Search results

  1. hatym

    INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    Evere Treadmill 140kg bonyeza hapa kutazama sifa zaidi ya mashine hii
  2. hatym

    INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    Hii ni kwa dar es salaam mkuu, mikoani bado hatujaanza huo utaratibu , mikoani tunatuma moja kwa moja kupitia mabasi na magari ya mizigo kuja mkoa husika
  3. hatym

    INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    Hii inabeba mpaka kilo 140kg Ina muongezeko wa vitu vya ziada kama massager kwa ajili ya kutibu maumivu ya misuli na uchovu, ina sit up lock kwa ajili ya kufanya mazoezi ya tumbo, ina spring maalum kuondoa maumivu ya miguu , na dumbell za kukimbilia, bila kusahau waist twist kukusaidia kuondoa...
  4. hatym

    INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    ubusy wa kazi unafanya tusahau sana afya zetu,foleni barabarani unafika nyumban muda umeenda na unashindwa kutoka na kwenda gym au kukimbia barabaran, lakini vipi ukiwa na mashine ya kukimbia nyumban kwako na ukatumia dakika 25 mpaka 45 jioni au asubuhi kabla ya kutoka? Utakuwa umefanya...
  5. hatym

    INAUZWA Mazingira hutujenga, mazingira yakipendeza na sisi huvutia zaidi

    Tunafanya makazi kuitwa nyumbani[emoji3] Pendeza makazi yako, ofisi yako na Emperor wallpaper bora kabisa kutoka kwetu Wallpaper imara na zenye kudumu Utazipata roller kwa tsh 75,000 tu Roller 1 urefu ni 9M na upana ni 0.54M Tupigie leo 0758728258 0718327776
  6. hatym

    INAUZWA Ninauza selcom mashine

    Nasubiri ajibu niko interested pia
  7. hatym

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    hana hypersonic missile chief bado yupo kwenye majaribio, mataifa pekee yaliyo approved kuwa na hypersonic ni russia na china tu.
  8. hatym

    Epuka maradhi Nyemelezi kwa kubadili Mfumo wa Maisha

    Mtindo wa maisha umekuwa chanzo kikubwa katika kusababisha magonjwa kwetu, ubusy wa kazi na urahisi wa maisha umefanya binadamu miili yetu kuwajibika kwa uchache sana, magonjwa kama kisukari na presha yamekuwa makubwa na yanachukua mpaka vijana wadogo kulingana na ubusy wa kazi na umbali mtu...
  9. hatym

    Binti mtoro wa shule baba yake alimfunza funzo wala si kwa fimbo

    kwa siku ya kwanza ni sawa amefanikisha lakini kaacha damage kwenye maisha ya mtoto (physocologically) kwani itamfanya ataniwe kila siku na inaweza sababisha agome kwenda shule mazima.
  10. hatym

    INAUZWA Je, unahitaji spare za BMW 3 series?

    Pata spare unazohitaji, gari imepata ajali na vitu vyote vinauzwa kama spare, engine imeshanunuliwa, vingine vyote bado vipo angalia kitachokufaa kilichoharibika katika gari lako. Mawasiliano: 0758728258
  11. hatym

    Roho inauma, nimetimuliwa nyumbani kwa fedheha

    utavuna ulichopanda , kwa haya kakaako alipaswa kukupiga makofi mengi sana kabla ya kukutimua.
  12. hatym

    Nini ufanye unapohisi mwili una mabadiliko?

    huo hatuna kwa sasa mkuu
  13. hatym

    Nini ufanye unapohisi mwili una mabadiliko?

    tunatuma mikoa yote boss, karibu sana
  14. hatym

    Nini ufanye unapohisi mwili una mabadiliko?

    maisha yanabadilika sana, ubusy wa kazi na ukuaji wa miji unatufanya wakati mwingine tufanye kazi muda mrefu na kufika nyumbani muda ukiwa umeenda sana, lakini bado haipaswi kuwa excuse ya kukuzuia kuwa fit, leo nakueletea vifaa vichache ambavyo unaweza kutumia muda wako japo dkk 30 mpaka 40...
  15. hatym

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    boss nahitaji vikombe vya gear box ya alphard (kulia na kushoto) , gear box ni ya 4wheel 0758728258
  16. hatym

    Car4Sale Toyota Alphard inaenda 9.8M

    Toyota alphard iko sokoni gari ilibadilishwa engine kutoka engine ya 3000cc, na sasa ipo ya 2400 cc ipo katika hali nzuri Namba D njoo na fundi wako ujiridhishe mawasiliano 0758728258
  17. hatym

    INAUZWA Unajiuliza ni wapi utapata vifaa vya mazoezi bora?

    ipo toleo la juu yake tsh 50,000
  18. hatym

    INAUZWA Unajiuliza ni wapi utapata vifaa vya mazoezi bora?

    mashine ya kukimbia ikiwa imefika kwa mteja wetu kivule usichelewe offer hii ipo kwenye offer ya kutoka tsh 1,800,000 mpaka 1,600,000 maximum user weight 100kg fanya mazoezi ukiwa nyumban kwa usalama na zaidi tunatuma mikoa yote delivery ni bure kwa dsm,malipo ukipata mzigo tutembelee sinza kijiweni
Back
Top Bottom