo (Tamia - give me you), kana ujumbe mzito,then nkawish katika maisha haya ya ujana ladies wangekua na mtazamo huo na sisi wakaka tungekua tunaweza kutimiza kile ambacho huu wimbo...
  16. arnolds

    How To Breakup With A Woman......!!!!!

    Heaven on Earth, siku ukitaka kubreak na mimi naomba unitext tuuu!..sitaweza kuhandle ukiniambia face to face mama :behindsofa:
  17. arnolds

    How To Breakup With A Woman......!!!!!

    embu tuifanye vice versa alaf tuanzie hapo!..kama mm mpenz wangu anataka tu-break kwa sababu zozote zile alizonazo ningemuona mstaarabu sana kama akiniambia ukweli, tena face to face!.ofcoz kama hanifeel tena siwez kumng'ang'ania na itakua pointless kuendelea naye kama mapenzi hayapo!..so...
Back
Top Bottom