Search results

  1. R

    Nahitaji pikipiki

    Jamani sh 1000000 nahitaji pikipiki used!
  2. R

    Sifa za kupata mkopo

    Kwa heshim , wana jukwaa wa jf ,hivi kama umemaliza Form six miaka minne iliyopita na sasa umeapply chuo Kwa zile Course ambazo ni priority kama engineer, education je Unaweza! kupewa mkopo na bord?Naomba Mwenye uelewa na hili jamaan atufafanulie
  3. R

    Kujisajili na bodi ya mikopo

    Jamani naombeni mnijulishe Kwa Mwenye uelewa nime lipia bodi ya mikopo ya elimu ya ju sh.30000 Kwa mpesa, wamenitumia sms kwamba pesa imesha lipwa lakini Kila niki login inakataa nashindwa kujaza Form za mkopo kabisa system inasema' your credentials you entered do not match with that of the...
  4. R

    Maisha plus

    Wadau mna maoni kuhusu hiki kipindi cha tv show cha Maisha plus chini ya mkali Masoud wa kipanya ?
  5. R

    Kwanini walimu wa diploma wasipewe mikopo

    Nimekuwa nilifatilia sana nikagundua kuna wanafunzi wengi hawamudu mahitaji ya chuo Kwanini serikali isilifirie hili kuwapa hata nusu ya mahitaji?
Back
Top Bottom